RPC Alipotembelea ofisi ya Africa Upendo Group akisaini kitabu cha wageni.
Hapa RPC anapokea gwaride la askari wa AUG ambao hawaonekani pichani akiwa ameongozana na OCD wa wilaya ya kipolisi Kimara pamoja na Afande Shilla,Mkurugenzi ndugu Shilla Mwenyekiti wa mtaa wa Makuburi na Mkurugenzi wa AUG.
Lazima akina mama wasome.Ni kweli ndio maana akina mama na akina dada hawa wakiwa katika mafunzo ya Reach up ambayo yanatolewa na ICT4TD & DOT
Mke wa Mwenyekiti wa serikali ya mtaa wa Mwongozo Mrs James Ngoitanile akiwa na
wanafunzi wenzake katika kozi ya Reachup na mwalimu wao dada Chiku