Describe your linkages with other stakeholders
Stakeholder | How you worked with them |
---|---|
West District Leaders and Officers | Planning the modality of impementation of the prject and identified the criteria for selection of participants. They attended in all activities carried out. |
West District Council | They attended all activities carried out. |
Department of Environment | They attend Evaluation Meeting |
Environmental NGOs | They attend in Evaluation Meeting |
Stakeholder | How you worked with them |
---|---|
More Linkages were realized with the offices of the Wards executive Officers Offices from Magoroto, Lusanga,Majengo and Ngomeni . | supported the project and especially in the coordination practices with The trained Training of Trainers and at the House hold Levels |
The Office of the District Forest Officer | Coordinated in the Tree Planting mobilization and help plant quite a number of trees, and especially in Magoroto wards where a large number of Community members came out to plant tree |
The MAMSEA and established Community based Water Resources and Environmental Organization. | Major partner and continued to work hand in hand with JUHUDI in the tree Planting. |
The Muheza Civil Society Organization | linked the Organization with the local and district authorities, some member MUSCO members Organizations members also participated in the Tree planting activities |
The regional Media Group the Mwananchi newspaper, and the Muheza cables and the TBC and ITV | advertised our Training and tree planting activities during the quarter One project implimentation |
Stakeholder | How you worked with them |
---|---|
Halmashauri za Wilaya za Liwale na Ruangwa | Kukubali kushiriki katika vikao vya majadiliano na kubadilishana habari na taarifa, ujuzi na uzoefu tofauti kuhusu michakato ya sera na maendeleo katika Hlamshauri ya wilaya husika. |
Ofisi ya Katibu Tawala (W) ya Ruangwa | Kufanya ufunguzi rasmi na kutoa nasaha katika kikao cha majadiliano na kubadilishana habari na taarifa, ujuzi na uzoefu tofauti kuhusu uandaaji, utekelezaji, usimamizi na tathmini ya utekelezaji mipango na bajeti za maendeleo za Hlamshauri za Wilaya. |
Ofisi ya Idara ya Mipango (W) za Liwale na Ruangwa | Kuandaa na kuwasilisha mada kuhusu wajibu wa idata ya Mipango katika kusukuma mbele gurudumu la maendeleo katika wilaya kwa faida na manufaa ya wananchi. |
Ofisi za Idara ya Maendeleo ya Jamii (W) za Liwale na Ruangwa. | Kuandaa na kuwasilisha mada kuhusu wajibu wa idara ya maendeleo ya jamii katika kusukuma mbele gurudumu la maendeleo katika wilaya kwa faida na manufaa ya wananchi. |
Mitandao ya AZAKi (W) za Liwale (ULIDINGO) na Ruangwa (RUANGONET) | Kusambaza mialiko, kuandaa kumbi na mawasiliano ya moja kwa moja na walengwa/wadau wa mradi ikiwamo Serikali ngazi ya wilaya na Halmashauri kuhusu utekelezaji wa shughuli za mradi katika maeneo yao. |
Stakeholder | How you worked with them |
---|---|
Maafisa watendaji wa kata tatu (1) Dunda (2) Magomeni (3) Yombo | Wameshiriki mafunzo tuliyoifanya ya kujenga uwezo wa Asasi juu ya Utawala bora, Usimamizi wa miradi Usimamizi wa fedha , Uandikaji michanganuo ya miradi na kuandaa kanuni za muongozo wa fedha |
Mwenyekiti na katibu wake wa serikali ya kitongoji cha Dunda | (1) Wamehudhulia mafunzo kama uongozi wa kata tulizitaja juu (2) Kutushauri muda na siku wa kuanza mafunzo yetu |
Stakeholder | How you worked with them |
---|---|
Zanzibar Disableled People Organization. | We incoporate them in the training. |
Zanzibar People Living with HIV/AIDS Organization. | We incoporate them in the training. |
Stakeholder | How you worked with them |
---|---|
TAKUKURU Wilaya walialikwa. | Viongozi wote walikiri kwamba Rushwa ni kubwa na wametoa , ahadi ya kushiriki katika mapambano. |
Afisa maendeleo Wilaya | |
Viongozi wote wa Dini waliopo Wilayani walialikwa. |
Stakeholder | How you worked with them |
---|---|
Afisamtendajiwa serikali ya kijiji cha Sakale | Kwakuwa yeye ndiye aliyetuandikia barua ya utambulisho kwenda kwa shirika laThe Foundation for civil society ilikuwa nilazima tumfahamishe kinacho endelea kutokana nabarua aliyoindika. Kwamba FCS wametupatia fedha kwa ajili ya shughul imaalum kama tulivyoomba,na sasa tunatekeleza shughuli hiyo. |
Stakeholder | How you worked with them |
---|---|
IDARA YA MISITU HALMASHAURI YA WILAYA | KUTOA MADA NA UFAFANUZI WA SERA YA MISITU NA SHERIA ZAKE |
RECOSO /RUSUDESO | KWA KUWAPA HABARI JUU YA MRADI TUNAOTEKELEZA KATIKA KATA TATU ILI KUTORUDIA KAZI HIYO KATIKA KATA HIZO HIZO |
Stakeholder | How you worked with them |
---|---|
Halmashauri ya wilaya (Idara ya maendeleo ya jamii) | walishiriki nasi Kuendesha mikutano ya uhamasishaji, semina na maandalizi |
Halmashauri ya wilaya (Idara ya Ardhi) | walishiriki nasi Kuendesha mikutano ya uhamasishaji na semina |
Mseti Development Asssociation (MDA) | walishiriki nasi kutoa semina na maandalizi |
Katibu Tarafa | Alishirikiana nasi katika kuhamasisha |
Stakeholder | How you worked with them |
---|---|
Madiwani, Watendaji wa Kata, Vijiji/Mitaa | Kuhudhuria mafunzo ya Sera ya Taifa ya Walemavu, kufungua mafunzo na kuelimisha jamii na kusimamia haki za watu wenye ulemavu katika nyanja tofauti. |
Wawakilishi wa Asasi za Kiraia (AZAKi) na Waandishi wa Habari | Kubadilishana habari na taarifa, ujuzi na uzoefu tofauti kuhusu haki za binadamu na masuala ya maendeleo kiujumla na kuhabarisha na kuelimisha jamii kuhusu haki wa watu wenye ulemavu. |
Viongozi wa Dini | Kuhudhuria mafunzo kuhusu Sera ya Taifa ya Walemavu na kuwaelimisha na kuwahamasisha waumini katika dini zao kutambua, kulinda na kutete haki za binadamu zikiwamo za watu wenye ulemavu sawa na Sera na Maandiko matakatifu. |
Maafisa Maendeleo ya Jamii ngazi ya Kata na Wilaya | Kuhudhguria mafunzo na kuelimisha jamii kutambua, kulinda na kutetea haki za binadamu zikiwamo za watu wenye ulemavu. |
Afisa Ustawi wa Jamii Mkoa - Lindi | Kutoa kitabu cha Sera ya Taifa ya Walemavu na kuhudhuria mafunzo ya Sera ya Taifa ya Walemavu yaliyofanyika. |
Stakeholder | How you worked with them |
---|---|
Serikali za Mitaa: - Watendaji wa Kata | Kabla ya mradi kufanyika, shirika letu lilifanya mawasiliano na Watendaji wa kata kwa kupeleka barua za utambulisho wa mradi, katika barua hizo, tulieleza lengo la mradi, kiasi cha fedha kilichotolewa na FCS, aina na idadi ya walengwa wa mradi. Aidha Uongozi wa shirika letu, Watendaji wa Kata, kwa kusirikiana na watendaji wa Vijiji tulifanikiwa kuwapata washiriki wa mikutano ya mabaraza ya Kata na washiriki wa jukwaa la utetezi na Ushawishi juu ya haki za wanawake na jinsia. |
Vyombo vya habari -Radio Kwizera-Kigoma -Radio Free Africa - Star TV -ITV -Magazeti Uhuru, Jambo leo. | Vyombo hivi vya habari, tulivishirikisha ili wahusika ( waandishi wa habari) nao wachangie hoja katika mijadala, kutokana na uzoefu walionao. aidha lengo lingine la kuwashirikisha ilikuwa kusaidia kufikisha ujumbe kwa jamii ( kwa kiwango kikubwa). Kupitia vyombo, hiv |
Dini. Roman Katoliki -FPCT Anglican -Islamu | Hawa walishirikishwa ili kusaidia kuleta ufanisi wa kutekelezwa kwa sera ya maendeleo ya wanawake na jinsia. Pia wao wanasikilizwa na watu wengi kulingana na hadhi yao. Walishiriki katika shughuli zote za utekelezaji wa mradi huu kwa robo hii ya kwanza. |
Vyama vya siasa. CCM CHADEMA CUF NCCR | Viongozi wa vyama walishirikishwa kwa kuhudhulia mikutano ya Mabaraza ya Kata. na kuruhusiwa kuchangia mada mbalimbali.Lakini tuliwashirikisha ili waweze kupata ujumbe wa sera, kwani wanawake wengi wanapojitokeza kugombea nafasi za uongozi (Kisiasa) baadhi ya viongozi wa vyama huwakwamisha wanawake katika kiny'nganyiro cha kura za maoni. na hivyo kufanya sera hii isitekelezeke. |
Idara ya Afya: Mabwana Afya Wakuu wa vituoa vya afya.Zahanati | hawa tuliwashirikisha ili waweze kuitambua sera kwa kuhdudhuria mikutano ya Kata, iliyoendeshwa kwa muda wa siku mbili kila kata. lengo lilikuwa ni kuwawezesha kuijua sera na kisha kuitekeleza kwa vitendo kwa kutoa huduma bora kwa Haswa mama wajawazito na watoto. |
Stakeholder | How you worked with them |
---|---|
Ofisi ya Mkurgenzi ya halmashauri ya wilaya Bagamoyo | Alitoa barua kuwaagiza watendaji wa kata na vijiji kushiriki kikamilifu katika mradi unaotekelezwa na shirika la JEBA katika kata zao. |
Watendaji wa vijiji katika kata zote kunakotekelezwa mradi | Walishiriki mafunzo ya utawala bora kwa siku zote nne mfululizo katika kata na kwenye vijiji husika |
Vikundi vya CARE | Wawakilishi kutoka katika vikundi hivyo walitoa uzoefu namna ya kuhifadhi fedha na jinsi ya kuzitumia na kurejesha |
Ofisi ya mkuu wa wilaya Bagamoyo | Alikuwa akitufungulia semina zetu na kuweka msisitizo kwa waheshimiwa madiwani kufuatilia kwa makini mafunzo yanavyoendeshwa na kuyafanyia kazi. |
Stakeholder | How you worked with them |
---|---|
Mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya Sumbawanga | Anashiriki kwa kutoa wataalamu na usafiri tunapohitaji. |
Watendaji wa kata, madiwani na serikali za vijiji | Wanashiriki kusimamia utekelezaji wa mradi |
Wananchi | Wanashiriki katika kutekeleza mradi |
Walimu wa shule za msingi na sekondari | Wanashiriki katika utambuzi wa watoto walio katika mazingira hatarishi |
Akinamama walea watoto yatima | Wanauelewa mzuri wa wajibu wao na kuondoa unyanyasaji kwa watoto yatima. |
Stakeholder | How you worked with them |
---|---|
Vyombo vya habari mfano ITV, NIPASHE NA MWANANCHI | Vyombo vya habali viliweza kurusha shughuli zetu hewani na kuufanya mradi kutambulika na jamii kubwa |
Serikali ya Tanzania | Mkuu wa Wilaya ya Rungwe ndiye aliyefungua mafunzo tuliyokuwa tukiendesha. Watendaji wa kata na vijiji waliweza kutoa ushirikiano mzuri katika kuwatambua washiriki waliopata mafunzo |
Vituo vya sheria | Tumeweza kushirikiana na kituo cha sheria Mbeya hasa katika kutoa rufaa ya kesi zinazohitaji msaada wa kisheria. |
Asasi zisizo za kiserikali mfano Planet Vision, Walter reed | Tumeweza kushirikiana nao katika kuchangia mawazo ya kuboresha shughuli mbalimbali za mradi unaoendelea. |
Stakeholder | How you worked with them |
---|---|
Wakuu wa Wilaya | Kila Wilaya tulipokwenda kuendesha mikutano tuliwatembelea wakuu wa Wilaya kuwaelezea madhumuni ya mikutano tunayoifanya na hatimaye kuwaomba wawe wageni rasmi kufungua na hata kushiriki |
Wakurugenzi wa Halmashauri | a)Kila mkutano tulioendesha wakurugenzi husika walialikwa kushiriki- wengi watuma wawakilishi, pia tulishirikiiana nao katika maandalizi ya awali b)Watumishi wa idara mbali mbali walishiriki kwa kujibu maswali na hoja zilizojitokeza na kuchukua yale yaliyohitaji kufanyiwa kazi |
Wenyeviti na Madiwani wa Halmashauri | Walialikwa kushiriki katika mikutano na baadhi walihudhuria na kutoa majibu na ufafanuzi kwa baadhi ya mambo yaliyojitokeza |
Watendaji wa Kata na vijiji | Walishirikiana na viongozi wa mitandao kuteua washiriki |
(6) Asasi (7) Mitandao (8) Wafanyabiashara (9) Jamii (10) FCS | Walishiriki kwenye midahalona kusaidia kuteua washiriki Mitandao ya Wilaya ambayo ni zao la Asasi ndiyo ilikuwa kiungo kikuu cha mawasiliano na Waheshimiwa Wabunge kupanga siku ya Mkutano. Kuandaa kumbi za Mikutano, kuteua washiriki kwa kufuata vigezo na hatimaye kuandaa na kusambaza barua za mialiko kwa washiriki wote Walisadia kutuwezesha kupata kumbi, viburudisho na vyombo vya mawasiliano, usafiri na vyakula Ndio walengwa na wanufaika wa Mradi, walishiriki katika mikutano na kutoa mawazo, maoni, kuuliza maswali na kupata majibu Wametoa ruzuku |
Stakeholder | How you worked with them |
---|---|
Manispaa ya arusha | Afisa maendeleo ya jamii alishirikishwa hatua zote za mradi ambaye ndiye alitambulisha mradi kwa watendaji wa kata za Sokoni 1 na Unga Limited. Walihudhuria kikao cha tathmini. |
Serikali za kata | Watendaji wa kata walishirikishwa mbao ndio waliutambulisha mradi kwa watendaji na wenyeviti wa mitaa |
Serikali za mitaa | Wenyevikiti wa mitaa walisaidia kutoa matangazo kwa wananchi na pia walitoa orodha ya walengwa wanaoishi katika maeneo yao kwa asasi ya ARV Esupat Group |
Asasi ya waviu uitwayo Arusha Living Positively with HIV AIDS ALPHA+ | Viongozi wa Alpha walishiriki kwa kubadilishana uzoefu na timu ya esupatiGroup |
Asasi ya waviu ya Tumaini Post Test TUPO) | Viongozi wa tupo walishiriki kwa timu ya ARV Esupat Group |
Stakeholder | How you worked with them |
---|---|
Idara ya Afya - Halmashauri ya Manispaa ya Lindi. | Kutoa wataalamu wa afya na baadhi ya taarifa na takwimu muhimu zilizohitajika. |
Idara ya Afya - Halmashauri ya Wilaya ya Lindi. | Kutoa wataalamu wa afya na baadhi ya taarifa na takwimu muhimu zilizohitajika. |
Viongozi wa Serikali za mitaa (kata, mitaa na vijiji) | Kuwatambua watoa huduma kwa wagonjwa wa muda mrefu majumbani wakiwamo watu waishio na VVU/UKIMWI na walengwa wa mradi. |
Asasi za Kiraia (AZAKi) na Waandishi wa Habari | Kushiriki mdahalo na tathmini ya mwisho wa utekelezaji wa mradi na kuhabarisha umma kuhusu taarifa za mradi. |
Viongozi wa dini | Kushiriki mdahalo na tathmini ya mwisho wa utekelezaji wa mradi na kuelimisha waumini wao kuhusu athari za VVU/UKIMWI katika maendeleo na unyanyapaa kwa watu wanaoishi na VVU/UKIMWI. |
Stakeholder | How you worked with them |
---|---|
KINNAPA DEVELOPMENT PROGRAMME | ASSIST US WITH WRITING, PRINTING AND HOSTING OUR TRAINING |
KCS FORUM | ADMITTED US AS THEIR MEMBERS SUPPORTED WITH BOOKLETS AND OTHER USEFULL PUBLICATION FOR OUR WORK. |
KITETO DISTRICT COUNCIL | PROVIDED US WITH PLANNING PERSONEL DURING THE DAYS OF THE TRAINING |
TAPHGO | ADMITTED US AS THE MEMBERS |
PINGOs FORUM | ADMITTED US AS MEMBERS, SUPPORTED IN TRANSPORT AND BOUGHT US A 3 IN 1 PRINTER |
Stakeholder | How you worked with them |
---|---|
Local Government Authority (Government Institution) | Participates in Trainings, Sources of information for the training needs |
Wete Town Council (Government Institution) | Participates in Trainings, Information sharing |
PIYDO (an NGO) NOAC (an NGO) | Participates in Trainings Participates in Trainings |
District Council (Government Institution) | Information Sharing, as well as District Commisioner was a Guest of Honour on activity no. 1.0 "Introduction of the Project to Stakeholder". |
Ministry of Health (Government Institution) | Participates in Trainings, Information sharing |
Stakeholder | How you worked with them |
---|---|
Community Leaders | They were involved right from the initial stage and fully participated in the training and the whole process of Strategic Plan development. |
District Council. | Fully participated in the training and whole process of Strategic Plan development. |
District Commissioner's Office | Paticipated right from the initial stage and participated in developing Strategic Plan. |
Department of Environment | Fully participated in training and had positive contribution in S.P development process. |
« Back to report