Fungua
Foundation for Civil Society

Foundation for Civil Society

Dar es Salaam, Tanzania

C. Mabadiliko mengine yoyote yanayotokana na utekelezaji wa shughuli za mradi huu

There is an increased Demands of the tree seedlings, and the community are now seriously committed to planting of trees in their various fields, residential areas, further more the Magoroto Wards Executive office has established Community Based Environmental organization That involve the youths in Tree planting activities, and in the management of Water Resources by June 2011.

There is an increased scaling up of community health and sanitation , more efforts are being made to reduce any kind of Diseases outbreak, use of water treatment methods and other development strategies have helped reduce the problems by he end of June 2011.

The constructions of the improved pit latrines continues and will be capitalized upon, except for the Concrete slabs that need a lot of Technical and financial resources to establish,the community are now willing to set up VIP latrines structures in place
1. Viongozi/watendaji wa Halmashauri za wilaya/manispaa wametambua kuwa maendeleo ya kweli hayawezi kupatikana pasipo kushirikishwa walengwa na wadau wa maendeleo husika.

2. AZAKi na wawanchi wamefahamu kwamba pasipo ushiriki wao kamilifu katika michakato ya mipango na bajeti za maendeleo itakuwa ni vigumu kufikiwa kwa maendeleo ya kweli na yaliyo endelevu.
Wanachama kujua mipaka yao katika uendeshaji wa Asasi na viongozi pia.Na wamekuwa na morali katika uhudhuliaji katika vikao tofauti na mwanzo uwazi na uwajibikaji umeongezeka
Wananchi wengi sasa wamehamasika kudai katiba mpya.
Wananchi wengi wanaamini kwamba serikali iliyopo imeingia madarakani kwa Rushwa na kwa hiyo ina walinda wala rushwa wakubwa wenzao. -
Idadi ya wanachama wanao jihusisha na shughuli za asasi sasa imeongezeka tofauti na kabla ya kutekeleza mradi huu.
- KUSIMAMIA SHERIA YA MISITU NA UHARIBIFU WA MAZINGIRA
- KISIMAMIA SHERIA NDOGO NDOGO ZA VIJIJI KUHUSU USIMAMIZI WA MISITU
- KULINDA NA KUSIMAMIA MISITU ILIYOPO KATIKA MAENEO YAO
1. Jamii nzima imeanza kutambua haki muhimu za wanawake zaidi ya umiliki wa ardhi
1. Kuimarika kwa mahusiano na ushirikiano miongoni mwa watu wenye ulemavu wenyewe.

2. Kupungua kwa vitendo vya kunyanyapaa na unyanyasaji wa watu wenye ulemavu katika masuala na michakato ya kisera na kimaendeleo katika maeneo yao.
Mabadiliko mengine ni:-
- Baadhi ya Serikali za Vijiji zilikuwa haziendeshi mikutano ya robo mwaka, sasa wameanza katika Kata ya Kagongo.
- Uongozi wa Kituo cha afya Nguruka, umetambua umhimu wa utekelezaji wa sera kwa vitendo na sasa unahamasisha jamii kupanga uzazi na kutambua umhimu wa wanawake wajawazito kuhudhulia kliniki.
-Vyombo vya habari sasa vimeanza kualika watendaji wa asasi yetu katika mijadala ya moja kwa moja katika studio zao zilizoko kigoma na kushiriki kutoa elimu kwa njia ya radio, Kama vile kipindi cha darubini, na Asubuhi njema. ( RFA na radio kwizera) haya ni mabadiriko makubwa.
Jamii imeweza kuhoji matumizi na mapato ya fedha ndani ya kijiji
utunzaji wa kumbukumbu na mahesabu kwenye vikundi kumeonezeka
Ni kuwepo ushirikiano na viongozi kuanzia ngazi ya wilaya hadi kijiji na kupanga mikakati ya pamoja na kugawana majukumu kila taasisi katika kushughulikia watoto yatima na walio katika mazingira hatarishi
Badiliko jingine kubwa ni upande wa wanawake kuonyesha kujitambua wao wenyewe mfano mmoja ni kwa upande wa wanawake 3 wa kata ya Kyimo walioonyesha dhamira kubwa ya kuchukua hatua katika kudai ushiriki wao kwenye mabalaza ya kata na mabalaza ya ardhi, na kupewa nafasi hiyo.
- Pamoja na kuwepo mgawanyiko wa kiitikadi katika jamii hasa vijijini, mtu akiuliza swali au kuongelea kero inayogusa jamii kwa ujumla, alishangiliwa sana na umati wote uliohudhuria
- Mikutano mingine ikiitishwa huwa inaendeshwa kiitikadi zaidi maana watu wa vyama vya ushindani huonekana kama wachochezi wanapohoji mambo ya msingi na mara nyingi hunyimwa nafasi ya kuongea
- Wananchi wameimarishana na kutiana moyo katika kutetea na kudai haki zao
Uelewa wa jamii kuhusu adhari ya maambukizi mapya ya VVU umeongezeka na hivyo wengi wanachukua kinga kuzuia maambukizi mapya hivyo maambukizi mapya ya VVU yamepungua.
1. Kuimarika kwa ushirikiano baina ya viongozi wa serikali za mitaa ngazi ya vijiji na kata na watoa huduma kwa wagonjwa wa muda mrefu majumbani wakiwamo wanaoishi na VVU/UKIMWI.

2. Kuimarika kwa ushirikiano baina ya Serikali na Asasi za Kiraia katika utoaji wa huduma mbalimbali kwa jamii.
SWEAT IS NOW ASSISTING OTHER SMALL ORGANIZATIONS IN WRITING THE STRATEGIC PLANS.
« Swali lililotanguliaSwali lifuatalo »

« Rudi nyuma kwenye ripoti