Log in
Africa Upendo Group

Africa Upendo Group

Dar es salaam, Tanzania

Mafunzo ya Ufugaji nyuki yaliyoendeshwa na Mwl kutoka chuo cha Nyuki Olimotonyi Mr.Kipemba ambayo yaliendeshwa na Asasi isiyo ya kisiasa wala kidini ya Africa Upendo Group.Mafunzo hayo yalihusisha wafugaji wa  Kata ya Shighatini na Msangeni.Wanasemina walikuwa zaidi ya 150 na yaliendeshwa kwa vitendo na nadharia kwa siku mbili mfululizo tarehe 13-14/10/2015.Katika Picha Mwl Kipemba akionyesha baadhi ya mizinga ya biashara ambayo ni ya kisasa na inasaidia malkia kuwa salama na watoto huku asali ikipatikana safi na salama.

large.jpg

Mkurugenzi Mtendaji wa Asasi ya Africa Upendo Group Neatness Msemo akihojiwa na mtangazaji wa Channel Ten na ITV wakati walipoendesha semina ya ufungaji nyuki kwa wafugaji wa kata ya Msangeni na Shighatini tarafa ya Ugweno wilaya ya Mwanga.      

Vision:

To be a leading Social Institution (NGO) in disseminating knowledge to the extremely marginalized and excluded members in the society.

MISSION: 

To dispense alternative solution on various social problems that degrade our nationhood through respect integrity,teamwork,Love and excellence while preaching for a better and health society to the socially excluded  members in the communities of Africa

 

 

 

Mafunzo ya Ufugaji nyuki yaliyoendeshwa na Mwl kutoka chuo cha Nyuki Olimotonyi Mr.Kipemba ambayo yaliendeshwa na Asasi isiyo ya kisiasa wala kidini ya Africa Upendo Group.Mafunzo hayo yalihusisha wafugaji wa Kata ya Shighatini na Msangeni.Wanasemina...

 Latest Updates
Africa Upendo Group created a Team page.
HARRISON MIRAJI SECRETARY GENERAL OF AUG ,TOUR GUIDE AND CULTURAL TOURISM CO-OORDINATOR. AFRICA UPENDO TEAM – Executive Director -NEATNES MSEMO – Secretary General -HARRISON MIRAJI. – Finance and Administration... Read more
January 13
Africa Upendo Group added a News update.
MLIMA KAMWALA UNAPATIKANA KIJIJI CHA SHIGHATINI NA NI MLIMA WENYE UOTO WA ASILI ,UNATIRIRISHA MAJI YAKE KWA MWAKA MZIMA NA WANAKIJIJI HUYATUMIA KWA SHUGHULI MBALI MBALI ZIKIWEMO UFUGAJI, KILIMO NA MATUMIZI YA NYUMBANI,PIA UFUGAJI WA SAMAKI KAMA UNAVYOONA BWAWA HILO . Read more
January 13
Africa Upendo Group has a new discussion about HAPPY NEW YEAR 2016.
Africa Upendo Group: AFRICA UPENDO GROUP WISHING YOU HAPPY NEW YEAR OF 2016, YES TOGETHER WE CAN.
January 13
Africa Upendo Group added 8 News updates.
wanasemina wakiwa darasani na kushoto mzinga wa kisasa – Wanasemina... Read more
January 7
Africa Upendo Group updated its Home page.
Mafunzo ya Ufugaji nyuki yaliyoendeshwa na Mwl kutoka chuo cha Nyuki Olimotonyi Mr.Kipemba ambayo yaliendeshwa na Asasi isiyo ya kisiasa wala kidini ya Africa Upendo Group.Mafunzo hayo yalihusisha wafugaji wa Kata ya Shighatini na Msangeni.Wanasemina walikuwa zaidi ya 150 na yaliendeshwa kwa vitendo na nadharia kwa siku mbili... Read more
January 6
Africa Upendo Group created a History page.
Africa Upendo Group (AUG) is a private, voluntary non governmental, non partisan, non religious and non-profit making organization established and registered in the Ministry for Gender, Women and Children with registration number OONGO/1932. – Before its registration as an independent autonomous entity in January, 2007... Read more
September 22, 2015
Sectors
Location
Shighatini - Mwanga, Kilimanjaro, Tanzania
See nearby organizations