Log in
CHUMBUNI YOUTH DEVELOPMENT ORGANIZATION

CHUMBUNI YOUTH DEVELOPMENT ORGANIZATION

chumbuni, Tanzania

     tarehe 21/9/2011 chuyodo ili weza kufanya maamuzi ya kutafuta mwanasheriana mhasibu wa jumuia ambao walipatikana wote  nawenye kiwango cha digirii, hata hivyo tumeweza kuchangishana kiasi cha pesa kwa ajili ya kuongeza vitabu vya jumuia,tulipata ugeni kutoka boook aid international ambao wapo canada kwa ajili ya kuangalia maktaba yetu ,tumezitembelea jumuia zilizokaribu na zetu mfano ZEDY,NGORC kwa ajili ya kutafuta ushiriiano kutokka kwao pia tumepata wanachama 18ambao woteni wanawake katika skuliza nasari baada ya kuwapa ushauri wa kuwataka wanafunzi wao waje kusoma katika maktabayetu na wao walitupa wazo la kutaka kushirikiana nasi kwa kuja kuwasomesha watoto hao kwa kutumia itabu vyetu

October 26, 2011
Next »

Add a comment

Your name:
Your location:
Your email:
(optional)
Your email address will not be published.