Respondent: | Africa Upendo Group |
---|---|
Time Submitted: | January 14, 2012 at 4:58 PM EAT |
Mpakani mwa Kinondoni na Ilala eneo la Mtaa wa mwongozo Makuburi.
makazi,barabara,maji,fedha,mahitaji ya ndani na chakula
Nyumba yangu ya vigae imebomoka na sina fedha za kukarabati
sina jambo la kufanya na pia nimeadhirika kiakili
maji ni ya kijani yamejaa uchafu hayafai kabisa
Before flooding: (No Response) | Now: (No Response) |
« Back to report