Eleza mahusiano na wadau wengine
Wadau | Namna mlivyoshirikiana nayo |
---|---|
Mbulu district Council | -Mbulu district council was involved during coordination meeting represented by the heads of a departments -The council provided the trainers from water and environmental departments -MiDA Tanzania plans are incorporated in the district plans. |
Catholic Diocese of Mbulu Development Department | - sharing of the experiences in water sector development. -Visiting projects implemented by Catholic Diocese of Mbulu(GEYWASU) in particular. -Sharing of existing working documents. |
MBESO | -Sharing of experiences |
ALIDO | -Sharing of experiences |
GYEWASU Water Board in Bashay -Karatu | -Exchange visit and learn from the successful project in Karatu -Water Committees shared experiences in operating water projects -The experience of bylaws formulation and enactment was an important subject that was learned by the members of the water committees -GYEWASU was very similar with the committees in Gunyoda ward because GYEWASU was serving 4 villages while Gunyoda ward has four villages that is serving and Silaloda Vilage in Gunyoda ward had similar water project. -The exposure visit was again a platform for exchange among the village, ward and organizational leaders. - |
Wadau | Namna mlivyoshirikiana nayo |
---|---|
Mkuu wa Wilaya | Kufanya ufunguzi rasmi wa mafunzo na kutoa nasaha kwa washiriki ili kuhakikisha kwamba wanazingatia maarifa na stadi watakazopatiwa |
Mkurugenzi Mtendaji (W) | Kupata ushauri wa namna ya kuleta ufanisi wa mafunzo ikiwa ni pamoja na kuwahimiza madiwani kuhakikisha wanashiriki mafunzo kikamilifu |
Asasi (AZAKi) wanachama wa ULIDINGO | Kusimamia uteuzi wa wawakilishi wawili walioshiriki mafunzo ya kujenga uwezo kwa viongozi wa Asasi juu ya umuhimu wa ushiriki wao katika michakato ya uandaaji mipango na bajeti mamlaka za zerikali za mitaa |
Waandishi wa Habari | Kuhudhuria mafunzo na kuchukua taarifa za mradi na kuhabarisha wananchi ndani ya wilaya na kwingineko |
Afisa Maendeleo ya Jamii (W) | Kuongozana na Kaimu Mkuu wa Wilaya - Liwale wakati wa Ufunguzi rasmi wa Mafunzo kwa wawakilishi wa AZAKi. |
Wadau | Namna mlivyoshirikiana nayo |
---|---|
Watendaji wa kata,waratibu elimu kata na Watendaji wa Vijiji | Kutusaidia kufikisha ujumbe kwa wajumbe ambao walikuwa wanahitajika kwenye mafunzo na tukashindwa kuwapata kwa namba zao walizotuachia. |
Mashirika mengine yasiyo ya Kiserikali yanayofanya kazi katika Mkoa wa Morogoro | Walitusaidia kupata wawezeshaji wa Semina hii. |
Wadau | Namna mlivyoshirikiana nayo |
---|---|
District Councils of Pangani, Tanga, Handeni and Kilindi | 1. Invitations were through youth officer of respective districts 2. in all districts guest of honuor were from District councils, they were very positive for the project 3. Elections were supervised by District youth officers |
Wadau | Namna mlivyoshirikiana nayo |
---|---|
West District Commissioner's Office | Planning and coordinating activities with shehias by providing information to Sheha to select proper participants based on gender and and other selection criteria Officers from Distric Commissioner's Office were present during all activities implementation, including District Administrative Officer. |
West District Council | They attended all activities conducted. |
Community leaders and Community members | Attended in the evaluation meeting and Monitoring of the project. |
Wadau | Namna mlivyoshirikiana nayo |
---|---|
Masha Mtwara – Mtwara Action for Self Help Activities. | Tuliomba na tulimpata mwezeshaji mwenye uelewa wa sera na sheria ya Ardhi No. 4 & 5 ya 1999 |
LIWOPAC | Ni Shirika lenye ktengo cha sheria ambapo kesi za migogoro ya ardhi zilizoibuka kabla ya mafunzo tumezipeleka huko. Baada ya mafunzo kesi mbili tumezipeleka huko kwa ajili ya usuluhishi |
HALMASHAURI YA MJI (MANISPAA) | Tuliomba na tulimpata Afisa Ardhi mwezeshaji wa pili. Washiriki au walengwa wa mradi wa awamu ya kwanza walikuwa ni watumishi wa Halmashauri (Viongozi_ Halmashauri waliotoa idhini ya kufanya mafunzo |
Wadau | Namna mlivyoshirikiana nayo |
---|---|
Baadhi ya Madiwani kutoka Halmashauri za Wilaya/Manispaa za Mkoa wa Lindi. | Kuhudhuria mafunzo ya kujenga maarifa na stadi katika kufanya ufuatiliaji (PETS) na kuunda kamati za PETS kwa wilaya/halmashauri husika. |
Wakurugenzi watendaji wa Halmashauri za Wilaya/Manispaa za Mkoa wa Lindi. | Kupokea maelezo ya utambulisho na ufafanuzi wa malengo ya mradi na kuahidi kutoa ushirikiano wa dhati katika hatua zote muhimu za utekelezaji wa mradi ili kupata matokeo yaliyotarajiwa na kufikiwa kwa malengo yaliyokudiwa kikamilifu. |
Baadhi ya Watendaji wa Kata wa Halmashauri za Wilaya/Manispaa za Mkoa wa Lindi. | Kuhudhuria mafunzo ya kujenga maarifa na stadi katika kufanya ufuatiliaji (PETS) na kuunda kamati za PETS kwa wilaya/halmashauri husika. |
Waandishi wa Habari wa Magazeti, Radio na Televisheni kutoka Klabu ya Waandishi wa Habari Mkoa wa Lindi (LPC) | Kuhudhuria mafunzo ya kujenga maarifa na stadi katika kufanya ufuatiliaji (PETS) na kuunda kamati za PETS kwa kila wilaya/halmashauri husika. Vilevile kuelimisha na kuhabarisha jamii taarifa kuhusu utekelezaji wa mradi na umuhimu wake kwa maslahi pana ya umma. |
Wawakilishi wa Asasi za Kiraia kutoka Wilaya zote za Mkoa wa Lindi. | Kuhudhuria mafunzo ya kujenga maarifa na stadi katika kufanya ufuatiliaji (PETS) na kuunda kamati za PETS kwa wilaya/halmashauri husika. |
Wadau | Namna mlivyoshirikiana nayo |
---|---|
Halmashauri za Wilaya na Manispaa Lindi | Kukubali kushiriki katika vikao vya majadiliano na kubadilishana habari na taarifa, ujuzi na uzoefu tofauti kuhusu michakato ya sera na maendeleo katika Hlamshauri ya wilaya husika. |
Mkurugenzi Manispaa Lindi na Mkurugenzi Mtendaji - Halmashauri ya Wilaya Lindi | Kufanya ufunguzi rasmi na kutoa nasaha katika vikao vya majadiliano na kubadilishana habari na taarifa, ujuzi na uzoefu tofauti kuhusu uandaaji, utekelezaji, usimamizi na tathmini ya utekelezaji mipango na bajeti za maendeleo za Halmshauri za Wilaya. |
Idara za Mipango Halmashauri za Wilaya na Manispaa Lindi | Kuandaa na kuwasilisha mada kuhusu wajibu wa Idata ya Mipango katika kusukuma mbele gurudumu la maendeleo katika wilaya kwa faida na manufaa ya wananchi. |
Idara za Maendeleo ya Jamii - Halmashauri za Wilaya na Manispaa Lindi | Kuandaa na kuwasilisha mada kuhusu wajibu wa Idara ya maendeleo ya jamii katika kusukuma mbele gurudumu la maendeleo katika wilaya kwa faida na manufaa ya wananchi. |
Waandishi wa Habari na Wawakilishi wa asasi za Kiraia | Kushiriki mafunzo ya SAM na vikao vya majadiliano na kubadilishana habari na taarifa, ujuzi na uzoefu tofauti kuhusu michakato ya sera na maendeleo katika Halmashauri za wilaya na manispaa husika. |
Wadau | Namna mlivyoshirikiana nayo |
---|---|
Vituo vya sheria za haki za wanawake na watoto | Kutoa rufaa ya walengwa wanaohitaji msaada wa kisheria |
Idara ya ustawi wa jamii | Kutoa rufaa kwa ajili ya wanawake wanaohitaji misaada ya kijamii katika ngazi ya familia. |
Wadau | Namna mlivyoshirikiana nayo |
---|---|
District level | They were informed through letter and allowed the training to take place |
Ward level | WEO allowed VEO to organize the training and attended during the opening |
Village level | Organized old people ready for the training and attended during the training and provide security (Mgambo) during the training |
CHAMA CHA WAZEE WASTAAFU MKOANI ARUSHA (CHAWAMA) | As an organization with retired public servant; they gave advice tireless wherever needed especially when link with the government was thought. |
Comfort Holiday | Its director Mr Nyatto contributed in areas where the budget was not enough. |
Banana Investment Company Limited | Its director Mr Olomi was the guest of honor during the opening of the training. |
ITV, Radio One | They were involved in documentation and airing the event in different media such as TV, Radio and newspapers as well as preparing the documentary |
Wadau | Namna mlivyoshirikiana nayo |
---|---|
Serikali | Walitupa kibali cha kuendesha mafunzo haya |
CMMUT | Walishiriki na kutoa ushauri na uzoefu katika kuendesha ASASi |
Wadau | Namna mlivyoshirikiana nayo |
---|---|
District Councils of Mkinga, Korogwe, Lushoto and Muheza | 1. Invitations were through youth officer of respective districts 2. in all districts guest of honor were districts commissioners, they were very positive for the project 3. Elections were supervised by District youth officers |
Wadau | Namna mlivyoshirikiana nayo |
---|---|
Katika utekelezaji wa shghuli ya ufuatiliaji,mara zote tumeshirikiana na wataalam wa idara ya misitu ya wilaya ya Mvomero | Tulitembea wote kama ilivyopangwa na ukweli Afisa misitu yeye ndiye alikuwa na jukumu la kuelezea mambo ya utaalam katika utunzaji wa vitalu vya miche na jinsi ya kuipanda miche hii mashambani |
Wadau | Namna mlivyoshirikiana nayo |
---|---|
This project was only specific to FOTA members, staffs and volunteers. So no stakeholder involved. |
Wadau | Namna mlivyoshirikiana nayo |
---|---|
Serikali | Kufungua mafunzo na mgeni mwalikwa kuturuhusu kufafanya mafunzo |
CMMUT | Walishiriki na walitoa mchango mkubwa katika uzoefu wa uendeshaji wa ASASI |
YDF | Kutoa mafunzo ya mazoezi |
Wadau | Namna mlivyoshirikiana nayo |
---|---|
Ofisi ya Mkurugenzi wa mji kupitia Idara ya maendeleo ya jamii | -kwa kuturuhusu kufanya shughuli hii bila pingamizi lolote -pia kuwaruhusu mabwana na bibi maendeleo wa kata kuwa nasi bega kwa bega katika kufanikisha shughuli nzima. |
viongozi wote wa ngazi ya kata na vijiji | - kutuandalia washiriki na kushiriki nao bega kwa bega katika muda wote wakati wa utekelezaji mradi. |
Wadau | Namna mlivyoshirikiana nayo |
---|---|
Ofisi ya mkuu wa Wilaya ya Rungwe | Kufungua mafunzo na kutoa kibali kwa watendaji wa kata kuhudhulia mkutano tuliokuwa tumeuandaa na kuendesha. |
Asasi zisizo za kiserikali mfano AFNET Tanzania | Wameweza kutusaidia kuwaelimisha zaidi viongozi wa kata na vijiji juu ya elimu ya kiraia kwani AFNET wanauzoefu mkubwa juu ya utoaji wa elimu ya kiraia kwa ufadhili toka UNDP. |
Wadau | Namna mlivyoshirikiana nayo |
---|---|
Local government of Korogwe and Muheza District | assist us during PIMA card and they gave us permition to work in their area |
Korogwe Civil Societies Coalition | Identification of wards and pre-mobilization |
Muheza Civil Society Coalition | Mobilization and its members assisting us in the field, where we never been before |
Wadau | Namna mlivyoshirikiana nayo |
---|---|
Serikali | Kutupa kibali cha kuendesha mafunzo |
CMMUT | Walishiriki na walitoa mchango mkubwa katika uzoefu wa uendeshaji wa ASASI |
Wadau | Namna mlivyoshirikiana nayo |
---|---|
Serikali viongozi wa dini na wanufaika | Kwa kuwa hawa ni viongozi kwenye sehemu husika wao ndiyo wasimamizi wa utekelezaji wa shughuli zote za maendeleo.Hivyo ilibidi tukutane pamoja kuangalia mafanikio yaani Tathmini ya utekelezaji wa shughuli tulizojipangia |
« Rudi nyuma kwenye ripoti