Respondent: | Tanzania Women of Action(Tawa) |
---|---|
Time Submitted: | February 1, 2012 at 12:03 PM EAT |
Keko magulumbasi B
tutafutiwe maeneo maalum ya kuhifadhi taka ili zisitupwe ovyo kwenye njia za maji,mitaro midogo midogo ijengwe kati ya nyumba na nyumba ili maji yasituame,tuwekewe vifusi kwenye maeneo haya yaliyomomonyolewa na maji
ukuta wa uzio wa nyumba ulibomoka ,mali zote za ndani zimepotea,Tv,radio, friji,vitanda ,magodoro, mashuka ,vifaa vya shule vya watoto pamoja na vyeti vyangu vya shule, vyeti vya kuzaliwa vya watoto, vyombo vya jikoni, maturubai na machuma yake yalipotea, vifaa vya kuhifadhia maji, masanduku ,pesa za karo na kununulia mahitaji ya watoto laki nane{800,000)
kukosa vyombo vya kutumia ,kulala chini kwenye mikeka ,sehemu chafu yenye unyevunyevu,magonjwa ya mlipuko hasa kwa watoto, maralia isiyokwisha,uchumi kurudi nyuma,na kukosa uhakika wa chakula cha kila siku kwni matubai yalikuwa yanakodishwa na kuleta pesa ya kula, watoto kukosa vifaa vya shule
maji kwa sasa si salama vyoo na visima vilibomoka kwa pamoja na kuchanganyikana ,hivyo kusababisha watumiaji kukosa maji salama
Before flooding: sikuwa na maalum | Now: sina muda maalum nimejialiri mwenyewe |
(No Response)
« Back to report