Envaya

Envaya

Utafiti wa jamii kuhusu hali ya mafuriko jijini Dar-es-salaam

Vyanzo na ubora wa maji kwenu yamepata athari gani kutokana na mafuriko?

Vyanzo vya maji ni vizuri tu,maji huwa tunachota msikitini bure tu hamna malipo
Hamna maji kabisa ninapata shida sana kwa sababu mabomba ya maji yamekatwa na wenyewe Tanesco.Ila magonjwa ya milipuko hamna labda kwa baadaye
Hamna maji tangu mafuriko,maji kwenye mabomba yamekatwa kwa hiyo tunapata taabu sana
maji ni ya kijani yamejaa uchafu hayafai kabisa
maji ya hapa ni hatari hayafai kabisa kwani yana vinyesi uchafu wa kila namna na pia hakuna daraja la kupita tunaishi kwa shida sana.
ni ya kijani na haifai kwa matumizi ya mwanadamu
maji hayafai kwa matumizi ya binadamu
« Swali lililotanguliaSwali lifuatalo »

« Rudi nyuma kwenye ripoti