Log in
Bright Light Organization

Bright Light Organization

Geita, Tanzania

Parts of this page are in Swahili. Edit translations

large.jpg

Hawa ni baadhi ya watoto wanaopata elimu ya bure kutoka katika asasi ya Bright Light wakiwa darasani

large.jpg

Baadhi ya watoto wanaoendelea kuhudumiwa na asasi ya Bright Light katika sekta ya elimu

large.jpg

Wadau toka asasi mbalimbali za mkoa wa Geita wakijadili ukandamizaji wa haki za mtoto kufuatia kuibuliwa kwa kisa cha mtoto Japhet alieugua hadi mfupa kutengana na mguu na wadau kuchukua hatua za kumpeleka hospitali ya Bugando

large.jpg

Wageni waalikwa toka asasi mbalimbali za mkoa wa Geita wakijadili mada za maandalizi ya siku ya wazee kitaifa

large.jpg

Wageni waalikwa toka asasi mbalimbali za mkoa wa Geita wakisikiliza mada za kuhusu mtoto

large.jpg

Wageni waalikwa toka asasi mbalimbali za mkoa wa Geita wakijadili mada maenedeleo ya mtoto

large.jpg

Wachezaji wa timu ya shule ya Nyarugusu wakiwa tayali kwa pambano la soka siku ya sherehe ya mtoto wa Afrika

large.jpg

Vijana wa shule ya Nyarugusu wakimsalimia mgeni rasmi ndugu Mathew, Mratibu miradi wa asasi Bright Light Foundation ya mjini Geita

BLF partcipate in the child's day that held in Nyarugusu,Geita in collaboration with Geita Geita Gold mine and stakeholders, the event estimamted to involves over 3,400 from urban and rural areas, that indicated awareness towads childre's rights has improved in the entire communites