chuyodo ni jumuiya inayopatikana katika jimbo la chumbuni shehia ya karakana katika mkoa wa mjini magharibi wilaya ya mjini .chuyodo imeanzishwa mwka 2010 ikiwa na jumla ya watu wanne na kupata usajili ,katiba march 2011 ikiwa na jumla ya watu18.
chuyodo imeweza kutimiza moja kati ya malengo yake kwa kiasi kidogo ikiwemo kufungua maktaba ya ke ya kijamii katika ofisi yao,kupata ushirika na asasi nyengine zinazojishuhulisha na malengo yao ya pamoja zilizopo katika maeneo mbalimbalimfano;SUDESO iliyopoTUMBATUkatika mkoa wa kaskazini unguja ,BOOK AID INTERNATIONAL lililopo katika nchiya KANADA na UMAREKANI ambao wanatupa vitabu kupitia maktaba kuu ya ZANZIBAR.
Chuyodo bado inaendelea kujitaagaza katika sehemu mbalimbali kwania ya kupata kupata uelewa wa uendeshaji wa jumuia hiya
Hata hivyo tunatarajia kufanya mambo mengi kwa ajili yakuendeleza asasi yetu
chuyodo inatoa fursa ya kupata ushauri wa hali na mali kwa mtu yoyote na anakaribishwa bila ya wasiwasi
MAWASILIANO
MWENYEKITI;0779345935,KATIBU;0777859323
KARAKANA-ZANZIBAR