Fungua
CHUMBUNI YOUTH DEVELOPMENT ORGANIZATION

CHUMBUNI YOUTH DEVELOPMENT ORGANIZATION

chumbuni, Tanzania

Kutoa elimukwa vijana kuhusiana na ukimwi, kuendeleza librari za kijamii.

Mabadiliko Mapya
CHUMBUNI YOUTH DEVELOPMENT ORGANIZATION imeumba ukurasa wa Miradi.
HADI KUFIKIA MWISHONI MWAKA 2012 CHUYODO IMEWEZA KUTUMA MRADI MMOJA KUPITIA THE FOUNDATIONN LAKINI KWA BAHATI MBAYA MRADI HUO ULIKUWA NA MAKOSA NA KUREJESHWA KWA WANAJUMUIA WENYEWE ILI WAWEZE KUUREKEBISHA KWA KUUTUMA TENA NA UKAFANYA HIVYO NA KUUTUMA TENA
28 Januari, 2013
CHUMBUNI YOUTH DEVELOPMENT ORGANIZATION imeongeza Habari.
kwa kipindi chote hicho chuyodo ilikuwa na harakati za kuandika mradi kwa mara ya pili ikiwa ni miongoni mwa malengo yake kutokana na kutopata majibu ya mradi wa mwanzo ulioombwa na jumuia. – chuyodo imefanya tathmini ya muda mfupi kuhusiana na watuimiaji wa maktaba katika kipindi cha mwaka mmoja tangu... Soma zaidi
25 Julai, 2012
CHUMBUNI YOUTH DEVELOPMENT ORGANIZATION imeongeza Habari.
Mwezi wa 12 chuyodo iliweza kupata mashelfu na mafunzo ya siku mbili kutoka kwa Book Aid International kupitia mradi uliobwa na mjukiza ,hata hivyo tumeweza kusambaza barua za wito kwa masheha ,wabunge na wawakilshi wa shehia ya chumbuni – kutokana pia na kujishuhulisha na maktaba tumeweza kupokea vitabu vya fani... Soma zaidi
19 Machi, 2012
CHUMBUNI YOUTH DEVELOPMENT ORGANIZATION imehariri ukurasa wa Timu.
Chuyodo mara baada ya kusajiliwa ilifanya uchaguzi ambao ulichaguliwa na wanajumuiawenyewe ambapo ulichagu wafuatao; – (1) BIBI LAILA A. MANSOUR ( MWENYEKITI) – (2) RAMADHAN H. MWINSHEH (KATIBU) – (3) NAJMA A. HAJI (MSHIKA FEDHA) – (4)MUHAMED ... Soma zaidi
13 Machi, 2012
CHUMBUNI YOUTH DEVELOPMENT ORGANIZATION imeongeza Habari.
tarehe 21/9/2011 chuyodo ili weza kufanya maamuzi ya kutafuta mwanasheriana mhasibu wa jumuia ambao walipatikana wote nawenye kiwango cha digirii, hata hivyo tumeweza kuchangishana kiasi cha pesa kwa ajili ya kuongeza vitabu vya jumuia,tulipata ugeni kutoka boook aid international ambao wapo canada kwa ajili ya... Soma zaidi
26 Oktoba, 2011
CHUMBUNI YOUTH DEVELOPMENT ORGANIZATION imeumba ukurasa wa Timu.
Chuyodo mara baada ya kusajiliwa ilifanya uchaguzi ambao ulichaguliwa na wanajumuiawenyewe ambapo ulichagu wafuatao; – (1) BIBI LAILA A. MANSOUR ( MWENYEKITI) – (2) RAMADHAN H. MWINSHEH (KATIBU) – (3) NAJMA A. HAJI (MSHIKA FEDHA) – (4)MUHAMED ... Soma zaidi
19 Septemba, 2011
Sekta
Sehemu
chumbuni, Unguja Mjini Magharibi, Tanzania
Tazama mashirika ambayo yapo karibu
ELIMU