Envaya

Envaya

Utafiti wa jamii kuhusu hali ya mafuriko jijini Dar-es-salaam

Kama una kazi, inakuchukua dakika ngapi kutoka nyumbani mpaka ofisini?

Kabla ya mafuriko: sikuwa na maalumSasa: sina muda maalum nimejialiri mwenyewe
Kabla ya mafuriko: nusu saaSasa: sina kazi piki piki imepotea
Kabla ya mafuriko: 3 mntsSasa: 10 mnts
Kabla ya mafuriko: sikuwa na muda maalum kazi ya picha ni ya kuzungukaSasa: sina muda maalum kotokana na kudandia kazi za picha kwa wenzangu ili nipate kula ya wtoto
Kabla ya mafuriko: Dakika 15Sasa: Siwezi tena kwenda
Kabla ya mafuriko: dakika 1 kwani ni eneo la hapa nyumbaniSasa: dakika 0 kwani siendi popote nabangaiza hapa nyumbani
Kabla ya mafuriko: Dakika 5Sasa: Dakika 15
Kabla ya mafuriko: dk 15-20Sasa: siendi kazini kwani mtaji wa matunda umekisha
Kabla ya mafuriko: 5 mntsSasa: 15. mnts
« Swali lililotanguliaSwali lifuatalo »

« Rudi nyuma kwenye ripoti