Fungua
DAKAWA ECONOMIC DEVELOPMENT ORGANIZATION

DAKAWA ECONOMIC DEVELOPMENT ORGANIZATION

WAMI DAKAWA, Tanzania

kuona kuwa jamii ya kitanzania iaondokana na umasikini na  inajiletea maendeleo endelevu kwa kufanya kazi kwa malengo na ufanisi.

Mabadiliko Mapya
DAKAWA ECONOMIC DEVELOPMENT ORGANIZATION imeongeza Habari 3.
MIONGONI MWA TARATIBU ZA MSINGI KATIKA UJENZI WA MIRADI YA SERIKALI NI PAMOJA NA UWEKAJI WA KIBAO CHA MAELEZO (SIGN BOARD)ILI KUWA NA TAARIFA ZILIZO WAZI HII NI KWA MUJIBU WA TARATIBU ZA MAJENZI ZINAVZOTAKIWA KUTEKELEZWA NA WAKANDARASI WOTE Soma zaidi
21 Aprili
DAKAWA ECONOMIC DEVELOPMENT ORGANIZATION imehariri ukurasa wa Miradi.
DAKAWA ECONOMIC DEVELOPMENT ORGANIZATION.Inakaribisha wabia wa maendeleo kwa jamii katika kufanya nao kazi ili kufikia lengo la kuanzishwa kwa asasi.Miongoni mwa shughuli ambazo asasi inafanya ni; – UTEKELEZAJI WA MIRADI YA HIFADHI YA MAZINGIRA KATIKA MILIMA YA ULUGURU.DAKEDEO Kwa... Soma zaidi
28 Novemba, 2018
DAKAWA ECONOMIC DEVELOPMENT ORGANIZATION imeongeza Habari 2.
14 Julai, 2018
DAKAWA ECONOMIC DEVELOPMENT ORGANIZATION imehariri ukurasa wa Jitolee.
KWA WADAU WA MAENDELEO. – DAKAWA ECONOMIC DEVELOPMENT ORGANIZATION INAKARIBISHA WADAU WA MAENDELEO WALIO NA UJUZI KATIKA FANI ZA MAZINGIRA, AFYA, TAASISI ZA FEDHA, MICHEZO,UJASILIAMALI, UENDESHAJI NA USIMAMIZI WA MIRADI YA MAENDELEO,ELIMU UJUZI NA UJASILIAMALI KUFANYA KAZI NA ASASI KATIKA UTARATIBU WA KUJITOLEA KWA MALENGO YA... Soma zaidi
20 Februari, 2018
DAKAWA ECONOMIC DEVELOPMENT ORGANIZATION imeongeza Habari.
DAKEDEO KATIKA MAFUNZO YA UFURUTU ADA- MOROGORO. – DAKAWA ECONOMIC DEVELOPMENT ORGANIZATION Inashiriki katika mafunzo endelevu ya Mradi wa Kuzuia Ufurutu Ada (Violent Exitremism) ambayo yanaendeshwa kwa pamoja na shirika la GREEN LIGHT PROJECT. – Katika mafunzo hayo ambayo yalianza mwezi June 2017 mjini Tanga na... Soma zaidi
2 Desemba, 2017
DAKAWA ECONOMIC DEVELOPMENT ORGANIZATION imeumba ukurasa wa Mkuu.
kuona kuwa jamii ya kitanzania iaondokana na umasikini na inajiletea maendeleo endelevu kwa kufanya kazi kwa malengo na ufanisi.
3 Agosti, 2017
Sekta
Sehemu
WAMI DAKAWA, Morogoro, Tanzania
Tazama mashirika ambayo yapo karibu