Injira
CHUMBUNI YOUTH DEVELOPMENT ORGANIZATION

CHUMBUNI YOUTH DEVELOPMENT ORGANIZATION

chumbuni, Tanzania

Uru rupapuro ruragaragazwa mu rurimi rw'umwimerere Igiswayire. Edit translations

Kutoa elimukwa vijana kuhusiana na ukimwi, kuendeleza librari za kijamii.

Amakuru agezweho
CHUMBUNI YOUTH DEVELOPMENT ORGANIZATION yakoze Imishinga paje.
HADI KUFIKIA MWISHONI MWAKA 2012 CHUYODO IMEWEZA KUTUMA MRADI MMOJA KUPITIA THE FOUNDATIONN LAKINI KWA BAHATI MBAYA MRADI HUO ULIKUWA NA MAKOSA NA KUREJESHWA KWA WANAJUMUIA WENYEWE ILI WAWEZE KUUREKEBISHA KWA KUUTUMA TENA NA UKAFANYA HIVYO NA KUUTUMA TENA
28 Mutarama, 2013
CHUMBUNI YOUTH DEVELOPMENT ORGANIZATION yashyizeho Amakuru agezweho.
kwa kipindi chote hicho chuyodo ilikuwa na harakati za kuandika mradi kwa mara ya pili ikiwa ni miongoni mwa malengo yake kutokana na kutopata majibu ya mradi wa mwanzo ulioombwa na jumuia. – chuyodo imefanya tathmini ya muda mfupi kuhusiana na watuimiaji wa maktaba katika kipindi cha mwaka mmoja tangu... Soma ibindi
25 Nyakanga, 2012
CHUMBUNI YOUTH DEVELOPMENT ORGANIZATION yashyizeho Amakuru agezweho.
Mwezi wa 12 chuyodo iliweza kupata mashelfu na mafunzo ya siku mbili kutoka kwa Book Aid International kupitia mradi uliobwa na mjukiza ,hata hivyo tumeweza kusambaza barua za wito kwa masheha ,wabunge na wawakilshi wa shehia ya chumbuni – kutokana pia na kujishuhulisha na maktaba tumeweza kupokea vitabu vya fani... Soma ibindi
19 Werurwe, 2012
CHUMBUNI YOUTH DEVELOPMENT ORGANIZATION hari ibyo yahinduye kuri Ikipe paje.
Chuyodo mara baada ya kusajiliwa ilifanya uchaguzi ambao ulichaguliwa na wanajumuiawenyewe ambapo ulichagu wafuatao; – (1) BIBI LAILA A. MANSOUR ( MWENYEKITI) – (2) RAMADHAN H. MWINSHEH (KATIBU) – (3) NAJMA A. HAJI (MSHIKA FEDHA) – (4)MUHAMED ... Soma ibindi
13 Werurwe, 2012
CHUMBUNI YOUTH DEVELOPMENT ORGANIZATION yashyizeho Amakuru agezweho.
tarehe 21/9/2011 chuyodo ili weza kufanya maamuzi ya kutafuta mwanasheriana mhasibu wa jumuia ambao walipatikana wote nawenye kiwango cha digirii, hata hivyo tumeweza kuchangishana kiasi cha pesa kwa ajili ya kuongeza vitabu vya jumuia,tulipata ugeni kutoka boook aid international ambao wapo canada kwa ajili ya... Soma ibindi
26 Ukwakira, 2011
CHUMBUNI YOUTH DEVELOPMENT ORGANIZATION yakoze Ikipe paje.
Chuyodo mara baada ya kusajiliwa ilifanya uchaguzi ambao ulichaguliwa na wanajumuiawenyewe ambapo ulichagu wafuatao; – (1) BIBI LAILA A. MANSOUR ( MWENYEKITI) – (2) RAMADHAN H. MWINSHEH (KATIBU) – (3) NAJMA A. HAJI (MSHIKA FEDHA) – (4)MUHAMED ... Soma ibindi
19 Nzeli, 2011
Ibyiciro
Aho uherereye
chumbuni, Zanzibar y'uburengerazuba, Tanzaniya
Reba ibigo mwegeranye
ELIMU