Describe your linkages with other stakeholders
Stakeholder | How you worked with them |
---|---|
This project activities was linked up with the office of the Tanga city Director | There was the presences of some of the Tanga city heads of department who participated in the project advocacy, sensitizing the community and providing study cases to the public on gender and women development. |
The office of the Tanga District Local Government authorities | The District Local government staff were also invited and attended the planned project activities. and offered to coordinate the project continuity through their wards based community development officers. |
The Tanga Media organizations and Televisions network, the Mwananchi, Mzalendo, Nipashe, Jambo leo and Majira news papers,The Star TV, Tanga TV and the radio One sterio | They advertised and published their project activities in their TVs and newspapers |
We also collaborated with our development partners , the NGOs, TASCO, HADO, JUHUDI, WAMO and may other NGOs. | They offered and assured the organization that they will incorporate gender development plans in their activities and continue mobilizing the community on gender practices. |
Stakeholder | How you worked with them |
---|---|
NON-GOVERNMENTAL ORGANISATION CLUSTER. | KUTUPATIA MGENI RASMI ILI KUTUFUNGIA MAFUNZO YETU RASMI. |
AGAKHAN FOUNDATION | KUTUPATIA MGENI RASMI WA KUTUFUNGULIA MAFUNZO YETU RASMI. |
ZANZIBAR MADRASA RESOURCE CENTRE. | KWA USHAURI WA HAPA NA PALE KATIKA UTEKELEZAJI WA MRADI NA SHUGHULI ZA JUMUIYA. |
.JUMUIYA YA WHITESTAR | .KUTUPATIA MKUFUNZI NA USHAURI WA HAPA NA PALE KATIKA UTEKELEZAJI WA MRADI. |
Stakeholder | How you worked with them |
---|---|
Ofisi ya Afisa elimu msingi ya Halmashauri ya Wilaya ya Mvomero na Morogoro vijijini | Mkutano wa kutambulisha mradi huu wa PETS -kupata wawezeshaji kwa mafunzo ya kamati za shule. -kupata maelezo ya mipango na bajeti za Halmashauri kwa maendeleo ya elimu katika vijiji vya mradi. |
Waratibu elimu kata na watendaji wa vijiji. | -Kuandaa shughuli za mafunzo na kuwaarifu wajumbe. -Kueleza mipango ya kijiji na ya shule katika maeneo yao. |
Waandishi wa habari | -Kutoa taarifa kwa wananchi juu ya dhana na mchakato wa kufanya PETS. |
Mashirika mengine yasiyo ya kiserikali yanayofanyakazi katika vijiji vya mradi | Kubadilishana ratiba na mawazo ili kutogongana katika kuwatembelea wanakijiji kwa makusudi ya kutekeleza miradi. |
Stakeholder | How you worked with them |
---|---|
SERIKALI YA WILAYA | WATENDAJI NGAZI YA KATA NA WILAYA WALIHUSISHWA TANGU HATUA ZA AWALI KWA NJIA YA KUTOA TAKWIMU ZA HALI HALISI YA ELIMU KUANZIA NGAZI YA KATA, WILAYANI NA MKOANI. WAMESHIRIKISHWA KATIKA UTAMBULISHO WA MRADI,MAFUNZO,UHAMASISHAJI, UANDAAJI WA MPANGO SHIRIKISHI NA UFUATILIAJI WA UTEKELEZAJI WA MRADI. MKUU WA WILAYA AKIWA MGENI RASMI WAKATI WA UFUNGUZI. |
IDARA YA ELIMU WILAYANI NA MKOA | TUMEWASHIRIKISHA KATIKA KUANDAA NA KUTOA BAADHI YA MADA ZILIZOKUWA ZIMEKUSUDIWA KATIKA HATUA MBALIMBALI ZA MRADI. TUMEKODI MAJENGO YA VITUO VYA WALIMU ILI KUBORESHA MAHUSIANO NA KUWAONGEZEA KIPATO. WATENDAJI WA NGAZI YA WILAYA, KATA NA SHULE WAMESHIRIKISHWA KATIKA HATUA YA UIBUAJI WA MRADI, UHAMASISHAJI, MAFUNZO, MAANDALIZI YA MPANGO SHIRIKISHI NA UFUATILIAJI WA MANDELEO YA ELIMU KWA KARIBU ZAIDI. |
ASASI ZISIZO ZA SERIKALI. | ASASI ZISIZO ZA KISERIKALI NA MTANDAO WA MASHIRIKA YASIYO YA KISERIKALI VIMESHIRIKISHWA WAKATI WA UTAMBULISHO WA MRADI. |
TAASISI ZA DINI NA SIASA | WAMESHIRIKISHWA KATIKA HATUA ZA AWALI KATIKA KUTAMBUA MAENEO YAMRADI NA WALENGWA WA KATA HUSIKA. WAMESHIRIKI MIKUTANO YA UHAMASISHAJI NA MAFUNZO. |
MADIWANI | WAMESHIRIKISHWA KATIKA MIKUTANO YA UTAMBULISHO WA MRADI, UHAMASISHAJI NA MAFUNZO. |
Stakeholder | How you worked with them |
---|---|
Area Commissioner | The Area \commissioner allowed the District Administrative Secretary (DAS) to officiate the opening of our semminar |
The Member of Parliament (MP) Mr. Abood Aziz | Allowed his TV and Radio crews to cover the opening session of our seminar |
The Morogoro Union of Non-GovernmentalOrganisations (UNGO) | Participated in our seminar and gave us their experiences and consultation on how to operate our organisation |
The Ward education Officer and Community Development Officer | Participated fully in our seminars |
Other NGOs like MKITUNDA /Tunajali | We exchanged our experiences with them |
Stakeholder | How you worked with them |
---|---|
maendeleo ya jamii | tuliweza kupata ushauri kutoka kwa afisa maendeleo ya jamii anayeshughulika na NGO jinsi ya kuwafikia wanawake wajane walio mbali na huduma yetu. |
mtendaji wa kata | aliweza kutushauri kusaidia na watoto ambao wapo mikononi mwa wanawake wajane kwamba shilika linaombwa kufikilia hilo ili hao watoto nao waweze kupata huduma stahiki. |
katibu tarafa | huduma zetu ziwafikie kwa haraka wanawake wajane waishio vijijini maana huko ndiko kuna ukiukwajiwa haki za wanawake wajane. |
Stakeholder | How you worked with them |
---|---|
Serikali ya kijiji, kata,tarafa na wilaya. | Tulitoa taarifa kuhusu kufanyika kwa mradi huu ambapo katika mafunzo ya awali watendaji wa kata wanachama wa BAENET walishiriki. Mafunzo yalifunguliwa na Afisa Maendeleo ya Jamii Wilaya ya Bahi kwa niaba ya Mkurugenzi Wilaya ya Bahi na hatimaye kufungwa na Mhe Diwani wa kata ya Bahi ambapo mafunzo yalifanyikia. |
Idara ya maendeleo ya jamii wilaya ya Bahi pamoja na baadhi ya asasi za kiraia wilayani Bahi ikiwemo BANGONET | Wawakilishi toka idara ya maendeleo ya jamii na BANGONET walihudhuria sehemu ya mafunzo katika utekelezaji wa mradi huu. |
Stakeholder | How you worked with them |
---|---|
Policy Forum- | Exchanging Brochures carrying SAM education |
Same Network of Non Governmental Organizations | Experience sharing |
Better Living Advocates | Experience sharing |
Stakeholder | How you worked with them |
---|---|
SHIVIWATA-Morogoro | Tulipata vipeperushi |
Halmashauri ya wilaya Kilosa | Wawezeshaji |
Viongozi wa vijiji na Vitongoji | Utambuzi wa washiriki wa mafunzo |
Wenyeviti wa vijijij | Kufungua mafunzo |
Mbunge wa Kilosa | Kunga mafunzo |
Stakeholder | How you worked with them |
---|---|
Mahusiano ni kuwa uamuzi na asasi nyingine katika kupanga mipango ya maendeleo ma mazingira | Tumeshirikiana kufanya andiko la mazingira |
Stakeholder | How you worked with them |
---|---|
Kinondoni Municipality | trained us on stategic planning/project write up and networking in HIV.AIDS activities. |
Other non governmental organization | invited them to share experience and skills in project write up and stategic palnning |
ward leaders | know what the organization is doing in their community |
leaders and volunteers and drama groups | project stake holder the are all part of the organization |
Stakeholder | How you worked with them |
---|---|
Ofisi ya Katibu Tawala wa Mkoa (RAS) 1 | Kushiriki kwa Afisa Mipango wa Mkoa Bw. Brown Kintungi katika ufunguzi wa Warsha akiwa Mgeni Rasmi kwa Kutoa hotuba ambayo imetupa mwelekeo mpya wa kuimarisha na kuborsha ushirikiano na Serikali katika ngazi ya Mkoa katika utekelezaji wa Malengo asasi |
Ofisi ya SIDO (M) Pwani | Ushiriki wa Meneja wa SIDO (M) Bi. Agness Yessaya katika warsha ya Siku tano ya kuandaa mpango mkakati wa Pwani-DPA na kutoa mchango wa mawazo kuhusu hursa ya Pwani-DPA kushirikiana na SIDO katika kuchangia kupunguza umasikini wa Kipato kwa Wanawake na Vijana kupitia shughuli za kujiongezea kipato |
Halmashauri ya Mji wa Kibaha | Ushiriki wa Afisa Maendeleo ya Jamii wa Halmashauri ya Mji wa Kibaha, Bi.Siwema Cheru na Kutoa mchango wa Mawazo kuhusu fursa ya Pwani DPA kushiriki na kuchangia kuhamasisha na kuinua ushiriki wa Wananchi katika mikutano ya mipango ya Maendeleo katika maeneo yao |
Community Development Agenda Countrywide (CDAC) | Kushiriki kwa M/kiti mtendaji wa CDAC akiwa Mtaalamu/Mshauri wa Kuongoza mchakato mzima wa uaandaaji wa Mpango Mkakati wa Miaka mitano wa Pwani-DPA |
Wawakilishi wa asasi za kiraia kutoka wilaya za Mafia ,Rufiji,Mkuranga,Kisarawe,Bagamoyo, Kibaha mjini na Vijijini | Ushiriki wao katika kutoa michango ya mawazo kuhusu masuala muhimu nay a Kipaumbele yanayopaswa kushughulikiwa na asasi za kiraia katika kipindi cha miaka mitano ijayo |
Stakeholder | How you worked with them |
---|---|
1.) TAMASHA | •Tulitumia mwezeshaji kutoka kwenye taasisi hii •Ushauri wa namna ya kutekeleza mradi kwa ufanisi •Kubadilishana uzoefu katika utekelezaji wa miradi |
2) WIZARA KAZI AJIRA NA MAENDELEO YA VIJANA | •Tumetumia mwezeshaji kutoka kwenye taasisi hii •Ushauri kuhusu ushiriki na ushrikishwaji wa vijana |
3. TBC 1 | •Tuliaandaa kipindi cha vijana kuzungumzia ushiriki na ushirikishwaji wa vijana katika shughuli za kimaendeleo. |
4.)Tanzania Daima | Kuandika taarifa ya shughuli za TEYODEN katika Gazeti |
HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE | •Ushauri wa namna ya utekelezaji wa mradi na ushiriki wa vijana |
Stakeholder | How you worked with them |
---|---|
Anglican church sumbawanga | walititukodishia ukumbi wawezeshaji wawili walitoka anglican |
ofisi ya mkurugtenzi wa manispaa | ufunguzi wa mafunzo |
ofisi ya mkuu wa mkoa | mwezeshaji mmoja alitoka ofisi ya mkuu wa mkoa |
Stakeholder | How you worked with them |
---|---|
Idara ya Maendeleo ya jamii jiji la Mwanza | Kusaidia kuwapata wawezeshaji wa mafunzo kwa kuzingatia uwezo na uzoefu wao na kwa gharama nafuu |
Stakeholder | How you worked with them |
---|---|
Serikali ya Halmashauri ya wilaya na Serikali kuu | Kupata miongozo mbalimbali |
Mtandao wa mkoa | Msimamizi mkuu wa AZAKI ndani ya mkoa |
Vyombo vya sheri kama mahakama na polisi | kuwashrikisha katika mambo mbalimbali ya kisheria |
Jamii | Wamiliki wakuu wa shughuli za AZAKI na kushiriki kwenye mafunzo mbalimbali |
Stakeholder | How you worked with them |
---|---|
The organization collaborates with local government | Chairperson from local government was opening our training |
JEBA society -Bagamoyo | we collaborates with JEBA society for consultation during project implementation and gain more experience. |
Stakeholder | How you worked with them |
---|---|
Halmashari ya Manispaa Dodoma, na Halmashauri za Wilaya za Bahi, Chamwino, Kondoa, Kongw, Kondoa na Mpwapwa | Baadhi ya watumishi wa Halmashauri hizo walikubali kushiriki kwenye shghuli za Mradi bila vikwazo. |
Asasi za Kiraia zilizopo Dodoma. | Zimeunga sana Mkono shughuli za MED. |
Wananchi wa Kawaida. | Wametoa changamoto kwa MED kujizatiti katika kuhakikisha inawafikia na kuyafikisha mawazo na ushauri wao katika vyombo vya habari ili yapatikane mabadiliko ya kweli. |
Stakeholder | How you worked with them |
---|---|
The government | -The technical personnel(Forest) facilitated the whole workshop -The Mvomero district government gave us a permission to run the workshop -Inauguration of the workshop was done by the Divisional Officer |
CHAVITA -Morogoro branch | Knowing that in the society there are such dissbled people, we invited CHAVITA leaders in the region to bring a challenge to the community so that they recognize such groups. |
Stakeholder | How you worked with them |
---|---|
District Councils of Mkinga, Pangani and Muheza | 1. Use their offices for collection of application forms in ward level 2. Planning together the date of Election 3. Supervising the election in respective wards |
« Back to report