Respondent: | UVIKITWE GROUP |
---|---|
Time Submitted: | January 31, 2012 at 7:21 PM EAT |
KIZINGA - MBAGALA
Miundombinu kwa ujumla
Vitanda vitatu vimesombwa na maji, magodoro, pesa taslimu shilingi 130,000, nguo za wakubwa na watoto zimesombwa na maji pamoja na vyombo vya ndani.
Maisha yamekuwa magumu sana kwani hakuna namna ya kuweza kuanza tena maisha mapya, nyumba imepata nyufa na hakuna uwezo wa kuikarabati.
Maji ni ya visima tu ndiyo yanayotumika baada ya mabomba yote kusombwa na mafuriko, maji hayana usalama kabisa, na kuhofia kukumbwa na ugonjwa wa kipindupindu.
Before flooding: Dakika 15 | Now: Siwezi tena kwenda |
« Back to report