Log in

Translations: Kiswahili (sw): User Content: WI0004717222573000028270:content

« Previous   ·   Next »
Base (English) Kiswahili

The simplest way to include content from documents such as Microsoft Word files on your Envaya website is to use copy-and-paste. However, copy-and-paste only works for certain documents, because images and some formatting may be lost when pasting the document in Envaya.

An alternate way of publishing your documents on Envaya is by using the  button. This allows you to publish documents from Microsoft Word, as well as PowerPoint, Excel, and PDF documents, with all images and formatting.

To add a document on a page or news update that you are editing, click the  icon in the toolbar as shown below:

In the box that opens, click Browse to select an document from your computer:

Find the image or photo file that you would like to add, and then click Open. Your document will then be processed and transferred to Envaya's servers, which may take a few minutes depending on the speed of your internet connection. 

An icon for your document will then be added to the page you are editing. You can then continue editing the page. When you are finished, click the blue button at the bottom of the page to publish your document on your website.

After your document is published on your website, it will look similar to the example below:

Anybody who visits your website will be able to easily view your document without needing to install or open another program.

Njia rahisi ya kuongeza hati kama za Microsoft Word kwenye tovuti yako ya Envaya ni kwa njia ya kunakili na kuhamisha. Hata hivyo, njia hii haifanyi kazi wakati wote, kwa sababu picha na mpangilio wa hati yako inaweza kupotea wakati wa kuhamishia kwenye tovuti yako ya Envaya.

 Njia mbadala ya kuchapisha nyaraka zako juu ya Envaya ni kwa kutumia batani hii  . Hii inakuwezesha kuchapisha nyaraka kutoka Microsoft Word, pamoja na PowerPoint, Excel, na PDF.

Kuongeza hati juu ya ukurasa au habari mpya unayoihariri, ponyeza   kwenye kiboksi kama hapa chini:

Kwenye boksi itakayojifungua ponyeza peleleza kuchagua hati kutoka katika kompyuta yako:

Tafuta hati au picha au faili ya picha, na kisha bonyeza Fungua. Hati yako itahamishiwa kwenye sehemu husika ya Envaya. Inaweza kuchukua dakika chache kulingana na kasi ya mtandao wako.

Kitufi cha hati yako kitaonekana kwenye ukurasa unaohariri. Unaweza kuendelea kuhariri ukurasa wako. Unapomaliza, bonyeza batani ya bluu chini ya ukurasa kuchapisha hati kwenye tovuti yako.

Hati itakapochapishwa kwenye tovuti yako itaonekana kama hivi: 

Mtu yeyote atakayetembelea tovuti yako atakuwa na uwezo wakuona hati yako kwa urahisi bila kuhitaji kufungua programu ngingine. 


In order to edit translations, you need to log in. Log in · Register

Translation History

mgaya
March 28, 2012
Njia rahisi ya kuongeza hati kama za Microsoft Word kwenye tovuti yako ya Envaya ni kwa njia ya kunakili na kuhamisha. Hata hivyo, njia hii haifanyi kazi wakati wote, kwa sababu picha na mpangilio wa hati yako inaweza kupotea wakati wa kuhamishia kwenye tovuti yako ya Envaya. – Njia mbadala ya kuchapisha nyaraka zako juu ya Envaya ni kwa kutumia batani hii (image) . Hii inakuwezesha kuchapisha nyaraka kutoka Microsoft Word, pamoja na PowerPoint, Excel, na...
envayateam
March 12, 2012
Njia rahisi ya kuongeza hati kama za Microsoft Word kwenye tovuti yako ya Envaya ni kwa njia ya kunakili na kuhamisha. Hata hivyo, njia hii haifanyi kazi wakati wote, kwa sababu picha na mpanigilo wa hati yako inaweza kupotea wakati wa kuhamishia kwenye tovuti yako ya Envaya. – Njia mbadala ya kuchapisha nyaraka zako juu ya Envaya ni kwa kutumia batani hii (image) . Hii inakuwezesha kuchapisha nyaraka kutoka Microsoft Word, pamoja na PowerPoint, Excel, na...
Google Translate
July 19, 2011
njia rahisi ni pamoja na bidhaa kutoka nyaraka kama vile files Neno Microsoft katika tovuti yako Envaya ni kutumia nakala-na-kuweka. Hata hivyo, nakala ya-na-kazi tu kwa ajili ya kuweka nyaraka fulani, kwa sababu picha na baadhi formatting inaweza kupotea wakati pasting hati katika Envaya. – njia mbadala ya kuchapisha nyaraka zako juu ya Envaya ni kwa kutumia (image) button. Hii utapata kuchapisha nyaraka kutoka Microsoft Word, pamoja na PowerPoint, Excel,...
This translation refers to an older version of the source text.