Envaya

Envaya

Utafiti wa jamii kuhusu hali ya mafuriko jijini Dar-es-salaam

Respondent: Africa Upendo Group
Time Submitted: 14 Januari, 2012 17:18 EAT
Mwongozo Makuburi(makazi ya watu kumi ambao nyumba zao zote zimebomoka kabisa na kubakia magofu
Makazi,Madaraja,fedha,Nguo,malazi na chakula
nyumba zetu zilikuwa hapa lakini zimebomolewa na mvua na hapa tulikuwa wakazi Kumi katika eneo hili ambalo mafuriko yamezoa kila kitu.Yuko mama mjane mahali hapa kabla ya mvua alikuwa akisaidiwa na sisi lakini wote tumegeuka ombaomba sasa.
hakuna tunaloweza kulifanya tunahifadhiwa na wenzetu hapa na hatujui hatima ya maisha yetu na watoto wetu
maji hayafai kabisa
Kabla ya mafuriko: (Hakuna jibu)Sasa: (Hakuna jibu)
« Jibu lililotanguliaJibu lifuatalo »

« Rudi nyuma kwenye ripoti