Log in
Bright Light Organization

Bright Light Organization

Geita, Tanzania

large.jpg

Wanafunzi waliomaliza mafunzo yao kutoka katika taasisi ya elimu ya watu wazima katika kituo cha Brightlight kilichopo mjini Geita .

large.jpg

Halmashauri ya mji wa Geita ikishirikiana na Asasi ya Brightlight Organization imeanza zoezi la kuwakusanya watoto wa mtaani baada ya ongezeko kuwa kubwa mjini hapa.

large.jpg

Mkurugenzi mtendaji wa asasi ya Brightlight Organization ndugu Mathew Daniel katika kikao cha wadau mkoani Geita akielezea umhimu wa maadhimisho ya siku ya wanawake yanayofanika kila mwaka.

large.jpg

Afisa maendeleo ndugu Majagi Maiga akitoa ufafanuzi juu ya maandalizi ya siku ya wanawake inayoadhimishwa kila mwaka duniani kote.

large.jpg

Asasi ya Brightlight Organization imekusudia kupunguza watoto walio katika ajira hatarishi katika maeneo ya migodi mkoani Geita.

large.jpg

Mkurugenzi mtendaji wa Asasi ya Bright light Organization na Mr.David Ocheng kulia wakicheza mpira na watoto kituon Brightlight Org.

large.jpg

Executive Director mr.Mathew Daniel second right side when visted at Mkula health centre with the vulnerable children of Brightlight Organization early 2014.

large.jpg

mwalimu Francis akiwaelekeza watoto kwa umakini jinsi ya kutumia mzani (procure seesaw) kituoni Brightlight Organization mkoani Geita.

large.jpg

Baadhi ya watumishi wa kituo cha Brightlight wakiwapokea wageni kipindi wanawasili kituoni kwa ajili ya kukitembelea kituo hicho.

large.jpg

wanafunzi wanaosoma katika kituo cha Brightlight wakiwa katika picha ya pamoja baada ya masomo.