Log in
DAKAWA ECONOMIC DEVELOPMENT ORGANIZATION

DAKAWA ECONOMIC DEVELOPMENT ORGANIZATION

WAMI DAKAWA, Tanzania

Parts of this page are in Swahili. Edit translations

large.jpg

Mradi wa Upashanaji Habari na Jamii Juu ya Majenzi ya UMMA - Community Infrastrucure Information Sharing mradi uliofadhiliwa na CoST - Taznaznia (Infrastructure Information Sharing- kilosa Disrict.

large.jpg

MIONGONI MWA TARATIBU ZA MSINGI KATIKA UJENZI WA MIRADI YA SERIKALI NI PAMOJA NA UWEKAJI WA KIBAO CHA MAELEZO (SIGN BOARD)ILI KUWA NA TAARIFA ZILIZO WAZI HII NI KWA MUJIBU WA TARATIBU ZA MAJENZI ZINAVZOTAKIWA KUTEKELEZWA NA WAKANDARASI WOTE

large.jpg

MKURUGENZI MKUU MTENDAJI WA DAKEDEO MR MSENGA KATIKA MAZUNGUMZO NA MSIMAMIZI MSHAURI WA UJENZI WA DARAJA (KARAVATI) KATIKA KIJIJI CHA DUMBALUME WILAYA YA KILOSA KATIKA BARABARA YA BEREGA - DUMBALUME.

DAKEDEO NA UTEKELEZAJI WA MRADI MAALUM WA ELIMU KWA JAMII JUU YA UJENZI WA BARABARA ZINAZOSIMAMIWA NA WAKALA WA BARABARA ZA MIJINI NA VIJIJINI (TARURA) WILAYA YA KILOSA.

MRADI HUO UNATEKELEZWA KWA USHIRIKIANO WA

CoST - Tanzania na CoST International.

Ifuatayo ni Taarifa ya Utekelezaji wa mradi Awamu ya pili Wilaya Kilosa.

 

 

 

 

large.jpg

Katika Mijadala yakinifu

DAKEDEO KATIKA MAFUNZO YA UFURUTU ADA- MOROGORO.

DAKAWA ECONOMIC DEVELOPMENT ORGANIZATION Inashiriki katika mafunzo endelevu ya Mradi wa Kuzuia Ufurutu Ada (Violent Exitremism) ambayo yanaendeshwa kwa pamoja na shirika la GREEN LIGHT PROJECT.

Katika mafunzo hayo ambayo yalianza mwezi June 2017 mjini Tanga na yanayotarajiwa kukamilika Tarehe 27/03/2018 DAKEDEO imewakilishwa na Mkurugenzi Mtendaji wa asasi Mr Msenga Amir A.

Lengo kuu la mafunzo haya ambayo yanawakilisha washiriki 40 toka katika mikoa ya Arusha Tanga, na Zanzibar ya na lengo la kuzijengea Uwezo CsO pamoja na Serikali juu ya mbinu za kukabiliana na UFURUTU ADA. 

Katika mafunzo haya washiriki wametoka pia katika Taasisi za Kidini Madhehebu ya dini pamoja na washiriki toka katika Serikali kuu ngazi ya Mikoa.

Mafunzo haya yamegawanyika katika sehemu kuu tatu (Topics) 1. Matumizi ya dini katika kuchochea Ufurutu Kiada (Violent extremism) 2. Jamii ya makundi yaliotengwa katika katika UFURUTU  ADA.  3. USHAWISHI KWA VIJANA.

Ni mategemeo ya DAKEDEO Kuwa Hapo mbeleni Asasi za kiraia zitashiriki vema katika miradi ya kuhakikisha kuwa Tanzania inaendelea kuwa nchi ya amani kwa kuendesha mafunzo endelevu kwa jamii.

Imetolewa na Mkurugenzi mkuu mtendaji.

large.jpg

tunafanya kwa pamoja

large.jpg

umakini katika kusikiliza

large.jpg

Ushirikishaji wa wadau katika mafunzo