Log in
DAKAWA ECONOMIC DEVELOPMENT ORGANIZATION

DAKAWA ECONOMIC DEVELOPMENT ORGANIZATION

WAMI DAKAWA, Tanzania

Parts of this page are in Swahili. Edit translations

KWA WADAU WA MAENDELEO.

DAKAWA ECONOMIC DEVELOPMENT ORGANIZATION INAKARIBISHA WADAU WA MAENDELEO WALIO NA UJUZI KATIKA FANI ZA MAZINGIRA, AFYA, TAASISI ZA FEDHA, MICHEZO,UJASILIAMALI, UENDESHAJI NA USIMAMIZI WA MIRADI YA MAENDELEO,ELIMU UJUZI NA UJASILIAMALI KUFANYA KAZI NA ASASI KATIKA UTARATIBU WA KUJITOLEA KWA MALENGO YA KUISAIDIA JAMII.

 

NAFASI MPYA.

VIJANA WALIOTAYARI KATIKA KUFANYA KAZI NA JAMII YA WATANZANIA KATIKA FANI ZA UJASILIAMALI KATIKA NJANJA MBALI MBALI IKIWEMO ELIMU, KILIMO NA UFUGAJI WANKARIBISHWA KUJIUNGA NA ASASI ISIYO YA KISERIKALI  DAKAWA ECONOMIC DEVELOPMENT ORGANIZATION - (DAKEDEO) YENYE MAKAO YAKE MAKUU WILAYA YA MVOMERO KIJIJI CHA WAMI DAKAWA .

MAWASILIANO YAFANYIKE KWA MKURUGENZI MKUU MTENDAJI DAKEDEO

NAMBA ZA SIMU + 255 713 769245/784 913586/758 482464/622 769245