Asasi ya Brightlight Organization imekusudia kupunguza watoto walio katika ajira hatarishi katika maeneo ya migodi mkoani Geita.
Mkurugenzi mtendaji wa Asasi ya Bright light Organization na Mr.David Ocheng kulia wakicheza mpira na watoto kituon Brightlight Org.
Executive Director mr.Mathew Daniel second right side when visted at Mkula health centre with the vulnerable children of Brightlight Organization early 2014.
mwalimu Francis akiwaelekeza watoto kwa umakini jinsi ya kutumia mzani (procure seesaw) kituoni Brightlight Organization mkoani Geita.
Baadhi ya watumishi wa kituo cha Brightlight wakiwapokea wageni kipindi wanawasili kituoni kwa ajili ya kukitembelea kituo hicho.
wanafunzi wanaosoma katika kituo cha Brightlight wakiwa katika picha ya pamoja baada ya masomo.
Watoto wa kituo cha Brightlight Organization wakisikilza maelekezo kutoka kwa walezi wao baada ya maombi ya jioni.
Afisa maendeleo wilaya ya Geita na mgeni rasmi wakisikiliza kwa makini risara ilipokuwa ikisomwa kutoka kwa watoto wanao pata huduma katika kituo cha Brightlight Organization.