Log in
Chama cha Viziwi Tanzania (CHAVITA) - Dodoma

Chama cha Viziwi Tanzania (CHAVITA) - Dodoma

Dodoma, Tanzania

Parts of this page are in Swahili. Edit translations

chavita tawi la mkoa wa Dodoma limezindua program ya mafunzo ya lugha za alama katika maeneo yafuatayo: UDOM, TCf, SAFINA KITUO CHA WATOTO YATIMA DOM na ST JOHN UNV DODOMA program hiyo ni ya miaka miwili kwa mujibu wa idara ya lugha ya alama chavita tawi la mkoa wa dom. mratibu wa mradi huo mr YUSUF MLOLI ambae ni mwenyekiti alisema na kuongeza kuwa mpango huo utasaidia na kuifanya jamii ya wakazi wa dom kuwatambua na kuwashirikisha viziwi kikamilifu katika mipango ya maendeleo y mji na kitaifa kwa ujumla. Aidha mafunzo yatagharamiwa na wanakisomo wenyewe au shirika husika. tunategemea kupanua weledi wa mafunzo haya kama kuyaingiza katika shughuli za kiserikali pale zinapofanyika kama vile semina za wadau wa maendeleo na huduma wanapoandaa semina zao au midahalo yao kuhusu mipango ya maendeleo basi nasi kama chama tunatumia nafasi hiyo kuwasilisha tukio la kujifunza walau dakika 10 tu kama sehemu ya kibwagizo.

Kesho Tarehe 11/02/2012

saa 3:00 Mdahalo wa Wadau wa Maendeleo habari zaidi itakujia hivi punde...