Indicate any FCS organized events that your organization benefited from or attended.
Type of Event | When | Lessons | Actions Taken |
---|---|---|---|
Training | December, 2011 | Manage your grant training | MiDA Tanzania reviewed its grant application and fitted it according to the requirements of FCS while keeping its objective |
Training | June, 2010 | Project Design | MiDA Tanzania lost the first application in 2010 and was later on invited to participate in the project design training. The organization refined its application and in 2011 we filled the application forms and submitted to FCS and we got the funding for 2012 project which is the one MiDA Tanzania is currently report on. |
Training | 19th March, 2012 | Fundraising and resource mobilization training | Project Coordinator from MiDA Tanzania is invited to participate in the resources mobilization training the results of the training are used to come up with a fundraising plan for the organization. |
Type of Event | When | Lessons | Actions Taken |
---|---|---|---|
Kushiriki warsha ya upashanaji wa habari juu ya uombaji ruzuku The foundation for civil society. | June 2009-Nachingwea mjini | Kutambua malengo ya kuanzishwa kwa The foundation na maeneo wanayofadhili na wasiofadhili pia namna ya kuomba na muda wa kuwasilisha maombi. | Kufanyia marekebisho andiko letu la PETS lililorudishwa The foundation kwa awmu mbili mfululizo na hatimaye kupata ufadhili. |
Kuhudhuria mafunzo ya usimamizi wa ruzuku kwa AZAKI zilizopata ufadhili kutoka The foundation. | October-2009 Dodoma mjini | -Dhana ya ushirikishaji katika hatua za uandaaji wa mradi -Bao la mantiki -Uandishi wa taarifa utekelezaji na za kifedha -utunzaji na uandishi kumbukumbu za fedha umuhimu wa ufuatiliaji na tathimini ya mradi | Viongozi kwa ushirikiano wa pamoja tumesimamia mradi na kutoa ripoti kwa wakati kama ilivyokusudiwa kwa mujibu wa mkataba |
Kushiriki mafunzo ya utunishaji wa mfuko | March-2010 Mbezi beach Dar es Salaam | Mambo ya msingi wakati wa kuandaa mradi mfano; Namna ya kubaini tatizo,uchambuzi wa wadau,hatua za kufuata wakati wa uchambuzi wa mti wa matatizo,Bao mantiki,uandishi wa bajeti n.k. | Kuandaa andiko jipya ambalo limepata ufadhili kutoka The foundation na limetokana na utekelezaji wa mradi uliopita |
Kushirirki mafunzo ya usimamizi wa ruzuku(M&E) | Desemba-2011 | -Mambo ya msingi wakati wa kuandaa mradi -Namna ya kubaini tatizo -Uchambuzi wa wadau na hatua ya kufuata wakati wa uchambuzi wa mti wa matatizo -Bao mantiki -Uandishi wa bajeti -Uandishi wa taarifa ya utekelezaji na fedha | Kurekebisha baadhi ya viambatanisho ikiwamo bao mantiki,mpango kazi,mpango wa ufuatiliaji wa matokeo na hatimaye kusaini mkataba wa mradi huu wenye namba FCS/MG/3/11/110. |
Type of Event | When | Lessons | Actions Taken |
---|---|---|---|
Manage your grant | December 2008 | How to manage grants and report | TAYODEA applied skills gained from the training which lead organization to do better in supervision of its projects |
fund raising | June 2008 | How to write fundable proposals | We used the skills to fund raise from other Donna and local funding, the fundraising programme was well succeeded as we get new 3 Donna and expand new internal sources of fund |
Organizational development | 2009 | Formation and life cycle pf organization | We did small changes in TAYODEA in terms of structure, we help other organization to restructure their structure, like Usambara Club and other big organization in Tanga like Press club, WOLEA, paralegal etc |
Annual forum | 2008/09/10/11 | learn from other organization from all over Tanzania | Net working with other organization, like Haki Elimu, Haki kazi, etc. Got new partiners |
December 29, 2011 at 3:09 PM EAT via MAENDELEO YA JAMII NA UHIFADHI WA MAZINGIRA ZANZIBAR (CODECOZ):
Type of Event | When | Lessons | Actions Taken |
---|---|---|---|
Financial Management | September 2011 | Doing bank reconsiliation | Petty cash form is inplace |
Project Design and Management | September 2011 | Shairing of experience on how to run the project | Monitoring form improved |
Type of Event | When | Lessons | Actions Taken |
---|---|---|---|
TAMASHA | 22 - 23 Nov 2007 ARUSHA | Umuhimu wa mchakato nchi tano za Africa mashariki uwe unatokana na ari ya wananchi wa nchi za Africa mashariki ambazo ni Tanzania, kenya, Uganda, burundi na Ruanda | Kuwahabarisha wanachama wa LISAWE juu ya mada husika ilivyolengwa na jinsi gani mchakato huu utafanywa ili swala hililiwe shirika kwa jamii yenyewe |
TAMASHA LA BUNGENI TAMASHA | 29 - 1 JULY 2008 DODOMAVOV 2008 | Juhudi za kuimarisha uhusiano baina ya AZAKI na BUNGE. Kuhamasisha wabunge na jamii watambue mchango mkubwa wa Asasi za kiraia katika kuchangia maendeleo ya Taifa. Kufahamu kuwa shughuli za FCS ni pamoja na kuzijengea uwezo Asasi za kiraia Kuhamasisha utendaji wa kiwango cha juu kwa Asasi za Kiraia katika kuhudumia jamii husika. | Midahalo mbalimbali ilifanyika kwa kuongozwa na Mtandao wa mashirika yasiyo ya kiserikali (w) Lindi LINGONET tuliunganishwa na wabunge ?jamii Asasi imekuwa imara kiutendaji. inajifanyia tathimini ya mara kwa mara kwa kutumia dodoso za the Foundation hatimaye tumepata tuzo ya ASASI BORA mara 2 |
TAMASHA | 26 - 28 2010 ZANZIBAR | Jinsi ya kuimarisha demokrasia nchini hususani katika masuala mazima yanayohusiana na uchaguzi | Utoaji wa Elimu kwa jamii (raia makini) |
TAMASHA | 21 - 23 /2011 | Wajibu wa Azaki katika kushirinikiza Serikali na wananchi kushiriki katika shughuli za kimaendeleo Uzingatiaji wa masuala la jinsia kwa kipindi cha miaka 50 | Kutoa mrejesho ndani ya Shirika Kuelimisha jamii kwa kutumia fursa zilizopo |
Type of Event | When | Lessons | Actions Taken |
---|---|---|---|
Mafunzo ya Usimamizi wa Ruzuku (MYG) | Juni - Julai, 2011 | Jinsi ya kutekeleza mradi kiufanisi na kusimamia fedha za ruzuku kwa kuzingatia taratibu na sheria za fedha. | Kutekeleza mradi sawa na mpango wa utekelezaji shughuli kwa kuzingatia taratibu na sheria za matumizi ya fedha. |
Tamasha la Asasi za Kiraia 2011 | Novemba, 2011 | Umuhimu wa kubadilishana habari na taarifa tofauti za kisera, kisheria na maendeleo na utaandaaji. | Kuziunganisha Asasi za Kiraia zenyewe pamoja na wadau wengine wa maendeleo kama vile; Serikali, Waandishi wa Habari n.k. |
Mafunzo ya Uandaaji Mpango Mkakati | Juni, 2011 | Jinsi ya kutayarisha Mpango Mkakati wa Asasi za Kiraia | Kuandaa rasimu ya Mpango Mkakati wa LANGO pamoja na Mipango mikakati ya Miandao ya AZAKi ya wilaya kwa kushirikiana na wanafunzi waliokuja kufanya mazoezi kwa vitendo kutoka Chuo Kikuu Dar (UDSM). |
Mafunzo ya Uandishi wa Matokeo Bora ya Shughuli za AZAKi na utunzaji wa taarifa za shghuli/miradi. | Aprili, 2011 | Jinsi ya kukusanya taarifa, kuzichambua na kuandika Matokeo Bora ya shughuli na miradi inayotekelezwa na AZAKi | Kuzishirikisha AZAKi kutambua na kuzingatia umuhimu wa kukusanya taarifa, kuzichamnua na kubainisha Matokeo Bora yaliyopatikana. Pia kuandaa rasimu ya Mradi ili kuombea ufadhili wa kujengea uwezo AZAKi katika uandishi wa Matokeo Bora |
Type of Event | When | Lessons | Actions Taken |
---|---|---|---|
Mafunzo ya Usimamizi wa Ruzuku (MYG) | 2009 | Maarifa, mbinu na stadi za kusimamia utekelezaji wa mradi na matumizi ya fedha za ruzuku kwa ufanisi. | Kutumia maarifa, mbinu na stadi zilizotolewa kusimamia utekelezaji wa mradi na matumizi ya fedha za ruzuku kiufanisi. |
Mikutano ya Upashanaji Habari za Ruzuku toka FCS | 2005 na 2008 | Jinsi ya kuandaa na kuwasilisha maandiko miradi yenye sifa, vigezo na ubora unaohitajika na kukubalika na FCS na wadau wengine | Kuendeleza jitihada za FCS kujenga uwezo wa AZAKi changa juu ya uandishi wa miradi yenye ubora na vigezo stahili. |
Matamasha ya AZAKi | 2009 na 2010 | Umuhimu wa kufanya kazi kwa umahiri na ubunifu mkubwa ili kupata ufanisi na kuleta mabadiliko chanya katika jamii. | Kuhamasisha AZAKi kuwa wabunifu na kuchapa kazi kwa umahiri na ustadi mkubwa ili kupata mafanikio makubwa. |
Maonesho ya AZAKi Bungeni | 2006,2007,2008,2009 | Umuhimu wa kufanya kazi karibu na wabunge ili kuwashawishi mabadiliko katika sera na sheria mbalimbali | Kuwashawishi baadhi ya wabunge kuwa karibu na AZAKi ili wasaidiwe katika kutambua na kukabiliana na changamoto za maendeleo katika majimbo yao. |
Mafunzo ya kubadilishana uzoefu wa kusimamia miradi ya ruzuku ya kati (MG) | 2011 | Kubadilishana maarifa na stadi, ujuzi na uzoefu tofauti katika kusimamia Fedha za Ruzuku ya Kati (MG), Mafanikio, Changamoto na mbinu za utatuzi zilizotumika. | Kuwezesha asasi nyingine kupata maarifa na stadi, ujuzi na uzoefu katika kusimamia Fedha za Ruzuku ya Kati (MG) |
Type of Event | When | Lessons | Actions Taken |
---|---|---|---|
Usimamizi wa ruzuku | October ,2011 | Namna ya kubadilishana uzoefu wa masuala ya Usimamizi wa fedha. | Mkutano wa pamoja na kamati tendaji pamoja na watendaji ili kutoa mrejesho wa maagizo na mafunzo yaliyotolewa. |
Type of Event | When | Lessons | Actions Taken |
---|---|---|---|
Manage Your Grants Training. | June 2011 | 1.Project management 2. Project financial management | Knowledge gained was used in managing the project. |
Type of Event | When | Lessons | Actions Taken |
---|---|---|---|
Jinsi ya Kuendesha mipango na miradi pamoja na utunzaji wa vitabu vya mahesabu. | Nov, 2010 | Uendeshaji miradi na utunzaji wa vitabu vya mahesabu | Vitabu vyote vinavyohusu miradi na mahesabu vimefunguliwa na vinatumika |
Type of Event | When | Lessons | Actions Taken |
---|---|---|---|
Manage your grant | December 2008 | How to manage grants and report | TAYODEA applied skills gained from the training which lead organization to do better in supervision of its projects |
fundraising | 2008 | How to write fundable proposals | We used the skills to fund raise from other Donna and local funding, the fundraising programme was well succeeded as we get new 3 Donna and expand new internal sources of fund |
Organizational development | 2009 | Formation and life cycle pf organization | We did small changes in TAYODEA in terms of structure, we help other organization to restructure their structure, like Usambara Club and other big organization in Tanga like Press club, WOLEA, paralegal etc |
Annual forum | 2008/9/10 | learn from other organization from all over Tanzania | Net working with other organization, like Haki Elimu, Haki kazi, etc. Got new partiners |
Type of Event | When | Lessons | Actions Taken |
---|---|---|---|
Mafunzo ya Usimamizi wa Ruzuku | Februari,2010 | Jinsi ya kujaza fomu ya maombi kwa usahihi na usimamizi wa mradi husika na fedha. | Mkataba ulisainiwa na kupata ruzuku |
Type of Event | When | Lessons | Actions Taken |
---|---|---|---|
Manage Your Grant Training. | June 2011 | 1. Foundation for Civil Society (FCS) wants stakeholders to manage project under acceptable standard. | Managed the project in line with the FCS's criteria. |
2. If you fund organisations without building their capacities first can lead to improper utilisation of resources. |
Type of Event | When | Lessons | Actions Taken |
---|---|---|---|
Usimamizi wa Ruzuku | Feb 2011 | Uendeshaji wa miradi na utunzaji wa vitabu vya hesabu | Tumefungua vitabu vyote vya utunzaji wa kumbukumbu za Asasi |
Jinsi ya kuendesha mipango na miradi pamoja na utunzaji wa vitabu vya hesabu. Nov,2010 Uendeshaji wa miradi na utunzaji wa vitabu vya hesabu Tumefungua vitabu vyote vya utunzaji wa kumbukumbu za Asasi Utunzaji wa kumbukumbu za fedha Feb,2011 | Nov. 2010 | Utunzaji wa vitabu vya fedha | Tumefungua vitabu vyote vya utunzaji wa kumbukumbu za Asasi |
Type of Event | When | Lessons | Actions Taken |
---|---|---|---|
mafunzo ya usimamizi wa ruzuku | 2009 | namna bora ya kusimamia ruzuku zinazotolewa kwa faida ya walengwa.utunzaji wa hesabu na kumbukumbu za fedha zamradi. | kuandaa vitabu vyote muhumu vya kutunzia mahesabu. |
mafunzo juu ya ufuatiliaji na tathmini | 2010 | umuhimu wa kufanya tathmini na ufuatiliji wa mradi wakati gani unaotakiwa kufanya ufuatiliaji njia bora za kufanya tathmini | kuandaa na kutekeleza taratibu nzuri za kufanya tathmini na ufuatiliaji wa shughuli za mradi. |
Type of Event | When | Lessons | Actions Taken |
---|---|---|---|
- | - | - | - |
- | - | - | - |
- | - | - | - |
Type of Event | When | Lessons | Actions Taken |
---|---|---|---|
information session | July 2007 and September 2009 | How to write proposal for fund from FCS | Three proposals sent to FCS and funded |
Annual forum | 2009 and 2011 | experience exchange from other organization | Improving TASCO work according what we lent positively from others and from presentations made by facilitators |
Manage your grant | December 2010 | How to manage project and reporting | positive supervision of the project and addthere with the skills we got from training |
Type of Event | When | Lessons | Actions Taken |
---|---|---|---|
Jinsi ya kuendesha mipango na miradi pamoja na utunzaji wa vitabu vya hesabu. | Nov,2010 | Uendeshaji wa miradi na utunzaji wa vitabu vya hesabu | Tumefungua vitabu vyote vya utunzaji wa kumbukumbu za Asasi |
Utunzaji wa kumbukumbu za fedha | F eb,2011 | Utunzaji wa vitabu vya fedha | ,, |
Type of Event | When | Lessons | Actions Taken |
---|---|---|---|
Mafunzo ya Usimamizi wa Ruzuku | February,2010 | JInsi ya kujaza fomu ya maombio ya ruzuku kwa usahihi na usimamiozi wa miradi na fedha | Kusaini mkataba wa kupata ruzuku |
« Back to report