Injira

Ubusobanuro: Kiswahili (sw): User Content: WI00021B9182B85000006846:content

« Inyuma   ·   Ahakurikira »
Base (Icyongereza) Kiswahili

Get Involved

Excited about Envaya and want to get involved?  Email us!

We are actively looking for motivated people who have been inspired to contribute to our efforts to empower grassroots civil society through technology. Whether you’re an international development specialist interested in expanding and improving our operations, a programmer who wants to directly contribute to our platform, or a non-profit professional who can help our organization grow and fundraise, we’d love to hear from you.

Envaya also continually seeks to build partnerships with organizations around the world that support international development.  We are eager to collaborate with organizations with experience and reach to accelerate Envaya’s geographical expansion and organizational capacity. 

Translating Envaya into Other Languages

Help Envaya expand to other regions around the world by contributing to Envaya's Translations site! Anyone is welcome to help translate Envaya into different languages by contributing new translations, and by voting and commenting on existing translations. You can also use the Translations site to correct any phrases on Envaya that are translated poorly. For instructions on how to get started, click here.

Contributing Code

If you're a software developer, help Envaya improve its software by contributing to our source code! 

Envaya's source code is available on Github at youngj/Envaya. There are many small projects available for developers to work on listed on Envaya's Github issues page.

Envaya's code (with the exception of some third-party libraries) is licensed under the open-source MIT License. To get started, just follow us and fork our project on Github!

Ungana Nasi!

Je unataka kushiriki nasi? Wasiliana nasi kutumia info@envaya.org!

Tunatafuta watu wenye moyo watakaopenda kuchangia katika jitihada zetu za kuwezesha jamii za kiraia kwa njia ya teknolojia. Kama wewe ni mtaalamu wa maendeleo ya kimataifa au mtaalamu wa programu za kompyuta, au mtaalamu asiyetaka faida yoyote anayeweza kusaidia shirika letu kukua na kuchangia fedha ili liweze kujiendesha, tunapenda sana kusikia kutoka kwako. 

Envaya pia inaendelea kujenga ushirikiano na mashirika ya maendeleo duniani kote. Nia yetu ni kushirikiana na mashirika yenye uzoefu na kupanua kazi ya Envaya kijiografia na kiuwezo.

kutafsiri Envaya katika lugha nyingine

Utusaidie kupanua kazi yetu duniani kote kwa kuchangia kwenye ukurasa wa kuhariri (Translations site). Mtu yeyote anakaribishwa kusaidia kutafsiri Envaya katika lugha mbalimbali kwa kuchangia uhariri mpya, na kwa kupiga kura na kutoa maoni juu ya tafsiri zilizopo. Unaweza pia kutumia ukurasa wa kuhariri kusahihisha vitu vilivyotafsiriwa vibaya. Kwa maelekezo zaidi, bonyeza hapa .

Kuchangia Code

Kama wewe ni mwendeleza programu, unakaribishwa kusaidia kuboresha programu zetu kwa kuchangia kwenye code yetu!

Code ya Envaya inapatikana katika Github saa youngj / Envaya . Kuna project ndogo ndogo ambazo softeare developers wanaweza kufanyia kwazi; zinapatikana kwenye : masuala ya ukurasa Github .

Code ya Envaya (isipokua baadhi yao) inaleseni chini ya open-source MIT License. Kwa kuanzia tutafute kwenye Github!


Kugirango ugire icyo uhindura kubyo wasemuye, ugomba kwinjira mu rubuga Injira · Iyandikishe

Ibyasobanuwe

ramadhan
30 Mata, 2012
Ungana Nasi! – Je unataka kushiriki nasi? Wasiliana nasi kutumia info@envaya.org! – Tunatafuta watu wenye moyo watakaopenda kuchangia katika jitihada zetu za kuwezesha jamii za kiraia kwa njia ya teknolojia. Kama wewe ni mtaalamu wa maendeleo ya kimataifa au...
envayateam
8 Werurwe, 2012
Ungana Nasi! – Je untaka kushiriki nasi? Wasiliana nasi kutumia info@envaya.org! – Tunatafuta watu wenye moyo watakaopenda kuchangia katika jitihada zetu za kuwezesha jamii za kiraia kwa njia ya teknolojia. Kama wewe ni mtaalamu wa maendeleo ya kimataifa au mtaalamu...
envayateam
27 Gashyantare, 2012
Ungana Nasi! – Je untaka kushiriki nasi? Wasiliana nasi kutumia info@envaya.org! – Tunatafuta watu wenye motisha wanaotaka kuchangia katika jitihada zetu za kuwezesha jamii za kiraia kwa njia ya teknolojia. Kama wewe ni mtaalamu wa maendeleo ya kimataifa au mtaalamu...
Google Translate
12 Gicurasi, 2011
Get Involved – Msisimko juu ya Envaya na unataka kushiriki? Email yetu ! – Sisi ni kikamilifu kutafuta watu motisha ambao wamekuwa aliongoza kuchangia katika jitihada zetu za kuwezesha jamii za kiraia kwa njia ya teknolojia. Kama wewe ni mtaalamu wa maendeleo ya kimataifa nia ya kupanua na kuboresha shughuli zetu, programu ambaye anataka kuchangia moja kwa moja na jukwaa yetu, au mtaalamu wa lisilo ambao wanaweza...