Timu ya Brightlight walipotembelea katika kituo cha afya cha wilaya ya Geita na kutoa msaada kwa baadhi ya wagonjwa.
watoto wa mtaani wakiimba wimbo kuhusu ukatili kwa watoto waishio mitaani,ambao wanahudumiwa na asasi ya Brightlight Organization mkoan Geita.
Mkurugenzi wa Asasi ya Brightlight Organization ndugu Mathew Daniel akitoa ufafanuzi juu walivyofanikiwa kuzuia na kupunguza ajira hatarishi kwa watoto katika maeneo ya migodi mkoani Geita.
Mkurugenzi wa Asasi ya Brightlight Organization wa kwanza kulia na baadhi ya maafisa kutoka idara ya maendeleo na Ustawi wa jamii wakiwa katika kujadili jinsi gani waweze kukomesha ukatili kwa watoto na wanawake mkoani Geita katika kikao cha wadau.
Idara ya maendeleo na Asasi za kiraia wakitoa taarifa za maendeleo mbalimbali na kupanga mikakati mbalimbali kuhususu kutekeleza miradi mkoani Geita .
Walimu wakiwa na watoto wa mtaani wakati wa chakula cha mchana kituoni Brightlight Organization.
Watoto wa mtaani wanaohudumiwa na Asasi ya Brightlight Organization wakiwa na furaha katika banda lao la maonyesho siku ya wanawake Duniani.
Banda la Asasi ya Brightlight Organization lililotumika katika maonyesho sambamba na ushauri nasaha na utoaji wa elimu ya kisaiklojia siku ya maadhimisho ya wanawakeke mkoani Geita.
mkurugenzi wa Asasi ya Brightlight Organition wa kwanza kushoto wakati wamesimama na mgenia rasmi ili kutoa zawadi kwa vikundi vya wanawake wajasilia mali.
wa kwanza ni mkurugenzi wa Asasi ya Brightlight Organization akiwa katika kutafakari kwa kina baada ya kusikiliza igizo lililohusu ukatili kati ya wanawake na watoto.