Injira
Chama cha Viziwi Tanzania (CHAVITA) - Dodoma

Chama cha Viziwi Tanzania (CHAVITA) - Dodoma

Dodoma, Tanzania

Uru rupapuro ruragaragazwa mu rurimi rw'umwimerere Igiswayire. Edit translations
  1.     MALENGO YA CHAVITA

 

Kama wanajamii, viziwi wanayo haki ya kuchangamana na watu wengine na kushirikishwa  kikamilifu katika shughuli za jamii. Hii ni haki ya msingi ya binadamu. CHAVITA itahakikisha  hili kwa:

 

  • Kuhamasisha matawi ya CHAVITA na jamii ya Viziwi popote walipo hapaTanzania, jamii ya watanzania, taasisi na serikali kuhusu haki za Viziwi.
  • Kupigania usawa katika fursa za elimu, huduma za jamii na nyanja zote za maisha ya binadamu.
  • Kupigania kutambulika kisheria kwa Lugha ya Alama yaTanzania.
  • Kujenga mwamko na kukuza matumizi ya Lugha ya Alama kwa matawi ya CHAVITA, jamii ya Viziwi nchini, na kwa jamii ya watanzania kwa ujumla.
  • Kuhakikisha shughuli za maendeleo ya jamii na ki-uchumi kwa matawi ya CHAVITA na jamii ya Viziwi nchini zinaboreshwa.
  • Kuhakikisha matawi ya CHAVITA na jamii ya Viziwi nchini wanapata uwakilishi katika ngazi zote za uongozi.
  • Kufanya na kuendeleza utafiti kuhusu masuala yanayowahusu Viziwi
  • Kupambana na Virusi vya Ukimwi (VVU) na UKIMWI pamoja na majanga mengine yanayowakabili Viziwi.
Amakuru agezweho
Chama cha Viziwi Tanzania (CHAVITA) - Dodoma yashyizeho Amakuru agezweho.
chavita tawi la mkoa wa Dodoma limezindua program ya mafunzo ya lugha za alama katika maeneo yafuatayo: UDOM, TCf, SAFINA KITUO CHA WATOTO YATIMA DOM na ST JOHN UNV DODOMA program hiyo ni ya miaka miwili kwa mujibu wa idara ya lugha ya alama chavita tawi la mkoa wa dom. mratibu wa mradi huo mr YUSUF MLOLI ambae ni... Soma ibindi
29 Mata, 2012
Chama cha Viziwi Tanzania (CHAVITA) - Dodoma yashyizeho Amakuru agezweho.
Kesho Tarehe 11/02/2012 – saa 3:00 Mdahalo wa Wadau wa Maendeleo habari zaidi itakujia hivi punde...
10 Gashyantare, 2012
Chama cha Viziwi Tanzania (CHAVITA) - Dodoma hari ibyo yahinduye kuri Imishinga paje.
Chavita ina Miradi miwili – Mradi wa Ushawishi na Utetezi kupunguza Umasikini kwa Viziwi Mkoa wa Dodoma – Mradi wa Lugha ya Alama kwa Wanachuo wa Chuo kikuu cha Udom
10 Gashyantare, 2012
Chama cha Viziwi Tanzania (CHAVITA) - Dodoma hari ibyo yahinduye kuri Amateka paje.
USULI – Chama cha Viziwi Tanzania (CHAVITA) ni chama kilichoanzishwa na Viziwi wenyewe mwaka 1983 na kusajiliwa rasmi na Wizara ya Mambo ya Ndani tarehe 04/09/1984 na kupewa no so. 6466 na baaada ya kupitishwa kwa sheria ya Uanzishwaji wa vyama vya kiraia... Soma ibindi
10 Gashyantare, 2012
Chama cha Viziwi Tanzania (CHAVITA) - Dodoma hari ibyo yahinduye kuri Ikipe paje.
Yusufu S. Mloli Mwenyekiti Pius Chiyenje Katibu Janeth thomas M/mwenyekiti Ismail M.Duru Mhazina Ally Jumanne Mjumbe K.K.U Mwendwa John Mjumbe... Soma ibindi
9 Mutarama, 2012
Izindi mbuga
Ibyiciro
Aho uherereye
Dodoma, Tanzaniya
Reba ibigo mwegeranye