Maeneo ya ukurasa huu yametafsiriwa toka (unknown language) kwa Kiswahili. Ona asili · Hariri tafsiri
Mkuu wa Wilaya ya Chamwino Mkoani Dodoma Bi. Fatma Said Ally akiongea na wadau wa Elimu wakati wa uzinduzi wa mradi wa My Rights My Voice unaotekelezwa na Asasi ya Marafiki wa Elimu Dodoma (MED) na Women Wake UP (WOWAP) kwa uhisani wa Shirika la Oxfam GB. Pichani kushoto ni Mratibu wa MED Bw. Davis Makundi na kulia ni Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino Baltazary Ngowi.
12 Februari, 2013