Respondent: | Tanzania Women of Action(Tawa) |
---|---|
Time Submitted: | February 1, 2012 at 11:10 AM EAT |
keko magulumbasi B
unahitaji maji safi, tupate mabomba yatakayotoa maji safi tofauti na yale ya ya visima tunayotumia, tupatiwe dawa ya kusafishia mazingira yetu, mitaro midogo ijengwe ,mfereji mkubwa upanuliwe kutoka ulipoanzia mpaka unapoishia
Baiskeli 2 za biashara. vifaa vyote vya ndani, tv,radio , makabati 3 , magodoro, vitanda, nguo ,vyombo vya jikoni, mifugo yangu yote ,ambayo ni , kuku waliokuwa wametaga mayai,kanga,na bata.
Yameleta magonjwa,katika familia kutokana na mazingira kuwa machafu yameathiri uchumi wangu kupotelewa na baiskeli ambazo nakodisha na kupata pesa ya matumizi ya kila siku,
kulala chini ,kurudisha nyuma maendeleo kwani inabidi nianze upya kununua vitu vya ndani.
kulala chini ,kurudisha nyuma maendeleo kwani inabidi nianze upya kununua vitu vya ndani.
eneo hili linategemea visima kwa maji ya matumizi ya kawaida na kwa kunywa tunachota kwenye mabomba ambayo yapo keko juu ,hivyo maji ya visima kwa sasa si salama kwani maji taka kutoka maeneo yote yalifunguliwa na kuchanganyika na maji ya visima.
Before flooding: nusu saa | Now: nusu saa |
(No Response)
« Back to report