Envaya
/DAKEDEO/post/69335
: Kinyarwanda
Base
Kinyarwanda
hongereni kwa kuona umuhimu wa asasi ndogo ambazo zina ongoza katika mustakabali wa uchumi wa nchi
(Not translated)
Hindura
DAKEDEO NA USHIRIKIANO NA ASASI ZA KIRAIA . – DAKEDEO Imeendesha mafunzo ya kuwajengea uwezo wanachama wa asasi za kiraia zilizopo Wilaya ya Mvomero kwa lengo la kuziongezea ufahamu juu ya Mbinu mbalimbali za Kiungozi katika kuleta Mafanikio katika kukuwa kwa asasi hizo. – Asasi zilizonufaika na mafunzo hayo ni pamoja na asasi ya WECA (WOMEN ENVIRONMENT CONCERVATION ASSOCIATION) asasi yenye makao yake makuu Wikaya ya Mvomero Mtibwa, ...
(Not translated)
Hindura