Injira
Foundation for Civil Society

Foundation for Civil Society

Dar es Salaam, Tanzania

Describe any challenges encountered in implementing the project and how they were overcome.

ChallengeHow it was overcome
1. None of the 135 community leaders had seen National Environmental Policy or Environment for sustainable Management Act of Zanzibar. The above have never been disseminated. It is a draw back that needs to be addressed in future interventions.

• This was discussed and agreed to be disseminated in the future.
2. Some very important items needed for the exercise such as allowance for Supporting Staff and transport for chief guest were not budgeted for; This was overlook during budget preparation.


CODECOZ spent its own money to pay for the items.
ChallengeHow it was overcome
The Muheza District forest department refusal to cooperate in the project implementation after a corrupt deal between the local Government and individual business men allowing for the cutting down of Mvule trees ( the preserved Hard trees species) around the water source which was aired by the ITV and the TBC and which soon immediately brought the Ministry Department to visit the was area and which over 12 forest department officials involved were forced out of their Jobs was really heart shakingWe tried to address the issue as a national Threat , that needs the cooperation of all the stakeholders and especially major Stakeholders like the Forest Department, and we will continue empowering them on the need for a role playing in the fight against the mismanagement of the water resources
The increasing mass use of Fire wood for energy purposes by the local Community hinders proper protection and management of the Water resources’ Management.We introduced and will continue empowering the community on the use for locally made improved fire wood cooking stoves that reduces the mass cutting of trees For domestic energy
The Tree and Forest Burning is a common activity in these areas, and may be of a high magnitude and affect the general forest protection mechanisms, affects several water sourcesThe Organization empowered the local community and workshop participants on the need to have a more and enhanced community based efforts that take legal action on the unnecessary Burning Of Trees and forests
ChallengeHow it was overcome
Viongozi na watendaji wa Halmashauri za wilaya/manispaa kuwa na fikra mgando kwamba wao ndio wanaojua kila kitu na kwamba ndio serikali yenyewe.Kuelimishana na kupeana habari na taarifa kuhusu wajibu na majukumu ya viongozi na watendaji wa Halmshauri katika kuandaa, kutekeleza na kusimamia mipango na bajeti za maendeleo.
AZAKi kutotekeleza wajibu wao wa kuhamasisha na kuelimisha jamii ipasavyo kutambua nafasi, wajibu na haki zao katika michakato ya sera na maendeleo.Kuhamasisha AZAKi kutimiza wajibu wao wa kuelimisha na kuhamasisha jamii katika masuala tofauti ya kiuchumi, kijamii na kiutamaduni.
AZAKi kukosa/kuwa na maarifa, mbinu na stadi visivyokidhi haja na mahitaji ya kufanya ushawishi na uchechemuzi kuhusu haki na wajibu wa wananchi kushiriki katika michakato ya sera na maendeleo.Kuelimisha na kuhamasisha AZAKi kujengeana uwezo na stadi za kufanya ushawishi na uchechemuzi wa kudai haki na wajibu wao na jamii katika michakato ya sera na maendeleo.
Kupanda kwa gharama za baadhi ya mahitaji na vifaa muhimu katika utekelezaji wa shughuli za mradi kiufanisi; mf. Vyakula, nauli kwa washiriki n.k.Kununua/kulipia vifaa na/au mahitaji ya utekelezaji wa mradi yanayoendana na bajeti iliyopo kwa kuzingatia ubora na hali halisi iliyopo.
Baadhi ya watendaji/viongozi wa AZAKi kutofahamu vyema malengo ya mradi na matokeo/mabadiliko yaliyokusudiwa na kutarajiwa.Kuelimishana na kuelekezana malengo ya mradi, matokeo/mabadiliko yaliyokusudiwa na kutarajiwa.
ChallengeHow it was overcome
The cost planned for the projects was low due to rise in price of many itemsWe are forced to bargain for other items.
ChallengeHow it was overcome
Mradi huu ulilenga kuelimisha jamii kabla ya uchaguziViongozi wote wa asasi waliitwa kwenye mdahalo wa uchaguzi ulioandaliwa na UNGO kwa msaada wa FCS .
Fedha zilichelewaHapo walipewa maelekezo kwa ufupi ambayo waliyatoa kwa watu kwa mbinu mbali mbali
Mafunzo yamefanyika baada ya uchaguzi mwezi January - 2011
ChallengeHow it was overcome
Wawezeshaji walitutaka tupunguze mada za mafunzo kwa kuwa muda tulio panga haulingani na mada za mafunzo, mfano'Mpango mkakati ni somo linalo hitaji kushughulikiwa angalau kwa siku nne'tuliwaomba wajitahidi kutumia muda uliopangwa kwa kuwa hatuna uwezo wa kuwalipa ikiwa siku za mafunzo zitaongezeka[ wlituelewa wakafanya kazi kwa kadri ya mpango wetu]
Wawezeshaji walilalamikia viwango vya malipo yao, kwamba ni fedha kidogo sanana tunawalipaTuliwaeleza kuwa tunajuwa kuwa ni fedha kiasi, lakini hatuna uwezo wa kuwalipa zaidi ya hizokwani mfadhili ametoa hizo, na tuliwaomba watusaidie kwa kuwa bado sisi ni asasi changa, tukawaonesha na bajeti ya mradi. Walikubali na wasema kwamba wataendelea kutusaidia ;paka hapo tutakapoonesha kuwa tume komaa.
Wawezeshaji walilalamika kwamba hatujawalipa gharama za usafiri kutoka Dar-es-salaam hadi Sakale na kurudi Dar-es-salaamTuliwaomba watuvumilie kwa kuwa suala la gharama za usafiri kwa wawezeshaji hatukuliweka katika bajeti na kwa hivyo mfadhili ametoa kiasi kilichooneshwa katika bajeti ya mradi.[ waliridhika lakini wakasizitiza kwamba wakati mwingine tuwe makini katika swala hili.
Muda wa mafunzo ulikuwamfupi ukilinganisha na mahitaji, jambo ambalo limefanya baadhi ya mada kutokaa sawa kwa baadhi ya wanachama\ washirikiTumekubaliana kwa kuwa kuna baadhi ya wanachama wameelewa vizuri mafunzo na pia pia tumepatiwa vitini. kazi ya kufundishana zaidi tutaendelea kuifanya katika asasi.
ChallengeHow it was overcome
SERIKALI ZA VIJIJI KUTOTHAMINI KAMATI ZA MAZINGIRA ZA VIJIJI KAESO IMESHAURI KAMATI HIZO KUKUTANA MARA KWA MARA NAKUTOA TAARIFA KWA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZAO KWA SERIKALI ZA VIJIJI VYAO .
VIONGOZI WA SERIKALI ZA VIJIJI KUTOJUA SERA YA MISITU NA SHERIA TULITOA ELIMU NAKUDURUFU SHERIA YA MISITU
WASHIRIKI KUHITAJI POSHO BADALA YA CHAKULA KAESO ILITOA MAELEZO KUWA MFUMO WA MFADHILI WETU KWA SASA NI KUTOA CHAKULA NA MAFUNZO TU.
ChallengeHow it was overcome
Wanajamii wengi walikuwa wamebanwa sana na majukumu yao ya kila siku hasa ukizingatia msimu wenyewe ni msimu wa kilimo kwa eneo hili na hivyo kushindwa kufanya mikutano nyakati za kawaida yaani asubuhi au mchana.Mikutano ilifanyika nyakati za jioni wakati watu waliowengi wamesharudi kutoka mashambani
Kuna kijiji kimoja kulitokea na msiba wa mtu muhimu hapo kijijini na hivyo watu wote walienda kwenye msiba huo na hivyo tukashindwa kuendesha mkutano.Tulilazimika kutumia siku ya jumapili ya tarehe 31/1/2011 kufanya mikutano vijiji viwili badala ya kijiji kimoja
Baadhi ya viongozi wea vijiji viwili hawakutupa ushirikiano wa kutosha katika kutoa taarifa kwa wanajamii kuhusu kufanyika kwa mikutano ya hadharaTuliwasiliana na viongozi wa ngazi ya kata ili wawahamasishe hao viongozi kutoa matangazo ya ratiba ya mikutano kwa wanajamii wote
Kutokana na myumbo wa uchumi baadhi ya bidhaa zilikuwa zimeongezeka bei km. daftari na nauli za sehemu nyingine zilikuwa zimepanda zaidi kuliko zile tulizopangia bajetiKwenye bidhaa kama daftari Asasi ililazimika kutumia pesa kutoka kwenye mfuko wa Asasi. Lakini pia suala la Nauli tulikubaliana na wajumbe kuwa wajumbe wachangie kiasi kinachoongezeka kwenye nauli iliyopangwa
ChallengeHow it was overcome
Watu wenye ulemavu wengi kuwa na kiwango duni au kukosa kabisa elimu iliyo rasmi.Mafunzo yaliendeshwa kwa kutumia zaidi mbinu shirikishi za uwezeshaji.
Kuwepo kwa idadi kubwa ya watu wenye ulemavu katika jamii ikilinganishwa na uwezo wa mradi kuwafikia walengwa.Watu wenye ulemavu walioshiriki mafunzo kuhamasishwa kuwajengea uwezo na uelewa wenzao kuhusu Sera ya Taifa ya Watu wenye Ulemavu.
Kukosekana kwa sheria ya watu wenye ulemavu hali inayopelekea Sera ya Taifa ya Watu wenye Ulemavu kutotekelezwa kabisa au kutekelezwa kwa mapungufu makubwa.Kuwahamasisha watu wenye ulemavu na wanaharakati wengine kuunganisha nguvu na sauti ili kuhimiza Serikali na wadau wengine utekelezaji wa Sheria Na. 10 ya 2010 ya Walemavu
Jamii kukosa mwamko na hamasa ya kuwasaidia na kuwawezesha watu wenye ulemavu katika nyanja tofauti za kiuchumi, kijamii, kisiasa na kiutamaduni.Kuelimisha na kuhamasisha jamii kutambua, kulinda na kutetea haki na wajibu wa watu wenye ulemavu katika nyanja mbalimbali za kimaendeleo.
Watu wenye ulemavu kukosa uwezo na uelewa wa kutosha kuhusu Sera ya Taifa ya Walemavu na Sheria mbalimbali zinazolenga kulinda na kutetea haki zao.Watu wenye ulemavu walioshiriki mafunzo kuhamasishwa kuwajengea uwezo na uelewa wenzao kuhusu Sera ya Taifa ya Watu wenye Ulemavu.
Kuwepo kwa vitendo vya uvunjifu wa haki za binadamu zikiwamo haki wa watu wenye ulemavu.Kuelimisha na kuhamasisha jamii kulinda na kutetea haki za binadamu zikiwamo za watu wenye ulemavu.
Watendaji wa Serikali za Mitaa ngazi ya Kata,Vijiji/Mitaa na Madiwani kutoelewa kabisa Sera ya Taifa ya Watu wenye Ulemavu hali inayopelekea haki wa watu wenye ulemavu kutosimamiwa kikamilifu. Kuhamasisha watendaji wa Serikali za Mitaa pamoja na madiwani kusimamia kikamilifu haki za watu wenye ulemavu katika nyanja tofauti za kimaendeleo.
ChallengeHow it was overcome
Kwa ujumla hakuna changamoto zilizojitokeza na kusababisha kutofikia malengo. hata hivyo changamoto kubwa ilikuwa kwenye bajeti yetu haswa kwenye upande wa nauli za washiriki wa mkutano ngazi ya Kata. Kwenye bajeti tulijikuta kifungu cha nauli hakiupo. Tulifanya majadiliano na Watendaji wa Kata ili waweze kutusaidia kutumia Madarasa ya Shule za Msingi/Sekondari bila gharama ili gharama za kulipia ukumbi zitumike kulipia nauli. Isipokuwa kwa upande wa kasulu tulipunguza gharama ya matumizi ya ununuzi wa petroli na kulipia ukumbi.

Malalamiko ya washiriki juu ya kiwango cha nauli kilicholipwa cha Tsh 5000, wakati wa mikutano ya Kata kuwa kidogo.
ChallengeHow it was overcome
1. Vijiji vingi vya kata ya Kibindu viko mbali sana na kata ni kilomita 90 kutoka makao makuu ya Kata ambapo mafunzo yalikuwa yakiendeshwa. Washiriki walihitaji walipwe nauli ya kwenda na kurudi shs 15,000/=.Ilibidi mratibu wa mradi na viongozi wengine wa Jeba tuwafahamishe kuwa tangu mwanzo wa kubuni na kuandaa mradi hatukutegemea kuwa hali ya usafiri kutoka huko vijijini itakuwa ngumu kiasi hiki. Hivyo tunawaomba wenye kuwa na ndugu hapa Kibindu mjibane hadi siku nne za mafunzo haya. Pia mkataba tuliosaini na wafadhili wetu The Foundation hauna Nauli wala Posho ya kujikimu kwa washiriki, ila unasema washiriki watapewe posho ya chai na chakula na sio kupewa pesa mkononi.
Kata ya Kibindu haina maji safi na salama, ni maji ya visima yenye chumvi chumvi.
Ilibidi tukubaliane na hali halisi ilivyo pale kijijini, tutumie maji ya chumvi kuogea naya ya kunywa tulinunua dukani.
Katika kata ya Kibindu ukumbi ulikuwa mzuri ila tatizo ofisi ya kata na kijiji haina huduma ya vyoo. Uongozi wa Serikali ya kijiji cha Kibindu ilibidi uombe huduma ya choo kwa nyumba ya jirani ili washiriki wajihudumie hapo kwa hizo siku nne za mafunzo.
4. Walengwa wa mafunzo waliitajika viongozi
wa vikundi vya kijamii wakulima na
wafugaji, Watendaji wa Vijiji na Kata. Lakini siku ya
mafunzo walifika na wenyeviti wa Vitongoji
na Vijiji.
Tuliwaeleza wajumbe wote kuwa mradi huu unalenga hasa Viongozi wa vikundi vya kijamii vya wakulima na wafugaji na watendaji Kata na Vijiji tu. Hivyo tunawaomba kama wewe si miongoni mwa waliotajwa na kupewa mwaliko wa kuhudhulia mafunzo haya tuliwaomba warudi nyumbani.
Mjumbe kutoka kata ya Kibindu alilamikia uwepo wa mazingira ya rushwa katika vikundi vya kupewa misaada na ruzuku za maendeleo mfano ruzuku ya msaada iliyotolewa na shirika la CVM.Afisa kilimo na Mtendaji wa Kata ya Kibindu walijitetea kuwa wao nao walitumiwa majina kutoka katika ofisi ya Mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya. Hivyo Kata haikuhusika kuteua wala kuchagua majina ya watu watakaopewa mkopo huo.
ChallengeHow it was overcome
Baadhi ya viongozi kutotoa ushirikiano mzuriTuliitisha kikao cha viongozi wa ngazi ya Halmashauri, kata na madiwani wa maeneo tunayofanyia kazi pamoja na DAS kama mgeni rasmii na kikao kilikuwa na mafanikio kwa kuwa kila mtu alijitambua udhaifu wake na tumepanga mikakati ya pamoja na kila mtu amepewa majukumu atakayotekeleza kuhusu watoto yatima na walio katika mazingiraa hatarishi.
Mabadilikoya hali ya hewaHaya yalikuwa juu ya uwezo wetu
Kutopewa fedha kwa wakati Liko juu ya uwezo wetu
Kuwepo kwa miundo mibovuLiko juu ya uwezo wetu
Kupanda kwa mafuta wakati tunaandika bajeti na kutuma Foundation bei ilikuwa Sh.1,300/= na tulipoanza utelelezaji mafuta bei ikawa Sh.2.200/= na kufanya gharama ya mradi kuathiri baadhi shughuliTulitoa taarifa FCS na tukaamua kupunguza baadhi ya safari lakini bila kuadhiri utekelezaji mradi
Kutokuwa na vitendea kazi kama gari nako kumechangia kulefusha muda wa utelelezaji kwa kuwa tunategema magari ya kuazima kutoka kwa Mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya. anapokuwa na shughuli nyingi kwake tunasubiri hadi zipungue ndipo anatupa gariTaasisi yetu ni changa, lakini tunamikakati ya kutafuta usafiri wetu wa kutuwezesha kutufikisha mahali mradi ulipo kwa wakati.
ChallengeHow it was overcome
Changamoto ya kwanza ni kwa ajili ya wanawake 30 waliokuwa wakihitaji msaada wa kisheria, ilikuja kugundulika kwamba ni kweli msaada wa kisheria ni bure kwa wanawake katika vituo kadhaa, lakini kuna mambo mengi yanayohitaji fedha, mfano nauli ya nenda rudi, malazi, chakula nk., mahitaji hayo hayakuwekwa kwenye bajetiTuliweza kuwasaidia wanawake wawili ambao kesi zao zilikuwa mbaya za kubakwa tulichangisha kiasi cha shilingi laki 340,000/=, kwani mmoja wao aliyebakwa alizaa mtoto ambaye pia alikuwa anahitaji huduma za matibabu, mpaka sasa kesi zao zinasimamiwa vema na mwansheria husika, japo mbakaji mmoja amekimbia mji.
Kuchelewa kwa ruzuku kutoka FCS ambapo wanajamii waliona kwamba tunawadanganya na hivyo kutaka kuharibu kusudio zima la mradi.Ruzuku ilifika na tulitekeleza mradi kama inavyotakiwa na hivyo tulimaliza changamoto hiyo na jamii ikafurahi.
Wanawake vijijini kuwa na hofu pindi wanapofanyiwa ukatili hawawezi kusema , wakisema hutengwa hata na wanawake wenzaoMafunzo yaliyoendeshwa yameweza kuwabadilisha na sasa wanaweza hata kujieleza mbele ya jamii.
ChallengeHow it was overcome

Baadhi ya Wabunge kutokuwa tayari kushiriki katika mikutano tarehe tulizopanga na hivyo kuchelewesha utekelezaji wa Mradi

-Tuliwashirikisha Wabunge tukapanga pamoja tarehe walizoona zinaendana na mipango yao.


Pamoja na kushirikisha Wabunge kupanga siku za kufanya mikutano wengine walibadili ratiba


Tuliwakubalia mabadiliko na kupokea mapendekezo yao mapya ya kufanya mkutano


Baadhi ya Wabunge hawathamini mikutani- wanasema wanataratibu zao za kukutana na wananchi


a)Tulishirikiana na watu walio karibu na wabunge hao ili wawashawishi waweze kushiriki- tulifanikiwa kwa baadhi
b) Sehemu nyingine tuliwatumia Wenyeviti wa Halmashauri/Madiwani, Makatibu wa Wabunge na Watendaji wa Halmashauri


Baadhi ya viongozi na watendaji wa Halmashauri za Wilaya kupata jazba kutokana na maoni ya wananchi


Tuliwaelimisha kwamba hiyo ndiyo hali ya watanzania wa leo hivyo inahitaji uvumulivu


Baadhi ya Halmashauri za Wilaya kutokuwa tayari kuoa kumbi na kutoza gharama kubwa


Tulitafuta kumbi na maeneo mengine


Baadhi ya viongozi wa Mitandao ya Azaki kuonyesha wazi wazi ushabiki wa vyama vya siasa hali iliyosababisha kutokubalika wakati wa maandalizi wa shughuli za Mradi

Tuliwashauri wajirekebishe na kutumia viongozi wengine wa mitandao


Bado watendaji wa Serikali wanadai posho kubwa kwa mujibu wa vyeo vyao


Tulizidi kuwaelimisha kwamba shughuli za Azaki ni za kujitolea na pia tuliwakumbusha kwamba ni sehemu ya wajibu wao kuhudhuria mikuano inayohudhuriwa na wananchi


ChallengeHow it was overcome
Elimu na mfumo dunI katika jamii wa kutoa eliumu na hamasa katika jamii kuhusu kuouima VVUHaikuiwezekana kukabiliana na kutojua kusoma hhivyo haikuwa rahisi kuwafikia watu wengi.
Kuwepo kwa waganga wa tiba za asili ambao ni waongo wenye kupotosha ummaTumejaribu kutoa tahadhari kuhusu kuwepo kwa maelezo potofutoka kwa waghanga wa jadi.
Wanaume kukosa ari na moyo wa kuwa wazi kuhusu kuishi na VVU.kKuwatumia wanawake majasiri kuwajengea wenzi wao ujasiri wa kuwa wazi kuhusu vvu
Kutokuwepo na vituo vya kupima VVU katika Kata ya Unga Limited na sokoni 1Matangazo yalitolewa watu wakapime katika kituo cha Angaza katika Kata ya Levolosi
Zana na mbinu hafifu ya kuwafikia walemavu wa aina mbalimbaliHakua rahisi kukabiliana na changamoto hii
Watu wengi katika kata za sokoni 1 na ungalimited hawajapima vvuMtano ya hamasa ilitumika kuhamasisha jamii kwenda kupima vvu
Ugumu wa kufanya mikutano ya hadhara kwa mafanikioMkusanyiko ya watu katika maeneo yao katika maeneo yao ya kazi ilitumika kuhamasisha watu kupima VVU
Uwezo wa asasi ya ARV Esupati Group bado ni mdogo Kutumia uwezo mdogo uliokuwepo
Asasi ya ARV Esupati kutofahamika vizuri kwa jamiiAsasi ilitumia viongozi wa mtaa kujitangaza.
ChallengeHow it was overcome
Watoa huduma kwa wagonjwa wa muda mrefu majumbani wakiwamo watu wanaoishi na VVU/UKIMWI kufanya kazi kwa kujitolea kwa muda mrefu hali inayowakatisha tamaa.Watoa huduma kwa wagonjwa wa muda mrefu majumbani wakiwamo watu wanaoishi na VVU/UKIMWI wanahamasishwa kuendelea kujituma na kujitolea kwa manufaa ya jamii.
Watoa huduma kwa wagonjwa wa muda mrefu majumbani wakiwamo watu wanaoishi na VVU/UKIMWI kukosa nyenzo za usafiri ili kuwawezesha kuwatembelea na kutoa huduma kwa wakati na mara kwa mara.Watoa huduma kwa wagonjwa wa muda mrefu majumbani wakiwamo wanaoishi na VVU/UKIMWI wanahamasishwa kuendelea kujituma na kujitolea kwa manufaa ya jamii. Pia ushawishi unaendelea kufanyika kwa Serikali za Mitaa ili kusaidia upatikanaji wa nyenzo za usafiri kwa watoa huduma kama vile; Baiskeli.
Jamii kuwa na mtazamo hasi kwa watoa huduma kwa wagonjwa wa muda mrefu majumbani wakiwamo wanaoishi na VVU/UKIMWI kwamba wanafaidika huku wakijitolea kwa ajili ya kuboresha utoaji wa huduma na kupunguza unyanyapaa kwa watu waishio na VVU/UKIMWI.Jamii inaelimishwa na kuhamasishwa kutoa ushirikiano kwa watoa huduma kwa wagonjwa wa muda mrefu majumbani wakiwamo watu wanaoishi na VVU/UKIMWI ili kuongeza ubora na ufanisi wa utoaji huduma zao.
Baadhi ya watu wanaoishi na VVU/UKIMWI kuendelea kujinyanyapaa wenyewe kama vile; kutopenda kujulikana kwamba wanatumia ARVs, kujitenga katika masuala tofauti ya kijamii n.k.Watu wanaoishi na VVU/UKIMWI wanaelimishwa na kuhamasishwa kutojinyanyapaa ili waweze kupata na kutumia huduma muhimu za kuimarisha lishe na afya zao.
ChallengeHow it was overcome
HARDSHIPS IN RUNNING AN OFFICE WHERE THE IS NO RELIABLE POWERWE BOUGHT A SMALL GENERATOR
TRANSPORT FROM SUNYA TO KIBAYA TO CONTACT THE TRAINING WAS HARDPINGOs FORUM IN ARUSHA AGREED TO SUPPORT US WITH 1 LANDCRUISER FOR THE DAYS OF TRAINING
A FACILITATOR FAILING TO PRODUCE THE LAST DRAFT OF THE STRATEGIC PLANWE ARE STILL ASKING HIM TO PRODUCE IT, SOMETHING THAT HE PROMISED TO DO.
ChallengeHow it was overcome
In most of the training sessions, it is very difficult to achieve 100% of the targets depending on the modality of training methodology, level of education of the participants, experience and quality of the facilitator and the content of the training material. However, in these trainings the facilitators tried to explain in detail with reference examples to ensure that participants perceive the right concepts of advocacy works. The participants were given the details of advocacy and lobying information. It was also clarified during training that and why budget is supposed to be open and transparent.
ChallengeHow it was overcome
Budgetary constaints: some very important items needed for the exercise such as Stationaries, Transport for the members of the Board of Trustees, Supporting staff (and fuel in case of five days workshop) were not budgeted for.CODECOZ spent its own money to pay for the items.
Limited times for second activity. It was difficult to fit in sub activity (Resource Mobialization)Participants worked more hours and the day was divided into two session.
Little commitment on parts of some CODECOZ members.Established penalties
« Previous questionNext question »

« Back to report