Injira
Foundation for Civil Society

Foundation for Civil Society

Dar es Salaam, Tanzania

What are your plans for the next Quarter reporting period?

Activities Planned1st Month2nd Month3rd Month
Conduct two days Open Forum to 255 Community Members of West District in 29 Shehias on Environmental Management.AugustSeptember
Evaluation MeetingOctober
Activities Planned1st Month2nd Month3rd Month
NOT APPLICABLE
Activities Planned1st Month2nd Month3rd Month
Kuendesha mafunzo ya siku 2 kwa wawakilishi 30 wa AZAKi wa wilaya ya Lindi juu ya dhana ya Ufuatiliaji Uwajibikaji Kijamii (SAM) ifikapo Desemba, 2011.xxxxxxx
Kufanya vikao vya siku 1 kati ya viongozi/watendaji wa Halmashauri za Manispaa na Wilaya Lindi na wawakilishi wa AZAKi vya kujadiliana na kubadilishana habari na taarifa, ujuzi na uzoefu tofauti kuhusu michakato ya uandaaji, utekelezaji, usimamizi na tathmini za mipango na bajeti za maendeleo ifikapo Desemba, 2011.xxxxxxx
Kufanya ufuatiliaji na tathmini shirikishi ya maendeleo ya utekelezaji mradi katika wilaya ya Lindi ifikapo Desemba, 2011.xxxxxxxxxxxxxxxxxxxxx
Activities Planned1st Month2nd Month3rd Month
Kufanya mafunzo ya kujenga uwezo wa Asasi juu ya utawala bora usimamizi wa fedha ,Uandikaji wa michanganuo ya miradi kuanda kanuni za muongozo wa fedha ___
Kufanya tathimini na ufuatiliaji wa mradi___
Kuandaa taarifa ya mwisho ya mradi na kuituma The foundation for civil society.___
Activities Planned1st Month2nd Month3rd Month
2 days training on land Laws for 180 citizens from 45 shehia in 3 districts ( West, Central and South )xxx
One media campaign in Zanzibar that will raise public awareness about the importance of citizens to have access to land rights. x
Two days training for 60 representatives of village land assemblies, shehia council members and councillors on land Laws.x
One meeting between our organization with executives of the Ministry of Land and Environment to the present agenda for policy development.x
One meeting between our organization with executives of the Ministry of Land and Environment to the present agenda for policy developmentx
Administrationxxx
.
Activities Planned1st Month2nd Month3rd Month
Mradi wetu ulikwa wa robo1, kwa hiyo hakuna shaghuli zingine.
Activities Planned1st Month2nd Month3rd Month
AWAMU HII ILIKUWA NI YA MWISHO KWA UTEKELEZAJI WA MRADI
Activities Planned1st Month2nd Month3rd Month
Hakuna shughuli zilizopangwa kwakuwa mradi wetu ulikuwa wa miezi mitatu tu! na hivyo shughuli zake zimeisha
Activities Planned1st Month2nd Month3rd Month
Hakuna shughuli zilizopangwa kutekelezwa katika robo ijayo kwa kuwa mradi ni wa miezi mitatu (robo moja ya mwaka)---
Activities Planned1st Month2nd Month3rd Month
Kuunda Kikosi cha wafuatiliaji wa masuala ya unyanyasaji wa wanawake vijijini ( Gender Violance Monitoring Group) na kuripoti na pia kutafuta mfumo bora wa kuripoti matukio hayoxxxx
kuendesha jukwaa la utetezi na ushawishi ambapo wahanga wa matukio ya unyanyasaji wataalikwa kutoa changamoto walizopitia na mikakati ya pamoja kuandaliwa.xxxx
Kufanya ufuataliaji na tahimini kwa kutemebelea Kila kata angalau mara moja kwa mwezixxxxxx
gharama za utawala: Posho,Mawasiliano na shajala.xxxxxxxxx
Activities Planned1st Month2nd Month3rd Month
Kuendesha semina ya utawala bora kwa siku nne (4) katika kata ya Zinga na Msata.
Maafisa 2 watendaji wa mradi kufanya ufuatiliaji na kukusanya takwimu katika kila ofisi ya kijiji kwenye kata za Msata na Lugoba.
• Kuandika ripoti ya utekelezaji mradi (ripoti ya robo) na nakala kuzituma kwa wadau ambao ni The Foundation for Civil Society (FCS), ofisi ya Mkurugenzi mtendaji (W) Bagamoyo, ofisi ya Mkuu wa Wilaya na katika kila ofisi ya kijiji na kwenye kata za Zinga na Msata.

Activities Planned1st Month2nd Month3rd Month
Ufuatiliaji na kuimarisha kamati za vijiji shughuli za utekelezaji mradiwa kwanza
Activities Planned1st Month2nd Month3rd Month
Kuendesha mkutano na viongozi wa vijiji na kata (60) ili kuhamasisha utetezi juu ya mwanamke hasa katika kuwasikiliza pindi wanapoleta malalamiko yanayohusisha uonevu na ukatili.X
Kufanya mchakato mzima wa ufuatiliajiXXX
Activities Planned1st Month2nd Month3rd Month
Hakuna shughulin zilizopangwa kutekelezwa baadae kwa kuwa mradi umefikia mwisho (robo nne zote zimeshatekelezwa)
Activities Planned1st Month2nd Month3rd Month
OUR PROJECT WAS JUST FOR ONE QUARTER
Activities Planned1st Month2nd Month3rd Month
Activity 7.0:
Conduct Public Expenditure Training (PET) to 18 people - selected youth volunteers, YODESO members, staff and selected staff from 3 youth organizations in Wete.
May
Activity 8.0:
Conduct PET of funds in Health sector in Wete district and advocate improvement for any observed weakness
May
Activity 6.0:
Conduct a 3 days training workshop to 30 youths to understand local government structures, rights, duties and responsibility and also understand and participate in local government budget process so as to increase accountability and transparency in Wete district
June
Conduct monitoring and evaluation activities (follow ups and review meetings)AprilMayJune
Activities Planned1st Month2nd Month3rd Month
Dialogue meetingJune
Evaluation MeetingJune
Awareness Meetings for Community Leaders JulyAugust
« Previous questionNext question »

« Back to report