Envaya

Translations: Kiswahili (sw): User Content: WI000198A510A23000028288:content

Base (English) Kiswahili

On your website on Envaya, you can create a Discussions page, which allows anyone – from your organization or other organizations, from your community or anywhere in the world – to collaborate and discuss topics related to your organization and its work.

To create a Discussions page, log in to Envaya and go to the Edit Site page (). Scroll down to the Edit Pages section, and click Discussions.

To start your first discussion topic, click Add New Discussion Topic.

Under Topic, type the subject of the topic that you want to discuss. Then, type your message in the large box below, and enter your name and location. Finally, click the blue button to publish your new discussion on your website.

This will create a Discussions page in the menu of your organization's website, with a link to the discussion you just created. 

Anyone who visits your organization's discussions page can reply and add a new message to your discussion. It is not necessary to register for an Envaya account in order to add messages to discussions.

Inviting People to Your Discussions

Click Invite people to participate at the bottom of your discussion to send a link (by email) to other people and organizations you know who might be interested in contributing to the discussion.

Then, enter the email addresses you would like to invite. You can also click Add Envaya users or Add partner organizations to automatically add the email addresses for other organizations on Envaya. Write a message telling people about your new discussion, and click the blue button at the bottom of the page to send the invitation.

Katika tovuti yako ya Envaya, unaweza kuunda ukurasa wa majadiliano, ambayo inaruhusu mtu yeyote - kutoka shirika lako au mashirika mengine, au kutoka katika jamii yako au mahali popote duniani - kushiriki na kujadili mada inayohusiana na asasi yako na kazi zake.

Kuunda ukurasa wa majadiliano, ingia kwenye akaunti yako ya Envaya na nenda kwenye ukurasa Hariri Tovuti ( ). Nenda chini kwenye sehemu ya Hariri Ukurasa, na bonyeza Majadiliano.

Kuanzisha majadiliano yako, bonyeza majadiliano

Chini ya mada, andika mada unayotaka kujadili. Kisha, andika ujumbe wako katika sanduku kubwa, na ingiza jina lako na eneo unapoishi. Kisha, bonyeza kitufe cha bluu kuchapisha mjadala wako mpya katika tovuti yako.

Hii itajenga ukurasa wako wa majadiliano katika orodha ya tovuti ya asasi yako, na kiunganishi cha majadiliano ulioanzisha.

Mtu yeyote ambaye atasoma majadiliano yako ataweza kujibu na kuongeza ujumbe mpya katika mjadala. Si lazima kuwa na akaunti ya Envaya ili kuongeza ujumbe kwenye majadiliano.

Kuwakaribisha watu kwenye majadiliano yako

Ponyeza Waalike watu kushiriki chini ya mjadala wako kutuma kiunganishi cha barua pepe kwa watu wengine na mashirika yanayoweza kuwa na nia ya kuchangia katika majadiliano.

Kisha, ingiza anwani ya barua pepe ya wale unotaka kuwakaribisha kutoa maoni. Unaweza pia kubonyeza ongeza watumiaji wa Envaya au ongeza mashirika ya ubia ilikuongeza moja kwa moja anwani ya barua pepe ya mashirika mengine yaliojiandikisha Envaya. Andika ujumbe kuwaambia watu kuhusu mjadala huu, na bonyeza kitufe cha bluu chini ya ukurasa kutuma mwaliko.


In order to edit translations, you need to log in. Log in · Register

Translation History

mgaya
March 26, 2012
Katika tovuti yako ya Envaya, unaweza kuunda ukurasa wa majadiliano, ambayo inaruhusu mtu yeyote - kutoka shirika lako au mashirika mengine, au kutoka katika jamii yako au mahali popote duniani - kushiriki na kujadili mada inayohusiana na asasi yako na kazi zake. – Kuunda ukurasa wa majadiliano, ingia kwenye akaunti yako ya Envaya na nenda kwenye ukurasa Hariri Tovuti ( (image) ). Nenda chini kwenye sehemu ya Hariri Ukurasa, na bonyeza...
envayateam
March 15, 2012
Katika tovuti yako ya Envaya, unaweza kuunda ukurasa wa majadiliano, ambayo inaruhusu mtu yeyote - kutoka shirika lako au mashirika mengine, au kutoka kwa jamii yako au mahali popote duniani - kushiriki na kujadili mada inayohusiana na asasi yako na kazi zake. – Kuunda ukurasa wa majadiliano, ingia kwenye akaunti yako ya Envaya na nenda kwenye ukurasa Hariri Tovuti ( (image) ). Nenda chini kwenye sehemu ya Hariri Ukurasa, na bonyeza...
envayateam
March 15, 2012
Katika tovuti yako ya Envaya, unaweza kuunda ukurasa wa majadiliano, ambayo inaruhusu mtu yeyote - kutoka shirika lako au mashirika mengine, au kutoka kwa jamii yako au mahali popote duniani - kushiriki na kujadili mada inayohusiana na asasi yako na kazi zake. – Kuunda ukurasa wa majadiliano, ingia kwenye akaunti yako ya Envaya na nenda kwenye ukurasa Hariri Tovuti ( (image) ). Nenda chini kwenye sehemu ya Hariri Ukurasa, na bonyeza...
Google Translate
November 6, 2011
Katika tovuti yako juu ya Envaya, unaweza kuunda ukurasa wa majadiliano, ambayo inaruhusu mtu yeyote - kutoka shirika lako au mashirika mengine, kutoka kwa jamii yako au mahali popote duniani - kwa kushirikiana na kujadili mada kuhusiana na asasi yako na kazi yake. – Kuunda ukurasa wa majadiliano, kuingia kwenye Envaya na kwenda kwenye ukurasa Site Edit ( (image) ). Nenda chini kwenye sehemu ya Hariri Makala, na bonyeza Discussions. ...
Google Translate
July 19, 2011
Katika tovuti yako juu ya Envaya, unaweza kuunda ukurasa Discussions, ambayo inaruhusu mtu yeyote - kutoka shirika lako au mashirika mengine, kutoka jamii au mahali popote duniani - kwa kushirikiana na kujadili mada zinazohusiana na asasi yako na kazi yake. – Kuunda ukurasa Discussions, kuingia kwenye Envaya na kwenda kwenye ukurasa Site Edit ( (image) ). Nenda chini katika sehemu Edit Makala, na bonyeza Discussions. ...
This translation refers to an older version of the source text.