Injira
Foundation for Civil Society

Foundation for Civil Society

Dar es Salaam, Tanzania

B. What activities were planned for this quarter as per your Contract?

1. Introduce the Project to Stakeholders.

2. Conduct one day awareness meeting to 135 community leaders of West District in 29 Shehias on Environmetal Managemant.

3. Conduct Evaluation Meeting.
Conduct 2 times periodic meetings with the District authorities on the water sectors development and decentralization by June 2010

Conduct 5 days training to 50 Training of Trainers on water resources and financial management by June 2010

Organized 3 days regular Trained Training of Trainers learning and information Exchanges and follow Ups by August 2010

Organized 3 days Monitoring and evaluation by August 2010
1. Kuendesha mafunzo kwa wawakilishi wa AZAKi 30 juu ya dhana ya Ufuatiliaji Uwajibikaji Kijamii (SAM) kwa siku 2 katika kila wilaya 5 za Mkoa wa Lindi ifikapo Desemba 2011.

2. Kufanya vikao vya siku 1 vya wadau 20 wa maendeleo kati ya viongozi/watendaji wa Halmashauri za Wilaya/Manispaa za Mkoa wa Lindi na wawakilishi wa AZAKi vya kubadilishana habari na taarifa, ujuzi na uzoefu kuhusu uandaaji mipango na bajeti za maendeleo, utekelezaji, usimamizi na tahmini za utekelezaji ifikapo Desemba, 2011.

3. Kufanya ufuatiliaji na tathmini shirikishi walengwa/wadau za maendeleo ya utekelezaji mradi katika Halmashauri za Wilaya/Manispaa 5 za Mkoa wa Lindi ifikapo Desemba, 2011.
Kufanya mafunzo ya undeshaji wa asasi,uandikaji wa michanganuo ya miradi na uandaji wa kanuni za muongozo wa usimamizi wa fedha.
1.Conduct three day training on strategic planning for 20 Executive Committee members, members of the board, staff and beneficiaries.
2.Conduct 2 day training on financial management for 12 members of Executive Committee.
3.Conduct 3 days training on resource mobilization for 12 Executive Committee members.( training on proposal writing and fund rising skills.
4. Conduct 2 days training on M&E for 12 Executive . Committee Members
. Kuendesha mafunzo ya TOT kwa wanachama 30 wa UNGOKI kwa siku 3 juu ya mapambano
dhidi ya Rushwa.
. Ufuatiliaji na tathimini ya Mradi
1.1.1 Kutoa mafunzo kuhusu utunzaji na usimamizi wa fedha kwa viongozi na wanachama wa asasi kwa muda wa siku 2.
1.1.2 Wanachama 20 wa SADEF kutengeneza miongozo ya asasi
1.1.3 wanachama 20 wa SADEF kupitia na kupitisha miongozo ya asasi
1.2.1 Kutoa magunzo ya upangaji na usimamizi wa miradi kwa wanachama 20 wa SADEF kwa muda wa siku 2.
1.2.2 Kufanya mafunzo juu ya ufuatiliaji na tathimini kwa wanachama 20 wa SADEF kwa muda wa siku 1
1.3.1 kufanya mafunzo juu ya mifumo ya uendeshaji wa asasi kwa muda wa siku 1
1.3.2 Kutengeneza mpango mkakati wa asasi kwa kushirikiana na wataalam kwa muda wa siku2
1.3.3. Kufanya ufuatiliaji na tathimini ya shughuli za mradi kwa muda wa siku1
1.4.1 Kununua vifaa vya ofisi pamoja na Digital camera
1. KUTAMBULISHA MRADI KWA VIONGOZI WA KATA / VIJIJI KAENGESA, SANDULULA, MAMBWEKENYA
2. MAFUNZO KWA VONGOZI WA VJIJI KATA TATU KAENGESA ,MAMBWEKENYA ,SANDULULA WASHIRIKI 45 KILA KATA KWA MUDA WA SIKU TATU
YANAYOHUSU SERA SHIRIKISHI YA MISITU YA MWAKA 1998 NA SHERIA NAMBA 14 YA MWAKA 2002
3. KUTENGENEZA VIPEPERUSHI 2000 VYENYE UJUMBE WA SERA SHIRIKISHI YA MISITU YA MWAKA 1998
4. MIKUTANO YA HADHARA KWA VIJIJI 4 KILA KATA ,KATIKA KATA YA SUNDULULA ,KAENGESA ,MAMBWEKENYA
5. MAFUNZO KWA KAMATI ZA MAZINGIRA ZA VIJIJI 4 VYA KATA YA KAENGESA ,MAMBWEKENYA ,SANDULULA ,JUMLA YA WASHIRIKI 45 KILA KATA YATAKAYOHUSU WAJIBU WA KAMATI KATIKA KULINDA NA KUHIFADHI MAZINGIRA KATIKA MAENEO YAO .
6. UFUATILIAJI NA TATHIMINI .
1. Kuandaa vipeperushi 4250 vinavyoelezea umilikishaji wa ardhi kwa wanawake.
2. Kuendesha mikutano ya uhamasishaji juu ya haki ya mwanamke kumiliki ardhi kwa mujibu wa sheria ya ardhi ya vijiji No. 5 ya mwaka 1999 kwa vijiji saba(7) vya kata ya Lugarawa na Mundindi kwa watu wapatao 4250
3. Kuendesha semina kwa wajumbe sabini (70) waliochaguliwa (majukwaa) kutoka katika vijiji vyao juu ya umuhimu wa umilikishaji ardhi na kutetea haki ya kumiliki ardhi kwa muda wa siku tatu.
4.Kufanya ufuatiliaji na tathmini ya mradi
1. Kuendesha mafunzo ya kujenga uwezo na uelewa kwa watu wenye ulemavu 36 juu ya Sera ya Taifa ya Watu wenye Ulemavu kutoka kata 5 za Wilaya ya Lindi ifikapo Juni 2010.

2. Kufanya ufuatiliaji shirikishi wa maendeleo ya utekelezaji wa mradi.

3. Kufanya tathmini shirikishi wadau ya mwisho wa utekelezaji wa mradi.

4. Gharama za utawala na uendeshaji wa mradi.
1. Kuandaa mikutano sita katika ngazi ya Kata kwa kila Kata yenye lengo la kuwakutanisha wajumbe wa mabaraza ya Kata na wawakilishi wa wananchi ili kutoa ufafanuzi juu ya sera ya maendeleo ya wanawake na jinsia na pia kueleza nafasi yao katika kutekeleza sera hiyo. ( siku mbili kwa kila kata)

2. Kutengeneza vipeperushi na mabngo ( Posters) yenye tafsiri rahisi ya sera ya maendeleo ya wanawake na jinsia na kuvisambaza kwa wingi katika maeneo ya vijijini ili wananchi waweze kuielewa sera na kufuatilia utekelezaji wake.
3. Kuunda vikosi vya ufuatiliaji wa masuala ya unyanyasaji wa wanawake vijijini ( Gender Violance Monitoring Group) na kuripoti na pia kutafuta mfumo bora wa kuripoti matukio hayo.
4. Kuendesha mikutano majukwaa ya utetezi na ushawishi ambapo wahanga wa matukio ya unyanyasaji wataalikwa kutoa changamoto walizopitia na mikakati ya pamoja kuandaliwa.
1.1.1Kutambua washiriki wa mradi katika kata 9 za Dunda, Yombo, Zinga, Lugoba, Miono, Msata, Vigwaza, Mkange na Kibindu ifikapo Novemba 2009.
1.1.2 Kuendesha Semina ya utawala bora kwa siku 4 kila katika kata za Dunda, Yombo, Zinga, Lugoba, Miono, Msata, Vigwaza, Mkange na Kibindu, kila Kata washiriki 60 ifikapo mwaka 2010.
1.1.3Kuendesha mikutano 27 ya Umma ya uhamasishaji kwa kila mwaka mikutano 9 na kila kata mikutano 3 ifikapo Juni 2011.
1.1.4
1.2.1 Kuendesha warsha, Makongamano ya utawala bora kwa viongozi wa vikundi vya kijamii vya wakulima na wafugaji kuhusu ushirikishwaji wa kuweza kupata taarifa za maendeleo ifikapo 2011.
1.2.2 Kuendesha mikutano 2 kwa viongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo na wananchi kuhusu kuweka mifumo imara ya mawasiliano.
1.2.3 Kuendesha mikutano ya Umma ya uhamasishaji kupitia mikutano ya kila mwezi ya vijiji na ratiba za magulio ifikapo 2011.
(1).Maandalizi ya mradi. (2)Mafunzo kwa kamati za huduma ya watoto yatima katika kata 3 na kila kata vijiji 3 na washiriki 160 katika makundi 3 na kila kundi washiriki 40. (3). Mafunzo kwa akina mama walea watoto yatima. (4) Kutengeneza na kusambaza vipeperushi. (5) Kufanya mikutano ya hadhara 120. (6) Kufanya ufuatiliaji na tathimini ya mradi
1. Kuendesha mafunzo juu ya haki za wanawake na utawala bora
2. Waliopata mafunzo yaani wakufunzi kutoa mafunzo katika vikundi mbalimbali vya kijamii
kufanya mikutano baina ya wananchi, watendaji, wana Azaki na watunga sera (Wabunge na Madiwani)
1. Mafunzo kwa waelimishaji rika 20 kuhusu unyanyapaa na umuhimu wa kupima VVU
2. Mafunzo kwa jamii kuhusu unyanyapaa na umuhimu wa kupima VVU
3. Hamasa kwa jamii kupima VVU
4. kuelimisha jamii kwa kutumia vipeperushi
6. Kutathmini mradi
1. Kuendesha mdahalo wa wadau 60 wanaojishughulisha na vita dhidi ya VVU/UKIMWI na kujadili juu ya unyanyapaa kwa waishio na VVU/UKIMWI toka Manispaa ya Lindi na Lindi vijijini.

2. Kufanya ufuatiliaji na tathmini ya maendeleo ya utekelezaji mradi katika kata 8 za Manispaa ya Lindi na Lindi vijijini.

3. Kufanya tathmini ya mwisho wa utekelezaji wa mradi.
1. 5 DAYS TRAINING ON PROGRAMME 5 YEAR STRATEGIC PLAN WRITING.
2. PURCHASE OF 1 PC LAPTOP FOR THE OFFICE USE.
3. EQUIPING THE PROGRAMME WITH 6 TABLE CHAIR, 1 SHELVE, 1 OFFICE DESK AND PAY FOR OFFICE RENT FOR 4 MONTH.
4. REPORT WRITING
1.0 Introduction of the project to stakeholders

2.0 Training of 18 Youth Development Society members to develop understanding of budget process and enhance Budget Analysis skills

3.0 Development, production and distribution of EIC materials

4.0 Training workshop to 22 youth volunteers to develop understanding of budget process in local government and develop sensitization and mobilization skills for transfer of acquired knowledge to their fellow youth in Wete district

5.0 Conduct 4 days workshop to develop and enhance advocacy and lobbying skills to 16 selected Youth Development Society members and the selected participants from 3 women organization in Wete so as to be able to advocate issues on budget process

9.0 Conducting Monitoring and Evaluation Activities
1. Three days Organisation Self Assessment session.
2. One day consultation meeting to present the report/findings.
3. Five days Workshop to develop five years Srategic Plan (SP).
« Previous questionNext question »

« Back to report