Internal ID | Asili | Kiswahili | Mfasiri | Muda ya Uumbaji |
---|
WI000B30098A8E1000002610:content | Trust for Conservation Innovation – (image) As fiscal sponsor for Envaya, the Trust for Conservation Innovation enthusiastically supports Envaya and its mission. Envaya is a nonprofit project that is legally organized under the Trust for Conservation Innovation. As a sponsored project, Envaya focuses on its programmatic goals,... | Trust for conservation innovation – (image) Kama mdhamini wa fedha katika Envaya, Mdhamini huyu anaisaidia na ataendelea kuisaidia envaya na mipango yake yote.Envaya ni mradi usiojikita katika kupata faida ulioanzishwa kisheria chini ya Trust for Conservation Innovation.kama mradi unaofadhiliwa, Envaya inalenga katika malengo yake ya... | envayateam | 23 Aprili, 2012 |
WI000B03297B933000028271:content | The Envaya account settings page allows you to can update your organization's contact information and other settings. When you are logged into Envaya, the (image) icon at the top of the page will take you to the account settings page. – (image) – On this page you can change how your organization's name appears on Envaya, and update your email address and phone number. ... | Ukurasa wa Vifaa Vya Mtumiaji inakuwezesha kubadili vitu vingi kwenye tovuti yako kama namba za mawasiliano. Wakati umeingia kwenye akaunti yako ya Envaya, batani ya (image) icon inayoonekana juu ya ukurasa inakupeleka kwenye ukurasa wa Vifaa Vya Mtumiaji. – (image) – Katika ukurasa huu unweza kubadilisha jina la asasi lako, na kubadili anwani ya barua bebe na... | envayateam | 2 Aprili, 2012 |
WI000AC72AB03F3000028274:content | Envaya makes it easy to communicate with other organizations that are also using Envaya. – When you are logged in to Envaya, just visit another organization's website, and click the link at the top to Send a Message. – (image) – Then, type your message and click Send Message to send your message to the organization via email. – (image) ... | Envaya inakuwezesha kuwasiliana na mashirika mengine ambao wana akaunti ya Envaya. – Wakati umeingia kwenye akaunti yako ya Envaya, kutembelea tovuti ya shirika lingine, na bonyeza kiungo juu cha kutuma ujumbe. – (image) – Kisha, andika ujumbe wako na bonyeza Tuma Ujumbe kutuma ujumbe wako kwa shirika kupitia barua pepe. – (image) ... | envayateam | 2 Aprili, 2012 |
WI00073AC7900C9000028275:content | Envaya makes it easy to find other civil society organizations that are relevant to your organization. – By visiting the websites of other organizations on Envaya, can see their latest news, communicate, and engage in discussions together. If an organization hundreds of kilometers away has a successful project and writes about it on Envaya, you can get ideas for your own organization. – To browse all of the organizations on Envaya by name or location, click... | Envaya inrahisisha utafutaji wa asasi nyingine ambayo yanaweza kuwa na umuhimu kwa asasi yako. – Kwa kutembelea tovuti ya mashirika mengine ya Envaya, unaweza kuona habari zao za karibuni, kuwasiliana nao, na kushiriki katika majadiliano ya pamoja. Kama kuna shirika lipo mbali sana lakini imetoa habari kuhusu mradi uliofanikiwa kwenye akaunti yao ya Envaya, wewe pia unaweza kupata mawazo mapya yanayoweza kusaidia shirika lako. – Ili kuona mashirika yote kwenye Envaya... | envayateam | 2 Aprili, 2012 |
WI000173ACBB4D6000028521:content | In addition to their website on Envaya, some organizations may already have another website, blog, or profile on websites such as Facebook or Twitter. – Envaya allows you to easily link to any other website for your organization. This allows people to find your organization through Envaya but still visit your other website. – To add a link to another website, go to the Edit Site page (... | Mbali na tovuti ya Envaya, baadhi ya mashirika tayari wana tovuti, blogu, au Facebook au Twitter. – Envaya inakuwezesha kuunganisha tovuti yako ya envaya na tovuti nyingine za asasi yako. Hii inaruhusu watu wanaoangalia tovuti yako ya Envaya kutembelea tovuti zako mengine. – Kuongeza tovuti nyingine kwenye tovuti yako ya Envaya, nenda kwenye ukurasa wa hariri Tovuti ( (image)... | envayateam | 2 Aprili, 2012 |
WI00086DC89D659000028519:content | On your website on Envaya, you can create a Network page, where you can list organizations that partner with your organization and describe how you work with them. – These organizations may include partners that fund, support, or work with you, as well as networks of organizations where you are a member. You can add organizations to your Network page even if they are not registered for Envaya. – To create a Discussions page, log... | Katika tovuti yako ya Envaya, unaweza kuunda ukurasa wa mawasiliano, ambapo unaweza kuorodesha mashirika ambayo unashirikiana nazo na kueleza jinsi unafanya nao kazi. – Mashirika haya ni pamoja na mashirika yanayokudhamini, au yanayofanya kazi na wewe, pamoja na mitandao ambapo asasi yako ni wanachama. Unaweza kuongeza mashirika ya Mtandao ukurasa wako hata kama ni haijasajiliwa kwa Envaya. – Kuunda ukurasa Discussions, kuingia kwenye Envaya... | envayateam | 15 Machi, 2012 |
WI000198A510A23000028288:content | On your website on Envaya, you can create a Discussions page, which allows anyone – from your organization or other organizations, from your community or anywhere in the world – to collaborate and discuss topics related to your organization and its work. – To create a Discussions page, log in to Envaya and go to the Edit Site page ( (image) ). Scroll down to the Edit Pages section, and click Discussions. – To start your first... | Katika tovuti yako ya Envaya, unaweza kuunda ukurasa wa majadiliano, ambayo inaruhusu mtu yeyote - kutoka shirika lako au mashirika mengine, au kutoka kwa jamii yako au mahali popote duniani - kushiriki na kujadili mada inayohusiana na asasi yako na kazi zake. – Kuunda ukurasa wa majadiliano, ingia kwenye akaunti yako ya Envaya na nenda kwenye ukurasa Hariri Tovuti ( (image) ). Nenda chini kwenye sehemu ya Hariri Ukurasa, na bonyeza... | envayateam | 15 Machi, 2012 |
WI000198A510A23000028288:content | On your website on Envaya, you can create a Discussions page, which allows anyone – from your organization or other organizations, from your community or anywhere in the world – to collaborate and discuss topics related to your organization and its work. – To create a Discussions page, log in to Envaya and go to the Edit Site page ( (image) ). Scroll down to the Edit Pages section, and click Discussions. – To start your first... | Katika tovuti yako ya Envaya, unaweza kuunda ukurasa wa majadiliano, ambayo inaruhusu mtu yeyote - kutoka shirika lako au mashirika mengine, au kutoka kwa jamii yako au mahali popote duniani - kushiriki na kujadili mada inayohusiana na asasi yako na kazi zake. – Kuunda ukurasa wa majadiliano, ingia kwenye akaunti yako ya Envaya na nenda kwenye ukurasa Hariri Tovuti ( (image) ). Nenda chini kwenye sehemu ya Hariri Ukurasa, na bonyeza... | envayateam | 15 Machi, 2012 |
WI0009823D8FF97000002612:content | Below is a sampling of recent feedback that Envaya has received from people who use Envaya for their civil society organizations: – "With whole intentions, I would like to congratulate Envaya for – accomplishing the plan which has enabled many civil society – organizations to know each other, to leave behind the idea of literal – distance on the earth. For the civil society organizations that have joined – Envaya, Envaya has succeeded in making them... | Chini ni sampuli ya maoni ya hivi karibuni ambayo Envaya imepokea kutoka kwa watu ambao wanatumia Envaya kwa ajili ya mashirika yao ya kiraia. – "Kwa dhati kabisa, napenda kuwapongeza Envaya kwa kufanikisha mpango ambao umeziwezesha asasi nyingi za kiraia kujuana zenyewe, na kuacha nyuma wazo la kujiona kuwa wako mbali na ulimwengu huu wa sasa . – Kwa ajili ya mashirika ya kiraia ambayo yameshajiunga na Envaya, Envaya imefanikiwa kuwafanya wawe karibu na dunia ya... | envayateam | 13 Machi, 2012 |
WI00095AE5E411A000028269:content | When you are logged in to Envaya, you can customize the appearance of the pages on your organization's site, such by uploading a logo or header image to display at the top of each page, and choosing a theme (background images and colors) for your website. – (image) – From the Edit Site page (image) , go to the Links section and... | Wakati umeingia kwenye akaunti yako ya Envaya, unaweza kubadlisiha muonekano wa kurasa wa tovuti ya shirika lako, kama vile nembo au kichwa itakayoonekana juu ya kila ukurasa, na kuchagua mandhari (picha au rangi) kwa ajili yako tovuti. – (image) – Kutoka ukurasa wa kuhariri tovuti (image) , Nenda – kwenye sehemu... | envayateam | 13 Machi, 2012 |
WI00095AE5E411A000028269:content | When you are logged in to Envaya, you can customize the appearance of the pages on your organization's site, such by uploading a logo or header image to display at the top of each page, and choosing a theme (background images and colors) for your website. – (image) – From the Edit Site page (image) , go to the Links section and... | Wakati umeingia ili Envaya, unaweza Customize muonekano wa kurasa kwenye tovuti ya shirika yako, kwa vile kuweka image logo au kichwa kuonyesha juu ya kila ukurasa, na kuchagua mandhari (background picha na rangi) kwa ajili yako tovuti. – (image) – Kutoka ukurasa Edit Site (image) , Kwenda sehemu Links na bonyeza Edit tovuti ya... | envayateam | 13 Machi, 2012 |
WI0004717222573000028270:content | The simplest way to include content from documents such as Microsoft Word files on your Envaya website is to use copy-and-paste. However, copy-and-paste only works for certain documents, because images and some formatting may be lost when pasting the document in Envaya. – An alternate way of publishing your documents on Envaya is by using the (image) button. This allows you to publish documents from Microsoft Word, as well as PowerPoint, Excel, and PDF... | Njia rahisi ya kuongeza hati kama za Microsoft Word kwenye tovuti yako ya Envaya ni kwa njia ya kunakili na kuhamisha. Hata hivyo, njia hii haifanyi kazi wakati wote, kwa sababu picha na mpanigilo wa hati yako inaweza kupotea wakati wa kuhamishia kwenye tovuti yako ya Envaya. – Njia mbadala ya kuchapisha nyaraka zako juu ya Envaya ni kwa kutumia batani hii (image) . Hii inakuwezesha kuchapisha nyaraka kutoka Microsoft Word, pamoja na PowerPoint, Excel, na... | envayateam | 12 Machi, 2012 |
WI000A3D897EFE5000028307:content | You can publish photographs and other images on most pages of your Envaya website, including news updates. – To add an image on a page or news update that you are editing, click the (image) icon in the toolbar as shown below: – (image) – In the box that opens, click Browse to select an image file from your computer: – (image) – Find the image or photo file... | Unaweza kuchapisha picha kwenye kurasa karibia zote za tovuti yako ya Envaya, ikiwa ni pamoja na taarifa za habari. – Kuongeza picha kwenye ukurasa au habari unayoihariri ponyeza: (image) kama hapa chini: – (image) – Katika sanduku itakayofunguka, ponyeza tafuta kuchagua faili kwenye kompyuta yako: – (image) – Kupata picha au faili picha kuwa wewe kama... | envayateam | 8 Machi, 2012 |
WI00021B9182B85000006846:content | Get Involved – Excited about Envaya and want to get involved? Email us! – We are actively looking for motivated people who have been inspired to contribute to our efforts to empower grassroots civil society through technology. Whether you’re an international development specialist interested in expanding and improving our operations, a programmer who wants to directly contribute to our platform, or a non-profit professional... | Ungana Nasi! – Je untaka kushiriki nasi? Wasiliana nasi kutumia info@envaya.org! – Tunatafuta watu wenye moyo watakaopenda kuchangia katika jitihada zetu za kuwezesha jamii za kiraia kwa njia ya teknolojia. Kama wewe ni mtaalamu wa maendeleo ya kimataifa au mtaalamu... | envayateam | 8 Machi, 2012 |
WI000D6F8C9DE08000028268:content | On the Edit Site page ( (image) ) is the Edit Pages section, which lists all of the pages on your organization's website. Here you can edit an existing page, change the order of pages, or add a new page to your website. – (image) – The existing... | Katika ukurasa wa Hariri Tovuti ( (image) ) ipo sehemu ya Hariri Kurasa, ambayo inaorodhesha kurasa zote za tovuti ya shirika lako. Hapa unaweza kuhariri ukurasa uliyochapishwa, kubadili utaratibu ya ukurasa, au kuongeza ukurasa mpya kwenye tovuti yako. ... | envayateam | 8 Machi, 2012 |