Log in
Lift Life Foundation Development (LLFD)

Lift Life Foundation Development (LLFD)

Madizini, Tanzania

Kupambana na umasikini ujinga na maradhi,katika mfumo wa utawala bora, utetezi na mtandao wa usalama.

Latest Updates
Lift Life Foundation Development (LLFD) added 2 News updates.
UHARIBIFU WA MAZINGIRA. – Katika maisha ya sasa uhalibifu wa mazingira umekuwa ni kiwango cha juu sana kiasi kwamba kampeni zote zinazopigwa inaonekana ni kama kutwanga maji kwenye kinu. – Fedha nyingi sana zinatolewa kuhifadhi misitu lakini inaonekana haziwafikii walengwa na kusababisha uharibifu kuendelea kama jinsi... Read more
February 10, 2012
Lift Life Foundation Development (LLFD) added a News update.
HABARI ZA UTAWALA BORA. – Katika mapambano ya kupunguza umasikini,ujinga na maradhi utawala bora na nyenzo mhimu katika mapambano haya. Lakini unaweza kushanga kusikia kuwa tangu uchaguzi umemalizika kuna kijiji kimoja hakina serikali kwa mda wa miezi kadhaa na hivyo kusababisha maendeleo ya eneo husika kuzorota kutokana na maswala... Read more
June 3, 2011
Lift Life Foundation Development (LLFD) created a Projects page.
1.UTAWALA BORA – Lit Life kwa kutambua umuhimu wa utawala bora katika kupunguza umasikini tumekuwa na mradi wa kuwajengea uwezo viongozi wa vijiji katika kupunguza migogoro ya ardhi kati ya wakulima na wafugaji katika wilaya Mvomero kwenye kata za mtibwa, kanga na diongoya. – Mradi huu tumeufanyia utafiti yakinifu... Read more
June 3, 2011
Lift Life Foundation Development (LLFD) joined Envaya.
January 2, 2011
Sectors
Location
Madizini, Morogoro, Tanzania
See nearby organizations