Fungua
Chama cha Viziwi Tanzania (CHAVITA) - Dodoma

Chama cha Viziwi Tanzania (CHAVITA) - Dodoma

Dodoma, Tanzania

  1.     MALENGO YA CHAVITA

 

Kama wanajamii, viziwi wanayo haki ya kuchangamana na watu wengine na kushirikishwa  kikamilifu katika shughuli za jamii. Hii ni haki ya msingi ya binadamu. CHAVITA itahakikisha  hili kwa:

 

  • Kuhamasisha matawi ya CHAVITA na jamii ya Viziwi popote walipo hapaTanzania, jamii ya watanzania, taasisi na serikali kuhusu haki za Viziwi.
  • Kupigania usawa katika fursa za elimu, huduma za jamii na nyanja zote za maisha ya binadamu.
  • Kupigania kutambulika kisheria kwa Lugha ya Alama yaTanzania.
  • Kujenga mwamko na kukuza matumizi ya Lugha ya Alama kwa matawi ya CHAVITA, jamii ya Viziwi nchini, na kwa jamii ya watanzania kwa ujumla.
  • Kuhakikisha shughuli za maendeleo ya jamii na ki-uchumi kwa matawi ya CHAVITA na jamii ya Viziwi nchini zinaboreshwa.
  • Kuhakikisha matawi ya CHAVITA na jamii ya Viziwi nchini wanapata uwakilishi katika ngazi zote za uongozi.
  • Kufanya na kuendeleza utafiti kuhusu masuala yanayowahusu Viziwi
  • Kupambana na Virusi vya Ukimwi (VVU) na UKIMWI pamoja na majanga mengine yanayowakabili Viziwi.
Mabadiliko Mapya
Chama cha Viziwi Tanzania (CHAVITA) - Dodoma imeongeza Habari.
chavita tawi la mkoa wa Dodoma limezindua program ya mafunzo ya lugha za alama katika maeneo yafuatayo: UDOM, TCf, SAFINA KITUO CHA WATOTO YATIMA DOM na ST JOHN UNV DODOMA program hiyo ni ya miaka miwili kwa mujibu wa idara ya lugha ya alama chavita tawi la mkoa wa dom. mratibu wa mradi huo mr YUSUF MLOLI ambae ni... Soma zaidi
29 Aprili, 2012
Chama cha Viziwi Tanzania (CHAVITA) - Dodoma imeongeza Habari.
Kesho Tarehe 11/02/2012 – saa 3:00 Mdahalo wa Wadau wa Maendeleo habari zaidi itakujia hivi punde...
10 Februari, 2012
Chama cha Viziwi Tanzania (CHAVITA) - Dodoma imehariri ukurasa wa Miradi.
Chavita ina Miradi miwili – Mradi wa Ushawishi na Utetezi kupunguza Umasikini kwa Viziwi Mkoa wa Dodoma – Mradi wa Lugha ya Alama kwa Wanachuo wa Chuo kikuu cha Udom
10 Februari, 2012
Chama cha Viziwi Tanzania (CHAVITA) - Dodoma imehariri ukurasa wa Historia.
USULI – Chama cha Viziwi Tanzania (CHAVITA) ni chama kilichoanzishwa na Viziwi wenyewe mwaka 1983 na kusajiliwa rasmi na Wizara ya Mambo ya Ndani tarehe 04/09/1984 na kupewa no so. 6466 na baaada ya kupitishwa kwa sheria ya Uanzishwaji wa vyama vya kiraia... Soma zaidi
10 Februari, 2012
Chama cha Viziwi Tanzania (CHAVITA) - Dodoma imehariri ukurasa wa Timu.
Yusufu S. Mloli Mwenyekiti Pius Chiyenje Katibu Janeth thomas M/mwenyekiti Ismail M.Duru Mhazina Ally Jumanne Mjumbe K.K.U Mwendwa John Mjumbe... Soma zaidi
9 Januari, 2012
Tovuti Nyingine
Sekta
Sehemu