DAKEDEO NA USHIRIKIANO NA ASASI ZA KIRAIA .
DAKEDEO Imeendesha mafunzo ya kuwajengea uwezo wanachama wa asasi za kiraia zilizopo Wilaya ya Mvomero kwa lengo la kuziongezea ufahamu juu ya Mbinu mbalimbali za Kiungozi katika kuleta Mafanikio katika kukuwa kwa asasi hizo.
Asasi zilizonufaika na mafunzo hayo ni pamoja na asasi ya WECA (WOMEN ENVIRONMENT CONCERVATION ASSOCIATION) asasi yenye makao yake makuu Wikaya ya Mvomero Mtibwa,
Asasi nyingine iliyonufaika na mafunzo hayo ni pamoja na USHIRIKIANO GROUP Iliopo katika Wilaya ya Mvomero Kata ya Kidudwe.
katika makubalianoya baadae DAKEDEO inatarajia kutekeleza miradi yaubia na asasi za kijamii za wilaya ya Mvomero (CBO).
Zaidi ya hapo DAKEDEO ina mpango pia wa kutoa mafunzo ya matumizi ya Kompyuta kwa Wanachama wa asasi mbalimbali katuka wilwya ya Mvomero ,mafunzo yanayotarajiwa kufanyika katika mwezi wa Julai mwaka 2013.
Ibitekerezo (1)