Uru rupapuro ruragaragazwa mu rurimi rw'umwimerere Igiswayire. Edit translations
Chuyodo mara baada ya kusajiliwa ilifanya uchaguzi ambao ulichaguliwa na wanajumuiawenyewe ambapo ulichagu wafuatao;
(1) BIBI LAILA A. MANSOUR ( MWENYEKITI)
(2) RAMADHAN H. MWINSHEH (KATIBU)
(3) NAJMA A. HAJI (MSHIKA FEDHA)
(4)MUHAMED A. MDUNGI (MSAIDIZI KATIBU)
BODI YA WADHAMINI
(1) KHAMISI J. MPWANI
(2) SHABAN S. JABIR
(3) MUSA A. PERERA
PIA WALICHAGULIWA
(1) PERERA A. SILIMA MWANA CHAMA WA MUDA KWAVILE NI MBUNGE HADI ATA KAPOISHA MUDA WAKE
(2) BAKARI M.OMARI MLEZI WA JUMUIA HIYO