Respondent: | Africa Upendo Group |
---|---|
Time Submitted: | 14 Januari, 2012 16:42 EAT |
Mpakani mwa wilaya ya Kinondoni na Ilala Mtaa wa Mwongozo(Cleopas Malik Luhamo)
Barabara,Maji,Miundo mbinu,Madaraja na Fedha za kujikimu
Mh mimi Nyumba yangu imeharibiwa kabisa sina mahali pa kuishi nilikuwa na nyumba ya vigae lakini leo iko kama gofu.
sina mwelekeo nimechoka sijui pa kuanzia.Sina fedha na hakuna msaada wowote japokuwa mbunge wetu na viongozi wengine walituahidi misaada lakini hatujawaona tena na tumebakia tunahangaika kama wakimbizi
maji ya hapa ni hatari hayafai kabisa kwani yana vinyesi uchafu wa kila namna na pia hakuna daraja la kupita tunaishi kwa shida sana.
Kabla ya mafuriko: 30 min | Sasa: 2.00 |
« Rudi nyuma kwenye ripoti