Log in
Africa Upendo Group

Africa Upendo Group

Shighatini,Mwanga,Kilimanjaro, Tanzania

Parts of this page are in Swahili. Edit translations

MLIMA KAMWALA UNAPATIKANA KIJIJI CHA SHIGHATINI NA NI MLIMA WENYE UOTO WA ASILI ,UNATIRIRISHA MAJI YAKE KWA MWAKA MZIMA NA WANAKIJIJI HUYATUMIA KWA SHUGHULI MBALI MBALI ZIKIWEMO UFUGAJI, KILIMO NA MATUMIZI YA NYUMBANI,PIA UFUGAJI WA SAMAKI KAMA UNAVYOONA BWAWA HILO .

 

 

 

 

 

 

wanasemina wakiwa darasani na kushoto mzinga wa kisasa

 

 

 

 

 

 

Wanasemina pia walilishwa vizuri na kunywa maji ya kutosha ili waweze kuelewa vizuri.Africa Upendo iliwahudumia kwa kila kitu.Hapa vijana wa Asasi ya AUG wakiwahudumia wana semina.Hapa yupo Fanuel Francis,Nicholaus dada Neatness Msemo.lakini wapo pia akina Mahamdu Kileda,Harrison Miraji,Enna Joel,George Noah,Elizabeth Fanuel.Wote hawa ni vijana wa asasi hii ya Africa Upendo Group.Wengine wakiwa jikoni wengine wanahudumia na kubeba kama Nyuki wanafanya kazi.

Viongozi nao hawakurudi nyuma walihudhuria kwa umakini mkubwa.Hapa Mwenyekiti wa kijiji cha Shighatini Mrs.Grace Y Muze akiwa pamoja na katibu wake Mtendaji wa kijiji cha Shighatini walihudhuria.na juu ya meza ni mizinga ya nyuki wadogo.Ambao wanatengeneza asali ambayo ni dawa sana kama vidonda vya tumbo nk

 

 

 

 

 

 

Dada Fatna akiwa upande wa mapokezi kwa ajili ya kusajili wana semina wa mafunzo ya Nyuki 13-14/10/2015.Kushoto mafunzo kivitendo.baadhi ya aina mbalimbali ya nyuki.nyuki wadogo na nyuki wanaouma

 

 

Hii ndio mizinga ya asili ambayo tumekuwa tukiitumia katika kufuga nyuki na wenyeji wengi wa wilaya ya Mwanga wanayo mizinga mingi sana ambayo inafanana na na hii na imekuwa ni kama jadi.Hivi sasa tumehamia kwenye mizinga ya biashara kwa ajili ya maendeleo 

huyu hapa anaitwa Mahamdu Kileda ndiye Coordinator wa Kata ya Shighatini katika asasi yetu.Hapa anaonyesha umahiri wake kwa kuvaa mavazi ya Kuvunia asali katika mizinga .Hapa ilikuwa ni kwenye semina ya vikundi viwili vya nyuki wakiwa kwenye mafunzo .

large.jpg

edia with six NGo.Wonderful time with TElerevit Team

large.jpg

edia with six NGo.Wonderful time with TElerevit Team

large.jpg

Prof.Kamayama from JApan and Jean media with six NGo.Wonderful day with TElerevit System

large.jpg

          Mwenyekiti wa serikali ya Mtaa akielezea jinsi ambavyo amekuwa akishirikiana na Asasi ya Africa Upendo Group mara baada ya Utambulisho kutoka kwa Mkurugenzi wa Asasi hii ndugu Neatness Muze Msemo ambaye ndiye anayeshughulika na jamii katika kuhakikisha Kata ya Makuburi ipo salama.