Envaya

Envaya

Dar es Salaam Flooding Community Survey

If you travel to work, how many minutes does it take from home to your office?

Before flooding: sikuwa na maalumNow: sina muda maalum nimejialiri mwenyewe
Before flooding: nusu saaNow: sina kazi piki piki imepotea
Before flooding: sikuwa na muda maalum kazi ya picha ni ya kuzungukaNow: sina muda maalum kotokana na kudandia kazi za picha kwa wenzangu ili nipate kula ya wtoto
Before flooding: Dakika 15Now: Siwezi tena kwenda
Before flooding: dakika 1 kwani ni eneo la hapa nyumbaniNow: dakika 0 kwani siendi popote nabangaiza hapa nyumbani
Before flooding: Dakika 5Now: Dakika 15
Before flooding: dk 15-20Now: siendi kazini kwani mtaji wa matunda umekisha
« Previous questionNext question »

« Back to report