Fungua
UIGIZAJI NA NGOMA ZA ASILI

UIGIZAJI NA NGOMA ZA ASILI

Dar es salaam, Tanzania

Maeneo ya ukurasa huu ni kwa Kiingereza. Hariri tafsiri

> UNA TANZANIA> Yajikita katika kutoa Elimu ya Afya ya Uzazi kwa Vijana nje ya Shule kwa kata 10 katika Wilaya ya Kinondoni,ikiwa lengo ni kufikia Vinaja 150 wa nje ya shule katika wilwya ya kinondoni kwa miezi 6

         > MRADI huu wenye jina la "PAMBAZUKO" (Elimu ya AFYA YA uzazi kwa Vijana nje ya     Shule) Unao fadhiriwa na Serikal ya UFARANSA unalenga vijana waliyo nje ya shule

 na makundi maalumu.

 

 

 

 

 

 

NI JIKUMU LETU SOTEE!!!!!!

HABARI NDUGU WADAU WENZETU NAOMBA TUUNGANE KATIKA MAPAMBANO HAYA>>>>TUNAOMBA SHARE/LIKE
http://fredynjeje.blogspot.com/…/kampeni-ya-kupiga-vita-ndoa  katika umri mdogo/utotoni na mimba katika umri mdogo/utotoni

UNA YOUTH VOLUNTEER - TUMEENDELEA KUPATIWA MAFUNZO YA UIBUAJI NA ULEZI/UTUNZAJI WA WATOTO WAISHIO KATIKA MAZINGIRA HATARISHI (WWKMH) KUPITIA MRADI WA "PAMOJA TUWALEE" UNAO FADHILIWA NA USAID KUPITIA WAMATA/FHI-UNA WAKIPATA UZOEFU KUPITIA MRADI WA "WEKA WATOTO SALAMA WAOKOE TAIFA LAO"

UNA TANZANIA WAKISHIRIKIANA NA AVC KUIBUA WATOTO WAISHIO KATIKA MAZINGIRA HATARISHI (WENYE ULEMAVU NA UTINDIO WA UBONGO)

KWA KUTEMBELEWA NA WAGENI TOKA ASASI RAFIKI YA AVC NA MAREKAN

 

 

  VOLUNTEER WAKIJIANDAA KUINGIA MITAANI WAKIWA OFISI ZA AVC

UNA TANZANIA TUNA SISITIZA WAZAZI NA WALEZI KUWA MAKINI KATI MALEZI YA WATOTO WETU HUSUSANI KIPINDI HIKI CHA ELIMU BURE KWANI TUNAJIZOESHA KUTOKAA NA WATOTO WETU KUJUWA MAENDELEO YAO YA KIMWILI,KIELIMU NA KIJAMII KWA UJUMLA

1) KUJUA MUELEKEO WA MTOTO KIMAUMBILE YAANI MAKUZI KWANI TUMEGUNDUA MENGI KUTOKA KWA WATOTO WETU MASHULENI HUSUSANI WAZAZI KUTOJUWA HATA SIKU MWANAYE ANAPO BALEHE NA KUFUNJA UNGO UKIZINGATIA WATOTO WA KIKE HUFUNJA UNGO WAFIKAPO UMRI WA MIAKA 8-9 NA KUENDELEA

2) WAZAZI KUWA MAKINI KUFUATILIA WATOTO WETU JUU YA MAENDELEO KIMASOMO NA SI KUWAACHIA WALIMU KUTOKANA NASI KUWA BIZE KWA KUTAFUTA YA DUNIA MFANO MAJUMBA YA KIFAHARI,MAGARI NK UKIZINGATIA MWALIMU YUKO NA WATOTO ZAIDI YA 100

3) TUWE MAKINI NA WATOTO WETU WAENDAPO SHULENI KUTOKANA NA KUCHANGIA VITU VYENYE NCHA KALI MFANO WEMBE NK SASA HII NI TATIZO NIKUTOKANA NA WATOTO WENGINE HUZALIWA NA MAAMBUKIZI HIVYO HUWA HAWANA ELIMU YA KUTOSHA

HABARINI WADAU?
KWA UPANDE WA MWAKA HUU HATUKUANZA VIBAYA TULICHEZA NA WATOTO SIKU YA KUFUNGUA MWAKA MPYA TUKIWA STUDIO ZA TBC TAIFA KIPINDI KIKAWA LIVE
SIKU HIYO PALIKUWA HAPATOSHI MAAAANAAA DUUUU CHEKI HIIII !!!!!!

large.jpg

UTETE WA KUMUOKOA NA UKATILI KWA MSICHANA NA MWANAMKE TANZANIA UNAENDELE SHULE YA BUNJU CHINI YA VIJANA WA UNA TANZANIA