Respondent: | Tanzania Women of Action(Tawa) |
---|---|
Time Submitted: | January 31, 2012 at 6:51 PM EAT |
Keko mwanga B'
kujengwe mitaro na mifereji midogo midogo itakayoruhusu maji kupita kwa urahisi kati ya nyumba na nyumba .
Mfereji mkubwa wa kutoka darajani mpaka barabara ya kilwa shell ya Ruby utengenezwe ili kuruhusu maji kupita kipindi cha mvua
Mfereji mkubwa wa kutoka darajani mpaka barabara ya kilwa shell ya Ruby utengenezwe ili kuruhusu maji kupita kipindi cha mvua
Tv,Radio,Friji, vitanda vinne,makochi ,magodoro,nguo zote za watoto na za kwetu na mke wangu ,vifaa vya shule vya watoto wa tatu unifom,vitabu, madaftari vyombo vya jikoni vyote,sina hata kijiko,pesa taslim kiasi cha laki tano na thelathin elfu..
kurudi nyuma kimaishakimaendeleo au kiuchumi,kwani ninatakiwa kuanza upya kununua vitu vya ndani pamoja na vifaa vya shule ,pesa iliyopotea ilikuwa ya mkopo wa Finca .Hivyo nimebaki na deni ambalo sijui nitalilipa na nini.Kwa ujumla maisha yangu bila kupewa msaada itabidi nikimbie familia,
maji kwa ujumla ni machafu kutokana na kuchanganyikana na maji taka ,hivyo maji ya matumizi ya kawaida si salama ,tunalazimika kununua maji ya bomba kutoka Keko juu ambayo kwa hali yangu sitaweza kumudiu itabidi nitumie maji hayo ya taka sina jinsi
Before flooding: dk 15-20 | Now: siendi kazini kwani mtaji wa matunda umekisha |
(No Response)
« Back to report