Log in
Foundation for Civil Society

Foundation for Civil Society

Dar es Salaam, Tanzania

D. Reasons for difference

A total of fifty Six participants were invited but only fifty two attended the meeting on the water sector reform forum
Hakuna sababu zozote za tofauti katika mabadiliko yaliyotokana/kuletwa na mradi.
1. Kufahamu wajibu wao na ,mipaka yao katika uendeshaji wa Asasi (2) Wamehudhulia mafunzo ambayo yamewapa ufahamu na uelewa mkubwa
- Ubora wa mada zilizowasilishwa na wawezeshaji wetu.
-Ubora wa lengo mahsusi la mradi.
-mabango yalibandikwa katika maeneo mbalimbali yameongeza uelewa zaidi hata kwa wale ambao hawakushiriki moja kwa moja kwa mradi.
-Jinsi asasi yetu ilivyowashirikisha waandishi wa habari katika mradi wetu.
Ni baada ya kupata mafunzo ya utawala bora juu ya uwazi na uwajibikaji yaliyohusisha viongozi wa pande zote kati ya watendaji wa kata, vijiji na viongozi wa vikundi vya kijamii vya wakulima na wafugaji
Baadhi ya viongozi wa serikali za vijiji kamati zilipokusanya michango kutoka kwa wananchi waliweza kutumia michango vibaya na swala hili tumelifikisha ngazi ya wilaya kwa kuchukua hatua.
Mfumuko wa waganga wa jadi wenye kudai kwamba wana dawa ya asili ambayo ni mbadala wa kutibu Ukimwi na magonjwa sugu imezuia baadhi ya watu kuacha huduma za hospitali za kupima VVU mfano Babu wa Loliongo ambaye anatoa kikombe kwa sh 500.
THE ORGANIZATION FAILED TO REPORT ITS ACTIVITIES IN TIME DUE TO FACILITATOR WHO FAILED TO PRODUCE THE LAST DRAFT OF OUR STRATEGIC PLAN.
« Previous questionNext question »

« Back to report