Injira
DAKAWA ECONOMIC DEVELOPMENT ORGANIZATION

DAKAWA ECONOMIC DEVELOPMENT ORGANIZATION

WAMI DAKAWA, Tanzania

Uru rupapuro ruragaragazwa mu rurimi rw'umwimerere Igiswayire. Edit translations

kuona kuwa jamii ya kitanzania iaondokana na umasikini na  inajiletea maendeleo endelevu kwa kufanya kazi kwa malengo na ufanisi.

Amakuru agezweho
DAKAWA ECONOMIC DEVELOPMENT ORGANIZATION yashyizeho Amakuru agezweho.
Mradi wa Upashanaji Habari na Jamii Juu ya Majenzi ya UMMA - Community Infrastrucure Information Sharing mradi uliofadhiliwa na CoST - Taznaznia (Infrastructure Information Sharing- kilosa Disrict. Soma ibindi
10 Werurwe
DAKAWA ECONOMIC DEVELOPMENT ORGANIZATION yongeyeho 3 Amakuru agezweho.
MIONGONI MWA TARATIBU ZA MSINGI KATIKA UJENZI WA MIRADI YA SERIKALI NI PAMOJA NA UWEKAJI WA KIBAO CHA MAELEZO (SIGN BOARD)ILI KUWA NA TAARIFA ZILIZO WAZI HII NI KWA MUJIBU WA TARATIBU ZA MAJENZI ZINAVZOTAKIWA KUTEKELEZWA NA WAKANDARASI WOTE Soma ibindi
21 Mata, 2019
DAKAWA ECONOMIC DEVELOPMENT ORGANIZATION hari ibyo yahinduye kuri Imishinga paje.
DAKAWA ECONOMIC DEVELOPMENT ORGANIZATION.Inakaribisha wabia wa maendeleo kwa jamii katika kufanya nao kazi ili kufikia lengo la kuanzishwa kwa asasi.Miongoni mwa shughuli ambazo asasi inafanya ni; – UTEKELEZAJI WA MIRADI YA HIFADHI YA MAZINGIRA KATIKA MILIMA YA ULUGURU.DAKEDEO Kwa... Soma ibindi
28 Ugushyingo, 2018
DAKAWA ECONOMIC DEVELOPMENT ORGANIZATION yongeyeho 2 Amakuru agezweho.
14 Nyakanga, 2018
DAKAWA ECONOMIC DEVELOPMENT ORGANIZATION hari ibyo yahinduye kuri Korera ubushake paje.
KWA WADAU WA MAENDELEO. – DAKAWA ECONOMIC DEVELOPMENT ORGANIZATION INAKARIBISHA WADAU WA MAENDELEO WALIO NA UJUZI KATIKA FANI ZA MAZINGIRA, AFYA, TAASISI ZA FEDHA, MICHEZO,UJASILIAMALI, UENDESHAJI NA USIMAMIZI WA MIRADI YA MAENDELEO,ELIMU UJUZI NA UJASILIAMALI KUFANYA KAZI NA ASASI KATIKA UTARATIBU WA KUJITOLEA KWA MALENGO YA... Soma ibindi
20 Gashyantare, 2018
DAKAWA ECONOMIC DEVELOPMENT ORGANIZATION yashyizeho Amakuru agezweho.
DAKEDEO KATIKA MAFUNZO YA UFURUTU ADA- MOROGORO. – DAKAWA ECONOMIC DEVELOPMENT ORGANIZATION Inashiriki katika mafunzo endelevu ya Mradi wa Kuzuia Ufurutu Ada (Violent Exitremism) ambayo yanaendeshwa kwa pamoja na shirika la GREEN LIGHT PROJECT. – Katika mafunzo hayo ambayo yalianza mwezi June 2017 mjini Tanga na... Soma ibindi
2 Ukuboza, 2017
Ibyiciro
Aho uherereye
WAMI DAKAWA, Morogoro, Tanzaniya
Reba ibigo mwegeranye