Tatizo la maji katika Mtaa wa Chidachi Manispaa ya Dodoma linawafanya wakazi wa eneo hilo kutumia zaidi ya saa 5 kwa siku kwa ajili ya kutafuta maji.
11 Februari, 2014
![]() | Marafiki wa Elimu Dodoma (MED)Dodoma, Tanzania |