Envaya

Envaya

Utafiti wa jamii kuhusu hali ya mafuriko jijini Dar-es-salaam

Respondent: Tanzania Women of Action(Tawa)
Time Submitted: 1 Februari, 2012 11:29 EAT
Keko mwanga A
vyandarua, dawa ya kuua wadudu kwa sababu maji bado yametuama,tujengewe na kuzibuliwa mitaro ili maji yasituame ,nyumba zilizojengwa holela zibomolewe ili ziruhusu maji yapite kwa urahisi.
Nyumba yangu imeharibika kwa sababu maji yalidumu ndani kwa muda wa wiki moja hivyo kumong,onyoka kidogo kidogo,mali zote za ndani zimeharibika,zikiwamo komputa,tv friji, redio ,cherehani, vifaa vya shule vya watoto wangu,makabati yanahitaji matengenezo,vitanda,magodoro hivyo vimepotea kabisa.
kuathiri masomo ya watoto wangu, kurudisha nyuma maendeleo ya familia yangu ,kuleta magonjwa ya mlipuko, maralia isiyopona ,ujumla maisha yamekuwa magumu sana kutokana na mafuriko tukizingatia kuwa sikujiandaa kwa jambo hili.
Maji kwa ujumla si salama wakati wa mafuriko watu walitumia nafasi hii kutapisha vyoo vyao ambapo uchafu huo ulikutana na visima vilivyo bomoka na kuchanganyikana
Kabla ya mafuriko: saa 1Sasa: saa 1
(Hakuna jibu)
« Jibu lililotanguliaJibu lifuatalo »

« Rudi nyuma kwenye ripoti