What are your plans for the next Quarter reporting period?
Activities Planned | 1st Month | 2nd Month | 3rd Month |
---|---|---|---|
NOT/APPLICABLE | |||
Not/Applicable | |||
Not /applicable |
Activities Planned | 1st Month | 2nd Month | 3rd Month |
---|---|---|---|
MRADI WETU NI WA KIPINDI CHA MIEZI MITATU TU KWA HIVYO HATUTOKUWA NA SHUGHULI NYENGINE ZA KUFANYA ILA TUNATARAJIA KUOMBA RUZUKU ZAIDI KWA AJILI YA UTEKELEZAJI WA MRADI MWENGINE. |
Activities Planned | 1st Month | 2nd Month | 3rd Month |
---|---|---|---|
Kuunda timu na kufanya mafunzo ya utafiti wa PETS. Washiriki 50 watapatiwa mafunzo na kushiriki katika kufanya PETS, na watapatikana toka eneo la mradi | April | May | June |
Activities Planned | 1st Month | 2nd Month | 3rd Month |
---|---|---|---|
KUTEMBELEA KATA ZOTE 5 KUONA UTEKELEZAJI WA MPANGO SHIRIKISHI, KUKUTANA WATENDAJI KUPATA MAONI YAO JUU YA MWITIKIO WA JAMII KUHUSU SUALA LA ELIMU. | V | ||
KUWA OFISINI NA KUANDIKA TAARIFA YA ZIARA ZA KATA HUSIKA. | V | ||
KUTEMBELEA SHULE ZILIZOKO KATIKA KATA HUSIKA ,KUKUTANA NA WALIMU NA KUJADILI KWA PAMOJA HALI YA UANDIKISHWAJI NA MAHUDHURIO KABLA NA BAADAYA UHAMASIHAJI NA MAFUNZO | V | ||
KUENDELEA KUKUTANA NA WADAU MBALIMBALI WALIOSHIRIKI KATIKA MRADI KUPATA MAONI YAO JUU YA UTEKELEZAJI WA MAAZIMIO WAKATI WA MAFUNZO NA NINI KIFANYIKE BAADAYE KATIKA KUBORESHA ELIMU WILAYANI LINDI.. | V | V | |
KUWA OFISINI KUANDAA TAARIFA,KUUNGANISHA NA KUTAFSRI TAKWIMU ZILIZOTOKA KATIKA KATA NA MASHULE NA MWISHO KUANDIKA TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA MRADI NA KUSAMBAZA KWA WALENGWA NA WAHUSIKA WAKUU. | V | V | |
KUKUSANYA TAARIFA NA TAKWIMU MBALIMBALI KWA KUSHIRIKI MIKUTANO YA TATHMINI YA ELIMU KIWILAYA NA KIMKOA, KUTEMBELEA KATA ZINGINE KWA NIA YA KUTAMBUA KUKUTANA NA WATENDAJI NGAZI YA KATA, SERIKALI ZA VIJIJI, NA WANAJAMII KUIBUA NA KUTAFITI ZAIDI MAMBO YANAYOPELEKEA KUSHUKA KWA KIWANGO CHA ELIMU WILAYANI LINDI. | V |
Activities Planned | 1st Month | 2nd Month | 3rd Month |
---|---|---|---|
Survey and Mapping of the Area and Schools to be covered by the project | Aug 2011 | ||
Identification of drop out school girls | Aug 2011 | ||
Registration of drop-outs school girls | Sept 2011 | ||
Training on the following subjects:- (i) Healthy reproduction capacity builging for wards social comunity officers (ii) HIV and HIV Counselling/and legal councelling (iii) Formal Schooling/vovation traning (iv) Vocational Training (v) Capacity Builing of Community Health Officers | Oct 2011 | ||
Sponsoring of girls to formal and vocational training (To continue to the next quarter) | Sept 2011 | Oct 2011 |
(No Response)
Activities Planned | 1st Month | 2nd Month | 3rd Month |
---|---|---|---|
Utekelezaji wa shughuli za mradi umeisha na mradi umefungwa, hivyo utoaji taarifa utategemea wadau kuuliza au kuhoji taarifa wanae ihitaji na sisi tupo tayari kujibu kwa kuitolea maelezo. |
Activities Planned | 1st Month | 2nd Month | 3rd Month |
---|---|---|---|
Training on Social Accountability Monitoring in health sector | 1.To conduct SAM | 1.Monitoring and evaluation,administration | 1.Monitoring and evaluation |
Activities Planned | 1st Month | 2nd Month | 3rd Month |
---|---|---|---|
Kuendelea kutoa elimu juu ya sera na haki za watu wa jamii yenye ulemavu katika kata sita nyingine za wilaya ya Kilosa ,ili kuweza kuwafikia watu wengi zaidi | Juni,2011 | Julai,2011 | Agosti,2011 |
Activities Planned | 1st Month | 2nd Month | 3rd Month |
---|---|---|---|
Kutoa elimu ya ujasiliamali na mazingira | Elimu kwa wajasiliamali | Elimu ya maziingira | Elimu ya kuzuia maambukizi ya ukimwi na VVU |
Activities Planned | 1st Month | 2nd Month | 3rd Month |
---|---|---|---|
Submit next proposal to the Foundation for Civil Society | MAY 2011 |
Activities Planned | 1st Month | 2nd Month | 3rd Month |
---|---|---|---|
1.)Kutengeneza majukwaa 12 ya vijana katika kata 12 za mradi Temeke. | X | ||
2.)Kufanya midahalo 4 ya kujadili changamoto na kuweka mikakati ya kutatua. | X | ||
3.)Kufanya ufuatliaji wa matokeo na kukusanya takwimu za matokeo katika kata 12 za mradi Manispaa ya Temeke. | X |
Activities Planned | 1st Month | 2nd Month | 3rd Month |
---|---|---|---|
mradi wetu ulikua wa robo mmoja tu! | √ | √ | √ |
Activities Planned | 1st Month | 2nd Month | 3rd Month |
---|---|---|---|
HAKUNA SHUGHULI NYINGINE ILIYOFADHILIWA NA THE FOUNDATION KATIKA ROBO IJAYO |
Activities Planned | 1st Month | 2nd Month | 3rd Month |
---|---|---|---|
Kuendesha mafunzo kwa wanachama 60 wa AZAKI juu ya PETS | v | v | v |
Activities Planned | 1st Month | 2nd Month | 3rd Month |
---|---|---|---|
Kuendelea kutafuta udhamini wa vipindi zaidi vya Radio katika Robo mwaka ya kwanza. . | Jan-Mach, 2011 | ||
Kuendelea na shughuli za vipindi vya radio katika robo ya pili hadi ya nne. | Apr - Des, 2011 | ||
Kuendelea kutafuta rasilimali fedha na watu. Robo ya 1 - 4 | Jan -Des 2011 | an -Des 2011 | an -Des 2011 |
MED kuendelea na mchakato wa kupata usajili | Jan - Apr, 2011 |
Activities Planned | 1st Month | 2nd Month | 3rd Month |
---|---|---|---|
To run a workshop on the importance of tree planting and the use of energy serving stoves for Doma Ward | xx |
Activities Planned | 1st Month | 2nd Month | 3rd Month |
---|---|---|---|
Election of Parliament leaders (Speaker, Depute Speaker and Parliament Secretary) in Mkinga District | v | ||
Election of Parliament leaders (Speaker, Depute Speaker and Parliament Secretary) in Korogwe District | v | ||
Election of Parliament leaders (Speaker, Depute Speaker and Parliament Secretary) in Lushoto District | v | ||
Election of Parliament leaders (Speaker, Depute Speaker and Parliament Secretary) in Muheza District | v |
« Back to report